UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Mechi ya leo itakuwa chini ya mwamuzi kutoka Ufaransa, Clement Turphin..

Bookmakers wamewapa Scotlans odds chache kulinganisha na Germany.

Hii ina maana Scotland ndiyo their favorite katika mchezo huu. Je, itakuwa kweli?

Yetu macho 👀
 
Euros iliyopita nilitabiri anashinda Italy, ikawa kweli. World cup nikasimama na Argentina, ikawa kweli. This time nasimama na waholanzi. Huyo ndie bingwa mwaka huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…