UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Wasubiri matusi tena kama yale waliotukanwa sancho, rashford na saka..

England haijawai mpenda mtu mweusi, tht why nashangaa watu wanao wasupport hawa wajinga, kwa kisingizio eti ni wajukuu wa malkia 🤣🤣

Mm nipo pale, km watachukua ubingwa sio mimi, last 5 game ushind match moja, Iceland tuu 72 possition in fifa rank kawakanda 🤣🤣🙌🏽
 
wangireza wamewekeza kweny propaganda za vyombo vya habari na kukuza majina ya wachezaji wao tu ila Ndani ya field ni weupe kabisa wee timu Had inaita wachezaji wa palace na Fulhama hamna timu pale
Wewe usitulee fikra za usimba na yanga hapa ulikozea, maoni ya kijinga sana, haya ndo maana sisi tz. Hatuendelei, kwa majitu kama hy wewe kwa hakili yako walikuwa waitwe tu wachezaji wanaocheza timu kubwa??
 
Wasubiri matusi tena kama yale waliotukanwa sancho, rashford na saka..

England haijawai mpenda mtu mweusi, tht why nashangaa watu wanao wasupport hawa wajinga, kwa kisingizio eti ni wajukuu wa malkia 🤣🤣

Mm nipo pale, km watachukua ubingwa sio mimi, last 5 game ushind match moja, Iceland tuu 72 possition in fifa rank kawakanda 🤣🤣🙌🏽
Sasa povu la nini tukishabikia wajukuu wa malkia?? Kila mtu ashabikie anachopenda bhana
 
wangireza wamewekeza kweny propaganda za vyombo vya habari na kukuza majina ya wachezaji wao tu ila Ndani ya field ni weupe kabisa wee timu Had inaita wachezaji wa palace na Fulhama hamna timu pale

Jamaa ni weupe sana, kwa midfield ile ya German wakikutana na England kijana Flopingham lazima awe Ghost uwanjani
 
Back
Top Bottom