Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Hii imeenda yule jude anapaishwa sana na media pia ile real madrid na uingereza ni wazuri kwa propaganda za mpira.Jamal Musiala unaenda nae vitani sio yule Bellingham
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imeenda yule jude anapaishwa sana na media pia ile real madrid na uingereza ni wazuri kwa propaganda za mpira.Jamal Musiala unaenda nae vitani sio yule Bellingham
Haverts ana rate ya 8.0 ,musiala 7.9, babu tonny kross 7.9 writz 7.5Wamempa musiala ila takwimu zinambeba witz na harvets
GermanyWale tunaomshangilia alie tujengea reli na majengo yasiyobomoka tujuane mapema.
Wenye Azam na Startimes msikauke hapa najitolea kuwa nawapa update😂
Wasubiri matusi tena kama yale waliotukanwa sancho, rashford na saka..
England haijawai mpenda mtu mweusi, tht why nashangaa watu wanao wasupport hawa wajinga, kwa kisingizio eti ni wajukuu wa malkia
Wasubiri matusi tena kama yale waliotukanwa sancho, rashford na saka..
England haijawai mpenda mtu mweusi, tht why nashangaa watu wanao wasupport hawa wajinga, kwa kisingizio eti ni wajukuu wa malkia 🤣🤣
Mm nipo pale, km watachukua ubingwa sio mimi, last 5 game ushind match moja, Iceland tuu 72 possition in fifa rank kawakanda 🤣🤣🙌🏽
NaisubiriLeo ndio leo croatia na spain aisee bonge la burudani
Wewe usitulee fikra za usimba na yanga hapa ulikozea, maoni ya kijinga sana, haya ndo maana sisi tz. Hatuendelei, kwa majitu kama hy wewe kwa hakili yako walikuwa waitwe tu wachezaji wanaocheza timu kubwa??wangireza wamewekeza kweny propaganda za vyombo vya habari na kukuza majina ya wachezaji wao tu ila Ndani ya field ni weupe kabisa wee timu Had inaita wachezaji wa palace na Fulhama hamna timu pale
Ujerumani ya kina Michael Ballack inaanza kurudi maana sio kwa ile mishuti ya jana.huyu mjerumani hatari anatoa vipigo takatifu au kamfumania kibonde
ila hili kundi kiboko yaana wakubwa tupu kasoro albaniaNaisubiri
balaa...jamaa walikuwa wana exploit spece between backline and midfield line. toni kross anajipigia tuu switch passes. balaaa. ila ndio inavyotakiwa timu kibonde unaikandika goli nyingiUjerumani ya kina Michael Ballack inaanza kurudi maana sio kwa ile mishuti ya jana.
Kabisa Aisee Nasubiri Kwa HamuLeo ndio leo croatia na spain aisee bonge la burudani
hakili ❌Wewe usitulee fikra za usimba na yanga hapa ulikozea, maoni ya kijinga sana, haya ndo maana sisi tz. Hatuendelei, kwa majitu kama hy wewe kwa hakili yako walikuwa waitwe tu wachezaji wanaocheza timu kubwa??
Sasa povu la nini tukishabikia wajukuu wa malkia?? Kila mtu ashabikie anachopenda bhanaWasubiri matusi tena kama yale waliotukanwa sancho, rashford na saka..
England haijawai mpenda mtu mweusi, tht why nashangaa watu wanao wasupport hawa wajinga, kwa kisingizio eti ni wajukuu wa malkia 🤣🤣
Mm nipo pale, km watachukua ubingwa sio mimi, last 5 game ushind match moja, Iceland tuu 72 possition in fifa rank kawakanda 🤣🤣🙌🏽
Germany ashinde Goli nne kwa kikosi Gani walichonacho ngoja tusubir tuone nini kitatokea ila Germany naona ni moja kati ya Taifa litafanya vibaya sana kweny hii michuano
HUku euro kule copa america, hii njama ya mabeberu itabidi tukeshe tu
wangireza wamewekeza kweny propaganda za vyombo vya habari na kukuza majina ya wachezaji wao tu ila Ndani ya field ni weupe kabisa wee timu Had inaita wachezaji wa palace na Fulhama hamna timu pale
Jamal Musiala unaenda nae vitani sio yule Bellingham