United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Chumaaa awa watoto wanaweza kuchoma hizi Goli maana naona wajelipua kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No. Ataongezewa kodi mwenyewe atabaki juu kwa bei.Dstv akinunuliwa na Canal Azam atateseka sana maana Canal atashusha bei haswaa
Dk hizi naona madogo wanapeleka motoChumaaa awa watoto wanaweza kuchoma hizi Goli maana naona wajelipua kweli
awa wanaweza kuchoma afu Uswiss wameau kurudi Nyuma kosa ilo Goli Mbili sio kitu watu wanaweza kuchomaHii comeback naiona kabisa
Naona sub za viungo na beki.awa wanaweza kuchoma afu Uswiss wameau kurudi Nyuma kosa ilo Goli Mbili sio kitu watu wanaweza kuchoma
limeingia wacha liwakimbize ilo jamaa linajua sanaNaona Hombolo anajiandaa
Kawatumbua.limeingia wacha liwakimbize ilo jamaa linajua sana
🤣🤣Matapeli wangesema baadhi ya mechi hawataonyesha nimewahi kurudi kazin nakuta ZBC2 wanaonyesha historia ya mtume daaah
ila jamaa linajua sana ni limtu la ku force Ndio maana nilikua naomba liaze toka kipind cha kwanzaKawatumbua.
Ahahah jamaa yako.