Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Asante Italy..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuwasubiri waingireza kesho na waholanziGoal sekunde ya 22 duh
Washinde tu nao, wakubwa wenzao wameanza kwa vishindoNgoja tuwasubiri waingireza kesho na waholanzi
Leo hawajaonesha hata mechi mojaUnafanya nn uko
Ukorofi tuHiyo ya akiwa mwenyewe nimekosa. Ila pole sana ndio maisha haya
Umeamkaje wewe?Ukorofi tu
Nimeamka vizuri, sijui wewe Nyanda za juu kusiniUmeamkaje wewe?
Umepata cha asubuhi?Nimeamka vizuri, sijui wewe Nyanda za juu kusini
Hapana mkuu! Vipi wewe umenyoosha viungo?Umepata cha asubuhi?
Hapana anaumwa na tumbo nimemuacha paka apone😁🤣😂Hapana mkuu! Vipi wewe umenyoosha viungo?
Kanda ya nyanda za juu kusini ni kwema. Huku inapiga baridi si mchezo nadhani tunaandaliwa kuishi ulaya siku zijazoNimeamka vizuri, sijui wewe Nyanda za juu kusini
Wanandoa mnafaidi sanaHapana anaumwa na tumbo nimemuacha paka apone😁🤣😂
Kanda hiyo ina mikoa ipiKanda ya nyanda za juu kusini ni kwema. Huku inapiga baridi si mchezo nadhani tunaandaliwa kuishi ulaya siku zijazo
Sana yaani nashangaa sana vijana wanao kataa ndoa sijui wana shido Gani😁🤣Wanandoa mnafaidi sana
Hao walitendwa na wapenzi wao waliowapenda, wengine hawana hela ya kuwahudumia wakeSana yaani nashangaa sana vijana wanao kataa ndoa sijui wana shido Gani😁🤣
Katavi, Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na IringaKanda hiyo ina mikoa ipi
Huko baridi sanaKatavi, Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Iringa
Ndio maana wanaishia kupanda na kukwea mnazi 😁🤣Hao walitendwa na wapenzi wao waliowapenda, wengine hawana hela ya kuwahudumia wake