UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Its Coming Home🤣
IMG_1865.jpeg
 
England ina wachezaji wazuri na vipaji kiasi kocha anapata wakati mgumu kupanga kikosi. Kwa mfano backline pale angempanga Dunk badala ya Guehi. TAA angeanzia bench akaanza Dogo Gordon.
Flank wasimame Walker na Trippier. Center back, Stone na Dunk.

Viungo. Rice, Jude na Gordon.
Mwisho Saka Kane na Foden.
 
Antony Gordon ni winger lakini
 
Inatakiwa foden kuanza sio saka na wachezaji wa kumaliza wengi tu sio kane tu wamefanya vizuri sana lg kuu, kunautajiri pale?.

Its Coming Home

England ameshinda mechi moja tu katika mechi za ufunguzi wa EuroView attachment 3018953
Trent hawezi kucheza kiungo itakuwa uchochoro
 
Back
Top Bottom