UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Tatizo lao ni lile lile...mpira wao uko slow na Wachezaji wako soft sana ukimtoa Walker na Guehi

Huwa hawawezi kuforce sana mashambulizi na wanaruhusu sana kushambuliwa

Ndio Maana Italy iliwa win
Sijui wana shida gani wanaweza kuanza vizuri ila kadri muda unavyoenda wanaanza kupoteza mwelekeo
 
Nawaonea huruma mashabiki wa Spain tu maana hiyo timu huwa mpira wao ni wa kutia moyo sana,

Yani unakuta wanapiga pira safi kabsa huku dakika zikielekea tisini na ndo wanakuwa wanaaga mashindano hivyo kimasihara kabisa.
 
England hawavuki Round hii...
Hawajashikana. No commitment no passion..
 
Back
Top Bottom