UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Nipo na kibunda changu namuwaza Spain na Italy wapi niseme twende pamoja nimekosa uwezo huo toka asubuhi wacha niisuburi labda wakianza kucheza nitaelewa kipi ni kipi Ila waingereza naona Kaka kawaida yao wakitangulia wanarelax Kama ile timu ya nchi Fulani sijui wanaiita paka sijui Simba
 
Mnachanganya mapenzi na ushabiki ndio maana wagumu kuelewa. Pamoja na ushabiki wangu kwa Man utd lakini hainizuii kuona Ronaldo ashaisha asipofunga anakua mzigo tu uwanjani. Mechi ya jana Ronaldo hakua na impact yoyote, angekua mzalendo angeomba kupigwa sub kwa sababu mechi ishamsh
Bila ume bet
Wapuuzi goal moja wameridhika, madhabiki wamepoa wachezaji wamwooa.
 
Back
Top Bottom