Huyu kocha anafanya sabu gani mbona bellingham hatolewiFoden Out
Saka Out
Eze in
Watkins in
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kocha anafanya sabu gani mbona bellingham hatolewiFoden Out
Saka Out
Eze in
Watkins in
Huyo kocha ndio walitaka wampe manchester unitedDaah huyu kocha mpuuzi sana..
English siku zote ni waoga kufungukaEng wana poozesha game
Tuache mhemko.Huyu kocha anafanya sabu gani mbona bellingham hatolewi
Wee unaangalia mpira naoaganlia mie ama?Tuache mhemko.
Mpaka sasa Bellingham ndiyo most performing player kwenye hilo litimu.
Huyu ni mtz kwani?Hoj katoka. Mbongo wa mchongo kaingia, Paulsen
Hawa kufika robo waminye pumbu kweli kweliHuyu kocha hatoshi atimuliwe kabisa
Kunywa majiHuyu kocha hatoshi atimuliwe kabisa
Huyu kocha anafanya sabu gani mbona bellingham hatolewi
Timu mbovu kazi majigambo tu na kujibrandHawa kufika robo waminye pumbu kweli kweli
Mtanzania uyi,ila Kwa kua hatuna uraia pacha,jamaa kaamua kubaki na uraia mmoja wa uko mbeleHuyu ni mtz kwani?
Asante mkuu nicheki kupitia linki gani?Denmark 1st goal . HjulmandView attachment 3021681
Kumbe jamaa ana akili...huku ingekula kwake angekuwa anacheza huko kagera kwenye mashamba ya miwaMtanzania uyi,ila Kwa kua hatuna uraia pacha,jamaa kaamua kubaki na uraia mmoja wa uko mbele