UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Ndondo cup ya euro....copa America hakuna Georgia, Hungary, slovekia/nia n.k. Argentina angeshiriki ulaya unadhani nani angemuweza!! Angelikua anachukua ubingwa kila msimu.
Ajentina huwa anatolewa na timu kutoka ulaya %kubwa world cup, nakushagaa!!
 
Ajentina huwa anatolewa na timu kutoka ulaya %kubwa world cup, nakushagaa!!
1978 Netherlands alichezea kichapo cha 3- 1, tukabeba ndoo,
Mario kempes⚽️⚽️
D. Berton⚽️

1986 West Germany 🇩🇪 alichezea kichapo cha 3-2, tukaondoka na ndoo

2022 France 🇫🇷 tukambutua

Timu zote hizo za ulaya, tena kubwa

Argentina 🏆🏆🏆💪🏽
 
Kumbe Germany to Switzerland ni km 600 tu. Ndio maana mashabiki wengi.
Kwa maoni yako ni sahihi lkn inatengemea na bara kwa africa hata iwe kama km 300. kutokana na walio wengi kipato hakuna, washabiki hukuna, na jambo jingine sisi ni washabiki tu kwa kitu tu ambacho ni maarufu. Kule ni wapenzi wa mpira na washabikh.
 
Naam mechi za caf tu zinajieleza
 
Back
Top Bottom