Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Asante mkuuSjachek game ya france, ila kama umemaanisha rafu imepigwa lango la france then mpira ukaenda kufunga lango la poland, goli wanakataa wanakuja kupiga tuta huku kama tuta ni halali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuSjachek game ya france, ila kama umemaanisha rafu imepigwa lango la france then mpira ukaenda kufunga lango la poland, goli wanakataa wanakuja kupiga tuta huku kama tuta ni halali
Vipi kundi lakina France,bado yupo au katokaSjachek game ya france, ila kama umemaanisha rafu imepigwa lango la france then mpira ukaenda kufunga lango la poland, goli wanakataa wanakuja kupiga tuta huku kama tuta ni halali
Kapita mkuu usiwe na hofu.Vipi kundi lakina France,bado yupo au katoka
Slovenia anaeza shangaza watu.God save the King
Magoli yake huyu kijana wa liverpoolGAKPO SCORES A BEAUTIFUL FINISH!! Netherlands 1-1 AustriaView attachment 3026120
Imekaa vizuriKapita mkuu usiwe na hofu.
God save the King
Kocha mwoga huyuHuyu. kocha wa Englabd hana akili bado hajajifunza. Hii mama Saka haitampa kitu haipaswi hata kuanza
Unajua timu kubwa ulaya huwa zinapendwa zikutane na watoto wa mfalmeWaingereza wa tandahimba trent yupo bench leo, hatutaki kisingizio chochote mkizingua🤣
Kuna kizazi English ilikuwa na timu nzuri ikakosa kocha mzuriENG tangu enzi za akina Seaman Heskey Campbell jina kubwa lkn hamna kitu
Huu mchanganyo wa wapi 😄 Carrick alisha wahi kucheza na Heskey duh sikumbukiKuna kizazi English ilikuwa na timu nzuri ikakosa kocha mzuri
Ashley cole
Andy cole
Tery
Lampard
Gerald
Owen
Rooney
Heskey
Beckam
Paul scholes
Michael carrick
Phillps
..
..na wengine
Hiki kizazi kilicheza pamoja ila walikosa kocha