UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Anamuongelea Ademora Lookman reject ya Uingereza au,?
Naombeni link au app nzuri ya kuangalia game hii
 
Deschamps anakwambia hamkubali saliba ana vitu vingi unnecessary

Lkn nikimuangalia saliba namuona bora kulko yule dogo center back wa liverpool anayependwa na kocha
Dischamps huwa ni mpuuzi tu muda mwingine, anaweza akamkataa mchezaji kwa sababu zake binafsi tu ila akajitahidi kuficha kwa maneno kama hayo.

Mfano kama Karim Benzema na Lacazatte alikuwq hawataki kwa sababu zake binafsi.
 
Uyo kocha uwa anapenda wachezaji wanaomtii
Hapendi wachezaji anaohisi wana viburi
 
Back
Top Bottom