Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habar yenu inaisha leo tena ndani ya dk 90 tuTimu England A.K.A Watoto wastaarabu tukutane hapa
Uturuki wameanza kurudi zama zaoSawa mkuu muda utafika.Ule mziki wa Turkey Holland hauwezi
Nawaombea Turkey wapiteLeo naenda na Three lion's na The orange, underdogs tusameheane
Hata hao mabigwa wa euro walishapigwa kama paka mkomba mbogaAndunje ahusiki kwenye hii topic kwasababu hii sio Copa America
Hata hao mabigwa wa euro walishapigwa kama paka mkomba mboga
Mbona una mambo ya kitoto sasa huku Euro na Messi wapi na wapi?Mashabiki wa Ronaldo waliisapoti france dhidi ya mabingwa wa America ya kusini 2022, jana walikua upande wa Portugal dhidi ya hao hao ufaransa 😄 mnapitia wakati mgumu sana, maumivu mnayopitia dhidi ya Messi na jeshi lake duh!
Enhee sema nenoNyie watu wawili ambao moderator wamewaonesha hapa mko na Mimi embu jitokezeni niwaambie mechi ya England na Switzerland itakavyokuwa
Breel embolo ni mzuri sana akitokea benchi kuliko akianza
Switz kila lenye heri