UEFA Last 16: Droo imerudiwa baada ya kutokea hitilafu

UEFA Last 16: Droo imerudiwa baada ya kutokea hitilafu

Rashford Lingard

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2018
Posts
938
Reaction score
1,150
Draw iliyorudiwa UEFA hatua ya mtoano (last 16).

PSG uso kwa uso na Real Madrid

View attachment 2042908

Red Bull Salzburg vs Bayern Munich
Sporting CP vs Manchester City
Benfica vs Ajax
Chelsea vs Lille
Atletico Madrid vs Manchester United
Villarreal vs Juventus
Inter vs Liverpool
PSG vs Real Madrid
 

Attachments

  • FB_IMG_16393947389177138.jpg
    FB_IMG_16393947389177138.jpg
    37 KB · Views: 3
Hamna kitu nanyi mwaka huu hamko poa kiivo
Nyie shemeji zangu sina shida na nyie mkichukua sio mbaya
Mwaka huu hatuko poa kivipi? Wakati draw ya makundi inafanyika tukawekwa kundi moja na Atletico, Porto na AC Milan mlisema ni kundi la kifo na Liverpool hatoboi.

Matokeo yake tumezichapa team zote hizo nje ndani. Tukaondoka na points zote 18. Sasa unawezaje kusema hatupo vizuri shemelaa?

Huu ubingwa wetu bana.
 
Back
Top Bottom