Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,150
Yeah ila Man U hamuwezi kutoboa.Unpredictable
Somehow though PSG nao wanayumba siku hizi mi ni ze bluezYeah ila Man U hamuwezi kutoboa.
Oohh Cheltako wale Lille sio wamchezo wataku-westham mapema tu.Somehow though PSG nao wanayumba siku hizi mi ni ze bluez
Ntapambana mkuu mfaransa hana ishu sanaOohh Cheltako wale Lille sio wamchezo wataku-westham mapema tu.
Ngoja tuone. Ila bingwa atakuwa LiverpoolNtapambana mkuu mfaransa hana ishu sana
Hamna kitu nanyi mwaka huu hamko poa kiivoNgoja tuone. Ila bingwa atakuwa Liverpool
Misukosuko ndo mwendo wa ngalawa....Na Mpira huohuo ilifika fainali Kwa kumtoa BayernPsg ina mpira ovyo sana
PSG ni lini aliacha kuwa mchumba wetu?Yeah ila Man U hamuwezi kutoboa.
Mwaka huu hatuko poa kivipi? Wakati draw ya makundi inafanyika tukawekwa kundi moja na Atletico, Porto na AC Milan mlisema ni kundi la kifo na Liverpool hatoboi.Hamna kitu nanyi mwaka huu hamko poa kiivo
Nyie shemeji zangu sina shida na nyie mkichukua sio mbaya
Uefa sio ya vilaza wenye historia nzuri.UEFA bila Barcelona imekuwa ni ya hovyo kabisa
Ule msimu juzi mlimpiga ila safari hii haitakuwa rahisj mangi.PSG ni lini aliacha kuwa mchumba wetu?
Huwa tunajipigia tu..
Wait and see.
Hao Barcelona hawakustahili kusonga mbele maana wangetia aibu tu.UEFA bila Barcelona imekuwa ni ya hovyo kabisa