UEFA Nations League Fainali : Portugal Vs Spain l Allianz arena stadium l 8/6/2025 l 22:00pm

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
Hii game⚽ ni ya moto sana usipange kuikosa.

huku Yamal kule Ronald.
Screenshot_20250608-164847~2.jpg

Lineups _
Portugal

Screenshot_20250608-211354~2.jpg

substitutes
N.semendo,A.silva,D.dalot,J.palhinha,G.ramos,D.jota,R.neves,J.felix....nk

Manager : R.martinez

Spain lineups,
Screenshot_20250608-211403~2.jpg

Substitutes;
David raya,P.porro,D.vivian,Gavi,Isco,A.morata,P.cubarsi...nk

Manager : L.de la fuente.

Stay tuned ,
 
Acha kumuonea wivu dogo ana miaka 17 tu kafanya beyond expectations
Wivu? Bitozi nyangema anawaona wengine Mavi anaongea shiti sababu ya vigoli vichache na hizo pesa ..nimeshasema hapa walikuepo akina Neymar, Adriano, saivi wako wapi na walikua wananata ..eti naskia mumeanza kumfananisha na cr7 na Messi mara balloon o dor..afikishe goli 800 kwanza ndio aanze kuongea pumba
 
Dogo anajua miguu yake inaongea mengi kuliko mdomo wake.

Bado hastahili kuwekwa level za messi na cr7 lakini dogo anajua sana.
 
Wivu? Bitozi nyangema anawaona wengine Mavi anaongea shiti sababu ya vigoli vichache na hizo pesa ..nimeshasema hapa walikuepo akina Neymar, Adriano, saivi wako wapi na walikua wananata ..eti naskia mumeanza kumfananisha na cr7 na Messi mara balloon o dor..afikishe goli 800 kwanza ndio aanze kuongea pumba

Wivu? Bitozi nyangema anawaona wengine Mavi anaongea shiti sababu ya vigoli vichache na hizo pesa ..nimeshasema hapa walikuepo akina Neymar, Adriano, saivi wako wapi na walikua wananata ..eti naskia mumeanza kumfananisha na cr7 na Messi mara balloon o dor..afikishe goli 800 kwanza ndio aanze kuongea pumba
Bado dogo kwa miaka 17,yupo vizuri anastahili izo sifa,numbers zake zipo vizuri,anaongea lakini uwanjani bado anaperform,Ronaldo na messi ufalme wao ushaisha
 
Back
Top Bottom