Indigo28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 233
- 503
Sio poa wale madogo juu lamine yamal,uku chini nico williams huo moto wao sio poaVitoto vya Spain vinapania Ile mbaya
Sio poa wale madogo juu lamine yamal,uku chini nico williams huo moto wao sio poaVitoto vya Spain vinapania Ile mbaya
Madogo ni wapambanaji Ile kinomaSio poa wale madogo juu lamine yamal,uku chini nico williams huo moto wao sio poa
Jamaa ni mzalendo anasambaza reforms kwenye ball ulaya nzima 😁😂 cr7 anaipenda sana nchi yake, huwa analia sana ikiwa n gemu za nchi yake.
Sema huku KINDA huku BABU.Hii game⚽ ni ya moto sana usipange kuikosa.
huku Yamal kule Ronald.
Kama cdm tuJamaa ni mzalendo anasambaza reforms kwenye ball ulaya nzima 😁
Ronaldo maji ya jioni! yule mtoto ni Skilled! ronaldo ni wa kubumbwaTuone kati ya huyo bitozi nyangema mvaa mawani na CR7 nani anastahili kumheshimu mwenzake.
No reform no electionyule kijana Vitanya hi balaa sana. Hii mechi ureno anakwenda kushinda unless kocha aamue kufungisha, yule kocha wao ni kilaza sana unaweza kuja kukuta wacheji wazuri kawatupa bench.
Kwa nilivyoiona ureno, inaweza kuwa na nafasi nzuri ya kushinda ikiwa Ronaldo hatacheza.Katika vitu ambavyo sivitamani kuviona Leo ni Ronaldo akilia kisa yamal
Fundiii Yamal atasumbua sanaHii game⚽ ni ya moto sana usipange kuikosa.
huku Yamal kule Ronald.