UEFA Nations League Fainali : Portugal Vs Spain l Allianz arena stadium l 8/6/2025 l 22:00pm

UEFA Nations League Fainali : Portugal Vs Spain l Allianz arena stadium l 8/6/2025 l 22:00pm

Eti heshima.😂😂
Atoe chozi kwa mjinga kama yule...au kwa kipi ambacho hajafanya duniani humu kwenye ulimwengu wa mpira...
Acha ujinga wewe usisahau huyo goat wenu bado tunamdai world cup na asitegemee eti mwakani atabeba ilihali timu yake ya taifa inategemea wachezaji watatu tu tofauti na timu kama hispania au ufaransa, unaongelea habari za goli mia nane kwa mtoto ambaye ndio kwanza anaanza career yake unamlinganisha na huyo babu aliyegoma kustaafu hadi afikishe magoli elfu moja na afikie rekodi ya messi ya kubeba world cup, huyo yamal mtamlinganisha na kila aina ya mchezaji ila mwisho wa siku akikutana na hao wachezaji wote mnaowalinganisha naye anawakanda vizuri tu na kuwafunga midomo
 
Le portuggual maginifico Bruno fernandes best wishes

Kocha wa ureno akimpiga benchi babu ronaldo kombe wanabeba
 
Spain anafunga portugal wanasawazisha mwisho wa dk 90 Spain mshindi
 
Wivu? Bitozi nyangema anawaona wengine Mavi anaongea shiti sababu ya vigoli vichache na hizo pesa ..nimeshasema hapa walikuepo akina Neymar, Adriano, saivi wako wapi na walikua wananata ..eti naskia mumeanza kumfananisha na cr7 na Messi mara balloon o dor..afikishe goli 800 kwanza ndio aanze kuongea pumba
Kama wewe ni mpenzi wa futball, utakubali kuwa ndo kinda boda zaidi kwa sasa. Hata Messi akiwa na 17 yearz hakuwa wa moto kama Lamine. Ronaldo tusimtaje ktk hiyo age.
 
Back
Top Bottom