Odense
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,708
- 3,551
Spain haina beki nzurinadhani wameshalifanyia kazi ngoja tuone itakuaje
Spain haina beki nzurinadhani wameshalifanyia kazi ngoja tuone itakuaje
Mambo vipi huko, nimeshindwa kuangalia nipo safarini muda huuGame ON..
Kijana anaujua mpira mpaka mpira wenyewe unakerekaTwende kazi, Xavi na Andres Iniesta wote ndani ya mwili wa Pedri mmoja tu
Mzee wetu Ronaldo kapoteana kabisa.Dakika ya 45 oryazabal anatia chuma cha 2
Spain 2
Portugal 1
sio anajua tu bali anajua to infinity. ni balaaKijana anaujua mpira mpaka mpira wenyewe unakereka
eeeh! Hapo mwisho hapo mbona rectile tissue tena?!!Goal goal tayari wandu wangu. Uwoga wenu umaskini wenu. Kubet ndio biashara bora hapa duniani
No erection no deformation
Hiyo ndio slogan ya sie vitombiseeeeh! Hapo mwisho hapo mbona rectile tissue tena?!!
utapelekwa slaughter house ya kisutu kama Mh. MwenyekitiHiyo ndio slogan ya sie vitombise