Huku kwetu wareno tumeanza kuganga yajayo ya Leo yashakuwa magumuKama nawaona hivi wareno wa Nyamagana, Magu, Tandahimba, Nanyamba na Kyela
Hamna bwana mie ni wa no erection sio election.utapelekwa slaughter house ya kisutu kama Mh. Mwenyekiti
Wareno muamke sasa.Huku kwetu wareno tumeanza kuganga yajayo ya Leo yashakuwa magumu
Janja leo kafichwa kabisaHamna bwana mie ni wa no erection sio election.
Huyu mendez mtu na nusu aise umeona hiyo turning alipiga hapo kwa yamal....watu wanajua boli aisee
Jamaaa anawafjcha wachezaji wote wamoto...mo salah hataki kabisa kumsikia huyu jamaaJanja leo kafichwa kabisa
Bado haujaisha tu?Huyu kocha pumbavu eeeh!!, unatoa Pedri unaleta Isco ndo nini sasa. ngoja wareno wafufuke sasa