Yamal atabeba heshima, leo tutarajie kuliona chozi la Cr7 tena.Tuone kati ya huyo bitozi nyangema mvaa mawani na CR7 nani anastahili kumheshimu mwenzake.
Acha kumuonea wivu dogo ana miaka 17 tu kafanya beyond expectationsTuone kati ya huyo bitozi nyangema mvaa mawani na CR7 nani anastahili kumheshimu mwenzake.
Na lazima alie, spain watapata ushindi mapema sana.Katika vitu ambavyo sivitamani kuviona Leo ni Ronaldo akilia kisa yamal
Nakushauri usiangalie mechi.Katika vitu ambavyo sivitamani kuviona Leo ni Ronaldo akilia kisa yamal
Wivu? Bitozi nyangema anawaona wengine Mavi anaongea shiti sababu ya vigoli vichache na hizo pesa ..nimeshasema hapa walikuepo akina Neymar, Adriano, saivi wako wapi na walikua wananata ..eti naskia mumeanza kumfananisha na cr7 na Messi mara balloon o dor..afikishe goli 800 kwanza ndio aanze kuongea pumbaAcha kumuonea wivu dogo ana miaka 17 tu kafanya beyond expectations
Vitoto vya Spain vinapania Ile mbayaNa lazima alie, spain watapata ushindi mapema sana.
Na vinajua kuipambania timuVitoto vya Spain vinapania Ile mbaya
Nasubiri saa sita nije kuchungulia matokeoNakushauri usiangalie mechi.
Utapata tabu sana na utalia sana.
Eti heshima.😂😂Yamal atabeba heshima, leo tutarajie kuliona chozi la Cr7 tena.
Dogo anajua miguu yake inaongea mengi kuliko mdomo wake.Wivu? Bitozi nyangema anawaona wengine Mavi anaongea shiti sababu ya vigoli vichache na hizo pesa ..nimeshasema hapa walikuepo akina Neymar, Adriano, saivi wako wapi na walikua wananata ..eti naskia mumeanza kumfananisha na cr7 na Messi mara balloon o dor..afikishe goli 800 kwanza ndio aanze kuongea pumba
Kungekuwa na kipengele Cha Ronaldo kulia ningebet japo shabiki akeNa vinajua kuipambania timu
Cr7 anayo world cup?Eti heshima.😂😂
Atoe chozi kwa mjinga kama yule...au kwa kipi ambacho hajafanya duniani humu kwenye ulimwengu wa mpira...
😂 cr7 anaipenda sana nchi yake, huwa analia sana ikiwa n gemu za nchi yake.Kungekuwa na kipengele Cha Ronaldo kulia ningebet japo shabiki ake
Wivu? Bitozi nyangema anawaona wengine Mavi anaongea shiti sababu ya vigoli vichache na hizo pesa ..nimeshasema hapa walikuepo akina Neymar, Adriano, saivi wako wapi na walikua wananata ..eti naskia mumeanza kumfananisha na cr7 na Messi mara balloon o dor..afikishe goli 800 kwanza ndio aanze kuongea pumba
Bado dogo kwa miaka 17,yupo vizuri anastahili izo sifa,numbers zake zipo vizuri,anaongea lakini uwanjani bado anaperform,Ronaldo na messi ufalme wao ushaishaWivu? Bitozi nyangema anawaona wengine Mavi anaongea shiti sababu ya vigoli vichache na hizo pesa ..nimeshasema hapa walikuepo akina Neymar, Adriano, saivi wako wapi na walikua wananata ..eti naskia mumeanza kumfananisha na cr7 na Messi mara balloon o dor..afikishe goli 800 kwanza ndio aanze kuongea pumba