Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Kweli kabisa mkuuPamoja mkuu, tutakuwa tunapeana updates ndugu, kundi A Lina mechi ambazo angalau weekend hazitaboa.
Ukilinganisha na friendlies.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa mkuuPamoja mkuu, tutakuwa tunapeana updates ndugu, kundi A Lina mechi ambazo angalau weekend hazitaboa.
Ukilinganisha na friendlies.
Nimeona Mkuu.. nimeweka tayari a reminder kwa ss3, saa 3 na nusu.. mtanange wa Germany vs France..Zinaanza leo mkuu
Poa game likianza tutakuwepo hapa pamoja mkuu sio ya kukosaNimeona Mkuu.. nimeweka tayari a reminder kwa ss3, saa 3 na nusu.. mtanange wa Germany vs France..
Poa game likianza tutakuwepo hapa pamoja mkuu sio ya kukosa
Vipi kuhusu "VAR" Itakuwepo?
pia kwese sport wataonyeshaNimeona Mkuu.. nimeweka tayari a reminder kwa ss3, saa 3 na nusu.. mtanange wa Germany vs France..
Hii kiti sijaielewa. Luna wa kunielewesha? Ni kombe la namna gani? Mtindo gani watumika? Na kuna bingwa? Anapatikanaje kwa makundi haya? What happens to Europe championship?
Nimeicheki, naona majibu yangu yote yapo hapo. Shukrani.Pitia post namba 8, then kama kuna swali zaidi tutaeleweshana mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] VAR Ipo kama kawaida mbona seria A inatumika pia kwa sasa,Vipi kuhusu "VAR" Itakuwepo?
mbappe ameanza tabia za ki neimariMtoto mbappe jeuri sana huyu
mbappe ameanza tabia za ki neimari
umeona mkuu dogo kaanza kuboaAnataka kujiharibia dogo yule, inabidi watenganishwe mapema sana.
umeona mkuu dogo kaanza kuboa
Anataka kupiga hela dogo, unajua camera zikikumulika sana kuna faida cha msingi sasa ajitahidi kuwa na control ya kutosha kama akina gaucho maana yeye sifa yake ni speedHata WC kuna ujinga alifanya fanya.
Na juzi kapigwa red card kwenye ligi yao, wapinzani wameanza kujua pia jinsi ya kumpanikisha.