UEFA nations league

UEFA nations league

Turkey wana mbwembwe wapo nyumbani basi uwanja umechafuliwa na madudue yao wameingia uwanjani kwa madoido mpaka sahivi wameshagongwa 2 ngoja tuone watatoboa
Turkey 1vs Russia 2
 
Turkey wana mbwembwe wapo nyumbani basi uwanja umechafuliwa na madudue yao wameingia uwanjani kwa madoido mpaka sahivi wameshagongwa 2 ngoja tuone watatoboa
Turkey 1vs Russia 2
Npo natizama ya Italy hapa kwenye mapumziko wakaonesha kule Turkey ndo nikashangaa ule uchafu Wa nini haahaa sikuelewa
 
Wana wakati mgumu, na goli lao kufutia machozi lilipatikana kwa njia ya mkwaju Wa penalty

Na game ilikuwa wamelala ile, maana mbinu ya magoli haikuwepo kabisa.

Kesho England na Spain.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] VAR Ipo kama kawaida mbona seria A inatumika pia kwa sasa,
Serie A walianza kutumia VAR tokea msimu uliopita (kabla michezo ya kombe la dunia kuchezwa)
 
Mkuu hizi game washindi ndio wanakua wamequalify euro moja kwa moja toka kwenye kila group? Kwa anaye jua naomba kujuzwa please!

Hapana, game za qualifying ziko pale pale, ila kutakuwa na nafasi nne zitakazotokana na hii ligi kwa amabao hawataqualify kwa mitoano.
 
Naona hiki kipindi cha pili wadachi wamechangamka tangu wapate goli
 
Naona hiki kipindi cha pili wadachi wamechangamka tangu wapate goli

Aisee, nilijua huyu Ryan Babel kashaacha mpira, ndo naangalia wafungaji naona jina lake. Ningejua ningeangalia game aisee.
 
Back
Top Bottom