Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
- Thread starter
- #61
Leo wanakipiga na ureno wana balaa lingine
Na Ronaldo hayupo, ambayo kwangu naona ni big favor kwa Portugal, watajitahidi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo wanakipiga na ureno wana balaa lingine
Ngoja tuone itakavyokuwaNa Ronaldo hayupo, ambayo kwangu naona ni big favor kwa Portugal, watajitahidi sana.
duu ratiba yao ngumu sana aseeLeo wanakipiga na ureno wana balaa lingine
portugal mechi ya kwanza walipata matokeo yapiNa Ronaldo hayupo, ambayo kwangu naona ni big favor kwa Portugal, watajitahidi sana.
portugal mechi ya kwanza walipata matokeo yapi
shukran mkuu ngoja tuone leo itakuajeHawajacheza, timu ziko 3 kila kundi, so walianza Italy vs Poland kwenye kundi lao.
shukran mkuu ngoja tuone leo itakuaje
sema game haitakua kaliLeo nitajitahidi niicheki hii game.
sema game haitakua kali
sema game haitakua kali
mi mwenyewe yanga huwa siwapendi kabisaMkuu hili jina lako linanikumbusha mechi moja kati ya Pamba FC na Yanga, Yanga anapigwa 3 - 1 huku Nteze John akifunga goli la kona iliyoingia bila kuguswa.
Pamba walikuwa na Golden Squad ya kina Fumo Felician, Niko Bambaga, Nteze John, sina uhakika Deo Mkambi.
Nilikuwa siipendi Yanga kama nini.
mi mwenyewe yanga huwa siwapendi kabisa
Hivi Ronaldo kashastafu timu ya taifa lake? Naona namba 7 imevaliwa na mtu mwengine leo.
Hajastaafu, kaomba kupumzika kwa ajili ya kuendelea kujiweka fit na timu yake mpya ya Juventus.
Game 3 bila kutupia imemchanganya sana.
5 tayrCroatia anapigwa vibaya na Spain, hadi sasa dak ya 51 Spain anaongoza 4 Croatia 0