UEFA yatangaza kikosi cha wachezaji bora Klabu Bingwa

UEFA yatangaza kikosi cha wachezaji bora Klabu Bingwa

No way. Gerrard apate namba (ya attacking mildfield) halafu Zidane na Ronalndinho wakae benchi?
 
Denis begkamp , fundi wa mpira...patric kluvert..clarence seedorf...roberto calos...george haggi dah , hatari sana...wapi stochicov..mmburugalia
 
Hata mie nimemuuliza hilo swali kabla sijaona comment yako.. Raul record yake imevunjwa juzi hapa na jamaa wawili (cr7 na mss) lakini hayupo..

Hii list ni ya kibiashara zaidi ila siyo ya kimichezo, kwa sababu ukizungumzia magoli, Raul record yake haiwezi kumwacha nje, ukizungumzia viungo, nina hakika Zidane kukaa benchi ni kashfa kwa tuliomwona akicheza soccer.

Eti Dinho naye anakaa benchi kina Thiery wanaanza!
 
Gk: Oliver Khan

DF: Cafu, Nesta, Beckenbauer, Maldini.

MF: Gaucho, Makelele, Zizzou.

Fw: Messi, Gonzalez, Cristiano.

Sub's: Buffon, Cannavaro, Carlos, Nedved, Henry, Drogba, Xavi.


Leta kikosi Chako Uone.
 
Bwahahahahaaaa! Hyo ni yako. Huwezi ukamwacha beki Franz Bechnabeur*....
Alafu pia mi naona hao wachezaji wote ni wa juzi. NA wanaosema De Lima yupo wapi, wakumbuke De Lima hakushinda uefa

Acha vituko wewe! Franz Beckenbauer alicheza Champions League lini?
 
Wewe ndo hujui. Alishinda champions-league wakati inaitwa "European Cup" 1974, 1975, 1976.

Ngoja nikuelimishe. Waliotajwa hapo ni wachezaji bora waliocheza baada ya mfumo wa Champions League kuanza. Waliocheza kabla ya hapo (European Cup) hawahusiki. Kama ingekuwa hivyo unawaachaje kina Eusebio, Bobby Charlton, Alfredo Di Stefano na wengine wengi waliokuwa bora kabisa kwenye European Cup?
 
Golikipa:Olivier khan. Beki: maldini.r Carlos. Sol Campbell. Cannavaro Kiungo: makelele. Zidane. Ronaldinho. Pirlo. Forward: Van Nistelrooy. Samuel Ettoo. Hiki kikosi kinawakalisha nyingi hiyo first eleven yao

Wabongo huwa mnakremu sana, asa sol campbell, makelele, Etoo, cannavaro, na hata (pirlo wa kipind kile) walifanya makubwa yapi katika historia ya UCL???
 
De Lima na Zidane hawapo? Au mi sijaelewa, wanataja watu watakaokufa mwakani au waliokiputa mpk tukakunwa mitima?

De lima ana goals 16 tu katika UEFA champions league, Thierry henry ana goals 50 katika UEFA champions league.
 
Hii list ni ya kibiashara zaidi ila siyo ya kimichezo, kwa sababu ukizungumzia magoli, Raul record yake haiwezi kumwacha nje, ukizungumzia viungo, nina hakika Zidane kukaa benchi ni kashfa kwa tuliomwona akicheza soccer.

Eti Dinho naye anakaa benchi kina Thiery wanaanza!

Kumuweka Dhinho pembeni kunaifanya hiyo orodha inakua najisi na inakosa uhalali wa kimaadili,kisheria na kifalsafa.
De lima wamemuacha?
Afrika amekosa hata etoo au drogba,jamani.

Seedof, pillo, hii ni aibu, raul? Sitaki kuamini.
 
Back
Top Bottom