Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mie nimemuuliza hilo swali kabla sijaona comment yako.. Raul record yake imevunjwa juzi hapa na jamaa wawili (cr7 na mss) lakini hayupo..
No way. Gerrard apate namba (ya attacking mildfield) halafu Zidane na Ronalndinho wakae benchi?
Gerrad>Seedorf, Pirlo
terry>Cannavaro, Hiero, Thiago Silva, Maldini,
henry>Raul, De lima, Del piero
Bwahahahahaaaa! Hyo ni yako. Huwezi ukamwacha beki Franz Bechnabeur*....
Alafu pia mi naona hao wachezaji wote ni wa juzi. NA wanaosema De Lima yupo wapi, wakumbuke De Lima hakushinda uefa
Ushuzi mtu yaani Gerrad ni kiungo bora kuliko Paul Scholes !.
Hao jamaa wamechemsha!!
De Lima hayupo???
Wewe ndo hujui. Alishinda champions-league wakati inaitwa "European Cup" 1974, 1975, 1976.Acha vituko wewe! Franz Beckenbauer alicheza Champions League lini?
Wewe ndo hujui. Alishinda champions-league wakati inaitwa "European Cup" 1974, 1975, 1976.
Golikipa:Olivier khan. Beki: maldini.r Carlos. Sol Campbell. Cannavaro Kiungo: makelele. Zidane. Ronaldinho. Pirlo. Forward: Van Nistelrooy. Samuel Ettoo. Hiki kikosi kinawakalisha nyingi hiyo first eleven yao
De Lima na Zidane hawapo? Au mi sijaelewa, wanataja watu watakaokufa mwakani au waliokiputa mpk tukakunwa mitima?
Hii list ni ya kibiashara zaidi ila siyo ya kimichezo, kwa sababu ukizungumzia magoli, Raul record yake haiwezi kumwacha nje, ukizungumzia viungo, nina hakika Zidane kukaa benchi ni kashfa kwa tuliomwona akicheza soccer.
Eti Dinho naye anakaa benchi kina Thiery wanaanza!