Kwani mpira ni Nini kama sio pesa? Leo Halaand hawezi kucheza Arsenal kea sababu Arsenal haishiriki Uefa na hivyo haina pesa. Football is all about money not otherwiseWamarekani ndo wameleta hizi idea..
Wanajali zaidi pesa
childish comment, unaweza kuta huyu ana watu wanamuita baba!!!Mashabiki wa Arsenal wameitisha maandamano mapema iwezekanavyo kuelekea Arsenal House (Highbury) na Emirates.
Nimeandika kutokana na walichokisema wanachama wa COYG Supporters na shabiki wa Arsenal.childish comment, unaweza kuta huyu ana watu wanamuita baba!!!
Ukweli ni kwamba teams zinatafuta kila fursa inayojitokeza ili kupanua vyanzo vya mapato, bila kuathiri taratibu za UEFA na FIFA but because of their greedy attitudes wanajua hapo hawatapata kitu ndio mwanzo wa kelele zao, but that is not fair.
aahhh ok nime kuelewa,nilidhanu shabiki wa unatupiga dongoNimeandika kutokana na walichokisema wanachama wa COYG Supporters na shabiki wa Arsenal.
Hayo sio mawazo au statement yangu ndio maana ya kuandika 'Mashabiki wa Arsenal WAMEITISHA'.
Issue sio Wamarekani tu kama unavyotaka kuwatupia zigo la lawama. Ni kwamba, hizo tena zinarumia gharama kubwa sana kujiandaa na mashindano hayo ya UEFA, huku gawio lake kikiwa ni dogo sana. Kama issue ingekuwa ni marekani na sio maslahi, sidhani kama team nyingi zingekubaliana na huo mpango kama ilivyo Sasa.Wamarekani ndo wameleta hizi idea..
Wanajali zaidi pesa
Maana yake amemaanisha kila klabu muanzilishi atalamba hizo Euro 3.5 kwa lengo mahsusi la kusaidia miundombinu ya mipango ya uwekezaji na kuondokana na madhara yaliyoletwa na janga la Corona. Kwa mantiki hiyo, hizi pesa bila shaka zitatokana na hela atayoimwaga "prospective sponsors" wa hii ligi.Mzigo ni mkubwa saana, Euro3.5billion kila Club founder itapata - hii ni sawa Tshs. Trillion 9.7; Hakuna Club itagoma hata huyo PSG ataingia tu.
Tusahihishane maana hii ni lugha ya wenyewe - Euro 3.5billion wagawame Club zote zitakazokubaliana ambazo zitakuwa 12 ama kila moja itapata kiasi hiki kama nilivyoelewa mimi?
"In exchange for their commitment, Founding Clubs will receive an amount of €3.5 billion solely to support their infrastructure investment plans and to offset the impact of the COVID pandemic."
Florentino Perez, President of Real Madrid and the first Chairman of the Super League said: "We will help football at every level and take it to its rightful place in the world. Football is the only global sport in the world with more than four billion fans and our responsibility as big clubs is to respond to their desires."
Mzigo ni mkubwa saana, hakuna Club itaweza kuugomea !!Maana yake amemaanisha kila klabu muanzilishi atalamba hizo Euro 3.5 kwa lengo mahsusi la kusaidia miundombinu ya mipango ya uwekezaji na kuondokana na madhara yaliyoletwa na janga la Corona. Kwa mantiki hiyo, hizi pesa bila shaka zitatokana na hela atayoimwaga "prospective sponsors" wa hii ligi.
Ni shidaaaa! Pesa mingi kwelikweli si kawaida. NomaaaaaaaMzigo ni mkubwa saana, hakuna Club itaweza kuugomea !!
Yaani huu mgogoro ni mrefu sana, wao kuwapiga ban wachezaji kutokucheza kwenye team zao za Taifa ndio wanaharibu kabisa, na hapa ndipo kwenye maumivu zaidi kwasababu itafika mahali baadhi ya Mataifa yatakataa kupoteza nyota wao so itabidi wagome ama waishinikize FIFA kuwaruhusu, yaani huu mgogoro unahitaji busara kubwa sana kuutatua la sivyo wakienda kwa mihemko basi wanaenda kuharibu kila kitu.Hivi vilabu vimedhamiria maana taarifa yakuchukuliwa hatua ilitoka mapema huku vilabu vikithibitisha ushiriki wake baadae kabisa.
Kwa namna ilivyo ikitokea wachezaji kutokucheza timu za taifa, kombe la dunia Qatar 2022, ligi zao na endapo wakihitaji kujirudi basi wanaanzia daraja la tano!
Huu mpango ulikuwa wa muda mrefu, hii ishu ilianzia mwaka wa 2000 Perez alivyoingia madarakani kama Rais wa Real Madrid baadae ilipotea baada ya yeye kutoka madarakani, aliporudi tu awamu ya pili ndio akaendelea kupush hili suala mpaka wamefikia hapa, na ishu kubwa na mapato walitaka yaongezeke sasa utaona fedha watakazogawana hapo ndio utaelewa Lengo lao lilikuwa ni nini haswa.Arsène Wenger in 2009:
"I think a European league will develop in 10 years. I'm not 100% sure what I'm saying but I know that some people behind the scenes are pushing for this project. The money that will be coming in from the Champions League will not be enough for some clubs.”
Watu hawaelewi kwanini hizo club wameamua kuunda mashindano yao wenyewe, suala la msingi ni fedha hapo, na wanaonekana wameshajipanga na sponsors wanoa, hao PSG ni suala la muda tu na wao wataingia humoKlabu zinatafuta hela, kama kuna fursa ya kupata hela bila kuathiri taratibu nyingine za UEFA na FIFA, kwa nini wasichangamukie hiyo fursa?
Acheni kulia lia, mashindano yenyewe hayajaanza watu wameanza kupanicNever!!!!!!View attachment 1756279
Adam Junior93 tatizo hapa siyo hilo tu kama huu mpango utafanikiw basi FIFA haitokuwa salama nayo ni lazima itaanguka na kupotea kabisa Duniani.Kwani hasara ya hii superleague ni ipi hasa....football is all about money,kama vilabu vimeona fursa,kwanini kuwe na nongwa sasa?