raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Wasiojulikana huko hawapo nin
Perez anataka kuharibu mpira
Perez anataka kuharibu mpira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani unadhani kuna deal kubwa sana kucheza game za FIFA zaidi ya kujivunia kuwakilisha Taifa? Hakuna pesa zaidi ya posho tu na fahari, ila maisha ya kila siku ya hao wachezaji FIFA wanaojivunia asilimia 99 wanatunzwa na hivyo vilabu, so hiyo ishu hata FIFA wenyewe wakikurupuka tu wanaumia.Hiyo ligi ishakufa kabla haijaanza maana Wachezaji wameambiwa mkikubali cheza hatutawaruhusu kushiriki mchezo wowote ulio chini ya FIFA....
Pia Serikali zimeanza ingilia
Wana haribu mpira
Msiishie kusema tu kuwa wanaharibu mpira. Cha msingi FIFA waongeze mpunga.Wana haribu mpira
Kwanza, kea yeyote alleanza kufatilia mpira tangu zamani, atakubaliana na mimi kuwa UEFA kwa kiasi fulani imepoteza mvuto.Wasiojulikana huko hawapo nin
Perez anataka kuharibu mpira
Hii ngoja itawacost Zaid FIFA, ole wao wakurupuke tu[emoji3]Mkuu kwani unadhani kuna deal kubwa sana kucheza game za FIFA zaidi ya kujivunia kuwakilisha Taifa? Hakuna pesa zaidi ya posho tu na fahari, ila maisha ya kila siku ya hao wachezaji FIFA wanaojivunia asilimia 99 wanatunzwa na hivyo vilabu, so hiyo ishu hata FIFA wenyewe wakikurupuka tu wanaumia.
Kivip mkuu na mabanda yanajaza watu kila mechi za uefa zinapochezaKwanza, kea yeyote alleanza kufatilia mpira tangu zamani, atakubaliana na mimi kuwa UEFA kwa kiasi fulani imepoteza mvuto.
Hamna kitu humo Hadi asno na ac Milan wapoSema tuache masihara,hii ligi itakuwa ya kibabe sana..yaani mpaka ubebe kombe basi inabidi uwe mwamba sio kitoto.
Msisimko wa UEFA ya sasa sio kama ule wa kuanzia miaka ya 2015 kurudi nyuma, ni kwa vile tu imekuwa ni kama tamaduni. UEFA inatakiwa kuongeza dau nono, Ili hata hizo team zisipate sababu ya kukimbilia huko, kuliko kupiga kelele tu, eti mpira unaharibika.Kivip mkuu na mabanda yanajaza watu kila mechi za uefa zinapocheza
Ila kaa ukijua pesa haijawahi kutoshaMsisimko wa UEFA ya sasa sio kama ule wa kuanzia miaka ya 2015 kurudi nyuma, ni kwa vile tu imekuwa ni kama tamaduni. UEFA inatakiwa kuongeza dau nono, Ili hata hizo team zisipate sababu ya kukimbilia huko, kuliko kupiga kelele tu, eti mpira unaharibika.
Ni muda wa sisi Watanzania kufanya export ya wasiojulikana wakawamalize kina Perez na Agnelli.Wasiojulikana huko hawapo nin
Perez anataka kuharibu mpira
Kweli klabu zinatumia expenses kubwa kuziendesha wao wanakaa wanavuna tuMaslahi! vilabu vinaona UEFA inafaidika zaidi kwa kutumia mgongo wao na wao wameona waanzishe chao.
duh nkadhani UEFA lina pesa kuliko hizi EPL..LA LIGA..BUNDESLIGA..Kweli mkuu mpunga mrefu kinyama.
UCL winner gets €82.4m
EPL winner gets €150m
Total= €232.4m
You participate in the European Super League and get €350m,
The winner gets €500m
Maaana yake hapa vilabu vipo tayari ku sacrifice hata domestic competitions kwaajili ya SL.