Hii inshu nimegundua jambo. Timu kubwa hizi zinatamaa sana. Japo Uefa wanaweza wakawa mpunga wanaotoa ni wakawaida ila wamiliki wa timu wanatamaa. Mpira umebadilika sana. Timu zao ni kubwa wanasajili kwa gharama na kulipa mishahara mikubwa sana alafu ukiingia uwanjani unatolewa jasho au unatolewa kwenye makundi na timu kama Atalanta, Rb Leipzig mara sevilla unajikuta miaka kumi timu kongwe hufiki robo fainali. Hapa kunatamaa. Ukiangalia EPL top 4 haieleweki, Italy msimu huu jive akilemaa mwakani yupo futuhi, Napa wanatafuta unafuu tu kama ligi ZaMarekani kucheza ligi pasipo kushuka daraja. Haya mashindano yakiwepo yatakua ni ya hovyo kuliko maelezo