UEFA yatishia kuzipiga 'ban' klabu kubwa barani ulaya kwenye michuano yote

Wakae watu na akili zao wenye pesa na wawekeze...we inakuja kusema itakua ya hovyo🤣🤣🤣...sisi Kama mashabiki tukae kwa kutulia...unaeza kuta ikawa nzuri.....maana watu hawawezi kutoa Jambo zito Kama hili bila kujipanga
Kweli mkuu sisi tukae kwa kutulia tuendelee kula ugali😅😅 hakuna tukijuacho kwa hawa miamba
 
Ni biashara mkuu hizi hela zitakuja tu automatically kabumbu likianza wote watanufaika
 
Wamesema founders zitakuwa clubs 15 na team 5 zitakuwa kwenye qualifying annually jumla zishiriki team 20
 
Ndio wanakaa kukubaliana
 
Haya maamuzi ndio yangeliamua uzito wa hili suala. Sasa ni wazi ESL inaweza kutokea kweli na nionavyo UEFA itaungana nao kuboresha mtindo wa haya mashindao.
-
No exclusion from the Champions League or Europa League will happen. The semi-finals will be played on their respective dates. (Source: ESPN)
 
Unajua kitu kikubwa ambacho mashabiki hatuelewi ni kuwa hakuna legal foundations kwa hizi football governing bodies za kuweza kuzuia ESL isitokee.

Hizi governing bodies wateja wao ni vilabu au nchi ambao ni wanachama wao, wao wapo kwakuwa hizo clubs na nations zipo. So kama hizo clubs zikiamua kujitoa hakuna wanachoweza kufanya.

Ni sawa na kuwa una duka na wateja wakaamua kutokuja kununua kwako hauwezi kuwafanya chochote.

So FIFA and co waache mikwara waangalie feasible ways ambazo zitaleta maridhiano kati yao na klabu husika.
 
Absolutely!

Ni vile FIFA ilitangulia na kujikuta na wanachama wengi, lakini mifumo ni vyama tu mwenye wafuasi wengi anafaidika zaidi kutoka kwao.

Ikitokea kikatokea chama kingine tufauti na FIFA naamini mataifa na vilabu kadhaa vitachagua upande. Kwa mataifa naona FIFA ikipewa kwa heli na wengi hasa Afrika na Asia, maana mfumo wake umewalenga EU na Americas.
 
Yes hao jamaa ni corrupt sana na hawana transparency ndio maana maofisa wengi waandamizi wa FIFA na UEFA huwa wanakubwa sana na scandals za rushwa.

Ndio maana Perez anawahoji kuwa kwanini mishahara yao haijulikani kwa public. Wanaficha nini?
Waliniudhi sana kutompatia Morocco uandaaji wa World Cup 2026 maana alistahili.
 
Kwani mpira ni Nini kama sio pesa? Leo Halaand hawezi kucheza Arsenal kea sababu Arsenal haishiriki Uefa na hivyo haina pesa. Football is all about money not otherwise
Ni lini aseno imewahi kuwa na ela
 
Sema tuache masihara,hii ligi itakuwa ya kibabe sana..yaani mpaka ubebe kombe basi inabidi uwe mwamba sio kitoto.
Itakua ya kibabe kwa muda mfupi tu mkishazoeana na ubabe unaishia hapo...
 
Nimecheka sana pale Florentino Pérez Rodríguez anaposema kama wakiwazingua kucheza kombe la dunia basi wataanzisha la kwao - ha ha ha
Kichaa huyu ana tamaa sijapata ona
 
Mkuu,wasiojulikana wa bongo ni hatari..dk sifuri tu wanamshusha Perez 6 feets under..

Hahaha,sema kweli..Perez yale yanakuwa mamafya kweli,yanaweza kuwa na intelligence security kushinda hata maraisi wa nchi zetu maskini.
Akina Perez ni Mafioso/cartels ww usiwachukulie poa kwa kuwa wamejificha kwenye football...
 
Hii mijamaa ipo very strategic si ajabu itakuja kupunguza muda wa world cup kutoka aka nne mpaka tatu
 
Arsenal itolewe haraka kwenye super league waweke hata lecister city ..


Nasema uongo ndugu zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…