Kumbe na kwenye soccer upo bibie[emoji2956]Kila time na moments zake. Kila Eufa ni nzuri kwa kipindi chake. Sijui Messi angempita Gatusso hutakaa upate jibu maana kila mmoja kacheza wakati tofauti.
Enjoy soccer Bwana. Tukutane tarehe 22/10,23/10.Fainali yangu ya kwanza kuangali ni pale Man united walifanya come back na ndo chanzo mimi kuwa shabiki wa Man united. Sijaacha kuangalia UEFA CL tokea kipindi hicho na ninaenjoy kila moments.
mkuu ungenambia final ya mwisho yenye ubora ni ya at madrid na real madrid ningekuelewa ya 2014 athletico anaongoza goli moja dakika ya 89 Simeone anawainua mashabiki. anatokea ramos anapiga head matata na kuwasawazishia ngoma inaingia extratime madrid wanafanya comebackUefa ya mwisho yenye ubora wake iliisha 2012 ambapo Chelsea alikuwa bingwa..

Damu damu.Kumbe na kwenye soccer upo bibie[emoji2956]
Kwenye suala la Uefa naona huijui Real Madrid ya C.Ronaldo wewe
Kama alivobanwa ronaldo junior na gatuso ,hadi kadi nyekundu dogo alipewazamani timu nyingi zilikuwa na uwezo wa kuwamiliki wachezaji wenye vipaji ndio maana haikuwa ajabu kuzikuta timu kama bayern leverkusen, valencia, dortmund, fiorentina, stuttgart, deportivo na nyenginezo kujaza mastar kwenye timu zao jambo lililopelekea kuzidi kwa ushindani wa timu.
kwa ufupi hapakuwepo na utofauti mkubwa sana ndani ya uwanja kati ya tabaka tajiri na tabaka masikini.
nyakati hizi hali imekuwa tofauti kwa sababu timu zenye kipato ndio zenye nguvu zaidi ya kutafuta wachezaji wenye vipaji ndio maana si ajabu kukuta timu moja inafuzu robo final ya champions league miaka 6 mfululizo.
huwezi kumkuta mchezaji kama sebastian veron anachezea timu kama lazio kwa sasa.
View attachment 1229406
Una uhakika na unachokisema?
Mbona sikuonagi uzi wa Man U red [emoji48]Damu damu.
Nipo kindaki ndaki.Mbona sikuonagi uzi wa Man U red [emoji48]
watoto bwana,eti messi na ronaldo!..mnautazamaje mpira?!...gaucho ulimtazama vizuri,de lima unamjua!?Hao hao AC Milan, Liver anapindua matokeo? Au umeamua tu kutukumbusha kua alikuwepo beki anaitwa Gattuso.
Msimu uliopita Messi ndo mchezaji aliyezifunga magoli mengi timu kubwa sita za uingereza japo hachezi uko. Ndo useme hao mabeki wangeweza kumzuia Messi.
Messi na CR 7 ndo wachezaji bora wa dunia wa muda wote, acha kuwafananisha na akina Kaka. Hao jamaa daraja lao ni tofauti kabsa.
ni kweli jomb anachosema hata rekodi zinawabeba mkuu messi na ronaldo wamefanya mengi ukiachana na pelewatoto bwana,eti messi na ronaldo!..mnautazamaje mpira?!...gaucho ulimtazama vizuri,de lima unamjua!?
mpira umeisha ladha,lukaku ananunuliwa kwa 70m+!!!...wanarukaruka tuBinafsi mpira umenitoka moyoni siku yaan sipati ladha kama ya zamani na haya maswala ya kupanga matokeo na betting hizi zilivyoshamiri na ikaja VAR ndio kabisa nabakiza starehe ile pendwa tu sasa hivi
rekodi kitu gani wewe!!!..kufunga magoli inategemea na timu unayocheza na ubora w wapinzani wako,barcelona hata nicklas bendtner angefunga goli 40 kwa mwakani kweli jomb anachosema hata rekodi zinawabeba mkuu messi na ronaldo wamefanya mengi ukiachana na pele
mkuu soka ni rekodi hivi ronaldinho kamzidi nini messi barca. afu mpira usiwe unaangalia vyenga turekodi kitu gani wewe!!!..kufunga magoli inategemea na timu unayocheza na ubora w wapinzani wako,barcelona hata nicklas bendtner angefunga goli 40 kwa mwaka
kumbe unajua kwamba ronaldinho kamzidi vyenga messi!!!...santiago bernabeu ni gaucho ndiye aliyepata standing ovation,messi mwenyewe anamkubali gaucho,kama gaucho hajamzidi chochote messi barcelona sasa messi anamzidi nini mume wa shakira!?mkuu soka ni rekodi hivi ronaldinho kamzidi nini messi barca. afu mpira usiwe unaangalia vyenga tu