UEFA Zamani, sasa ni mfano tu.

UEFA Zamani, sasa ni mfano tu.

Kila time na moments zake. Kila Eufa ni nzuri kwa kipindi chake. Sijui Messi angempita Gatusso hutakaa upate jibu maana kila mmoja kacheza wakati tofauti.
Enjoy soccer Bwana. Tukutane tarehe 22/10,23/10.Fainali yangu ya kwanza kuangali ni pale Man united walifanya come back na ndo chanzo mimi kuwa shabiki wa Man united. Sijaacha kuangalia UEFA CL tokea kipindi hicho na ninaenjoy kila moments.
Kumbe na kwenye soccer upo bibie[emoji2956]
 
Uefa ya mwisho yenye ubora wake iliisha 2012 ambapo Chelsea alikuwa bingwa..
mkuu ungenambia final ya mwisho yenye ubora ni ya at madrid na real madrid ningekuelewa ya 2014 athletico anaongoza goli moja dakika ya 89 Simeone anawainua mashabiki. anatokea ramos anapiga head matata na kuwasawazishia ngoma inaingia extratime madrid wanafanya comeback
 
Uefa ya mwisho yenye ubora wake iliisha 2012 ambapo Chelsea alikuwa bingwa..
mkuu ungenambia final ya mwisho yenye ubora ni ya at madrid na real madrid ningekuelewa ya 2014 athletico anaongoza goli moja dakika ya 89 Simeone anawainua mashabiki. anatokea ramos anapiga head matata na kuwasawazishia ngoma inaingia extratime madrid wanafanya comeback
 
Uefa ya mwisho yenye ubora wake iliisha 2012 ambapo Chelsea alikuwa bingwa..
mkuu ungenambia final ya mwisho yenye ubora ni ya at madrid na real madrid ningekuelewa ya 2014 athletico anaongoza goli moja dakika ya 89 Simeone anawainua mashabiki. anatokea ramos anapiga head matata na kuwasawazishia ngoma inaingia extratime madrid wanafanya comeback
 
zamani timu nyingi zilikuwa na uwezo wa kuwamiliki wachezaji wenye vipaji ndio maana haikuwa ajabu kuzikuta timu kama bayern leverkusen, valencia, dortmund, fiorentina, stuttgart, deportivo na nyenginezo kujaza mastar kwenye timu zao jambo lililopelekea kuzidi kwa ushindani wa timu.
kwa ufupi hapakuwepo na utofauti mkubwa sana ndani ya uwanja kati ya tabaka tajiri na tabaka masikini.


nyakati hizi hali imekuwa tofauti kwa sababu timu zenye kipato ndio zenye nguvu zaidi ya kutafuta wachezaji wenye vipaji ndio maana si ajabu kukuta timu moja inafuzu robo final ya champions league miaka 6 mfululizo.
huwezi kumkuta mchezaji kama sebastian veron anachezea timu kama lazio kwa sasa.

View attachment 1229406
Kama alivobanwa ronaldo junior na gatuso ,hadi kadi nyekundu dogo alipewa
 
Namic sana CUF hakuna back kisiki atatokea ukiangalia alves ashaaza potea kidogo kama alitaka awe CUF namba mbili ya ac milano na brazil
 
Una uhakika na unachokisema?

Nafikir haitambui madrid vizur,, madrid wanaitwa galactico ,,,, iker casilas roberto carlos fernando hiero,, Michael salgado thomas gravasen,, guti ronaldo de Lima ivan helguera acha kabisa usitume mtoto dukani
 
Binafsi mpira umenitoka moyoni siku yaan sipati ladha kama ya zamani na haya maswala ya kupanga matokeo na betting hizi zilivyoshamiri na ikaja VAR ndio kabisa nabakiza starehe ile pendwa tu sasa hivi
 
Hao hao AC Milan, Liver anapindua matokeo? Au umeamua tu kutukumbusha kua alikuwepo beki anaitwa Gattuso.
Msimu uliopita Messi ndo mchezaji aliyezifunga magoli mengi timu kubwa sita za uingereza japo hachezi uko. Ndo useme hao mabeki wangeweza kumzuia Messi.
Messi na CR 7 ndo wachezaji bora wa dunia wa muda wote, acha kuwafananisha na akina Kaka. Hao jamaa daraja lao ni tofauti kabsa.
watoto bwana,eti messi na ronaldo!..mnautazamaje mpira?!...gaucho ulimtazama vizuri,de lima unamjua!?
 
Daa kweli aise nikikumbuka mechi ya mtoano mwaka 2003, Manchester United ya akina Rio Ferdinand, Wes brown, David Beckham, Van Nestroooy, nevel brothers, Nick Batt, Fabian Bathez dhidi ya Real Madrid ya kina Claude Makele, Ronald9, Zinedine Zidane, Ruis Figo, Raul Gonzalenz, Roberto Carlos, Ika Casilas, kwa kweli nauona usiku wa Ulaya ukiwa unapoteza radha, Sasa tunaenda kumuangalia Mason Mount badala ya Frank Lampard, Jesse Lingard badala ya Ricardo Kaka, Jordan Henderson badala ya Genarro Gatuso, Michael Ballack Lucas Versques Karim Benzema badala Van Nestroooy, Andre Shevchenko, Didier Drogba, De Lima. Eti Leo Erick Bailly, Fikayo Tomori wanacheza UEFA wakati sisi tulizoea kuwaona Lucio, Ferdinand, Vidic, Soul Camplel, Allesandro Nesta, Jap Stam, John Terry, Ricardo Cavalho e.tc unaweza kuona hapa tulikuwa tunaenda kuangalia vitu viwili, kwanza Mpira wenyewe kwa ujumla, lakini pia Battle ya mtu mmoja na mwingine, yaani Zidane anavotoana jasho na Paul Scholes, au Genarro Gatusso( kaangalie mechi ya Nusu fainali 2003 Juventus anakufa 3-0 Santiago Bernabeu, halafu Madrid anakuja kufa 4-0 pale Turin), Rio Ferdinand anavokabana koo na Ronald9, nyie acheni bana, Sasa hivi unaweza ukawa unaangalia mpira ukajikuta hata hunconcertrate kwa sababu tu ya mbwembwe za Kidukulilo, miaka hiyo mpira unapigwa kika sekunde lazima ukoncerntrate!
 
mkuu soka ni rekodi hivi ronaldinho kamzidi nini messi barca. afu mpira usiwe unaangalia vyenga tu
kumbe unajua kwamba ronaldinho kamzidi vyenga messi!!!...santiago bernabeu ni gaucho ndiye aliyepata standing ovation,messi mwenyewe anamkubali gaucho,kama gaucho hajamzidi chochote messi barcelona sasa messi anamzidi nini mume wa shakira!?
 
Back
Top Bottom