UEFA Zamani, sasa ni mfano tu.

Lakini pia soka la sasa vipaji vinaporeza nafasi yake uwanjani sasa hivi ufundi wa mwalimu ndiyo unaodictate mchezo
 
Lakini pia soka la sasa vipaji vinaporeza nafasi yake uwanjani sasa hivi ufundi wa mwalimu ndiyo unaodictate mchezo
upo sahihi na muhanga mkuu wa hayo unayoyazungumza ni jose mourinho na timu zake
 
Sasa hivi ufundi mwingi ndiyo unaathiri uhalisia wa soka zamani vipaji vya wachezaji binafsi vilidictate uwanjani
Binafsi mpira umenitoka moyoni siku yaan sipati ladha kama ya zamani na haya maswala ya kupanga matokeo na betting hizi zilivyoshamiri na ikaja VAR ndio kabisa nabakiza starehe ile pendwa tu sasa hivi
 
Hakika toka karne ya 21 imeingia kuna mifumo mingi sana imeibuka ya uchezaji uwanjani kiasi cha kuondoa uhalisia wa soka.

Kwa sasa vipaji binafsi uwanjani vinaplay nafasi ndogo sana ukilinganisha na zamani sasa walimu kama Mourinho lazima wapitie changamoto hii.
upo sahihi na muhanga mkuu wa hayo unayoyazungumza ni jose mourinho na timu zake
 
Hili suala niliongea na mtu juzi kwa muuliza hivi huu mpira unapanda au unashuka? Ukiangalia timu y brazil miaka ya nyuma golini kuna tafalel.kushoto caros kulia cafu.kati dunga.mbele bebeto.rivaldo.ronaldo..romalio hebu cheki hao watu wote wapo kikosi kimoja kwa wakati mmoja..wakati huo pesa haikuwa kila kitu kwenye mpira..tofauti na sasa wengi waliocheza mpira kipindi hicho walichezea vipaji na mapenzi yao kwa mchezo..hata academy ukionekana na kipaji uliingia bure..sasa hivi wazazi wanapush watoto wacheze kufuata pesa ndiyo tunayopata sasa hiyo hata hapa kwetu ndiyo hivyo hivyo pamoja kuwa kila zama na Nabii wake..mpira wa sasa tofauti na zamani angalia hivi Neymar angepiga mpira mbele ya gattuso.maldini au nesta? Hapo kati kuna canavaro..
 
Ile head ya didier hukuiona ..wakati Muller anashangilia akijua washanyanyua kwapa ..then anatokea Didier pasipojulikana yani Dakika za lala salama kabisa ...bongee la header unforgettable... Ingawa hata iyo uliyosema ilikuwa kali lakini badae ilikuja kuwa nyepesi sana maana mapema tu Madrid aliongeza bao nyingine za kushato ..ila hii ya Chelsea na Bayern acha bwana..[emoji3][emoji3]
 
Mwanamke akitaka nimuache anishauri niache kuangalia football tournament za ulaya hasa uefa, wacha kabisa tena kwenye big screen,noma sana.
 
Hawa walipigwa 7-2 na united mwaka 2007 .....gaucho ndani kati dimbani wanafichwa na mtoto mdogo tu anderson
 
Rooney aliwapiga bao nne
 
nenda youtube,sio mbali..afu utarudi kuniambia nani mwamba..gaucho ni starehe kumtazama,messi aliwapa waarab viatu,wakamrudishia,lakini waarabu wakagombea viatu vya gaucho
Mpira wa siku hizi ni score tu, ndio maana wachezaji wakipata mpira wanakimbilia mbele kwenda kufunga tofauti na mpira wa kipindi cha kina Gaucho ambacho ufundi ulitawala zaidi. Mtu anaveshwa kanzu, anavuliwa, anashushiwa na tobo.
 
Dunia imemtambua messi baada ya gaucho kuondoka barcelona......
Jiulize swali dogo tu kama gaucho angekuwepo mpaka miaka ya karibuni huyo Messi ungemjulia wapi
ni kweli jomb anachosema hata rekodi zinawabeba mkuu messi na ronaldo wamefanya mengi ukiachana na pele
 
Mwambie ivi miaka ile soka lilikua la kukata na shoka kweli kweli mtu unaenda angalia pira hujui nani anashinda ndio maana ilikua ni vigumu mno madrid kuchukua uefa mara tatu mfululizo tofauti na sasa.....unaenda kibanda umiza matokeo unayo mfukoni
rekodi kitu gani wewe!!!..kufunga magoli inategemea na timu unayocheza na ubora w wapinzani wako,barcelona hata nicklas bendtner angefunga goli 40 kwa mwaka
 
Vipaji vilikua vingi sana miaka ile aiseee ndio maana ulikuta timu kibao zina wachezaji karibu first eleven vipaji tupu........kitasa lucio na ubora wake anachezea leveekusen
 
Soka la leo kupata first eleven yenye vipaji tupu ni mtihani kwa kweli hata utumie ela vp.....lakini miaka ile ili jambo lilikua la kawaida sana kukuta madrid united ac milan derptivo kuwa na vipaji tupu first eleven zao....
 
Vipaji vilikua vingi sana miaka ile aiseee ndio maana ulikuta timu kibao zina wachezaji karibu first eleven vipaji tupu........kitasa lucio na ubora wake anachezea leveekusen
Liverkusen ile iliyofika finally na Madrid na kufungwa kwa tabu gori moja la maajabu na Zidane, Kitasa Lucio, Michaek Ballack kwenye kiuongo, unaoona mpira uliojaa aina zote za udambwi, kuanzia mpira wenyewe, uwezo binafsi, bila kusahau ubabe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…