UEFA Zamani, sasa ni mfano tu.

Soka la leo kupata first eleven yenye vipaji tupu ni mtihani kwa kweli hata utumie ela vp.....lakini miaka ile ili jambo lilikua la kawaida sana kukuta madrid united ac milan derptivo kuwa na vipaji tupu first eleven zao....
Kweli kabisa, angalia mifano ya karibuni kabisa, kwa mfano Sc Milani ya miaka ya 2002 kuna juu, Man U ya kipindi hicho, Real Madrid, Arsenal, Juventus, Buyern Munich, Valencia unaona Ni timu zimesheni kweli kweli!
 
Acha kabisa leo hii nenda united first eleven vipaji vipo viwili tu pogba na degea [emoji3][emoji3][emoji3] nenda kwa pep hawafiki hata watano ila ana watu wa kazi wengi kama klopp......kwanini ronaldo na messi wasitambe bana wanacheza na timu zenye vipaji vya mpira vya kuhesabika.....nakumbuka miaka ile ronaldo anaminywa na gattuso mpaka unamuonea huruma hahahaha......ndio ujue kabisa huyu ronaldo anaetamba sasa ivi angekuwepo miaka ile mpaka kustaafu kwake angeishia kutamba palepale epl tu.....
Kweli kabisa, angalia mifano ya karibuni kabisa, kwa mfano Sc Milani ya miaka ya 2002 kuna juu, Man U ya kipindi hicho, Real Madrid, Arsenal, Juventus, Buyern Munich, Valencia unaona Ni timu zimesheni kweli kweli!
 
Madrid kachukua UEFA triple mara mbili.
Sema hiyo Real madrid yenu ya kina Ronaldo ilikuwa nyanya tu haikutamba Ulaya kama ya kina CR7
Mwambie ivi miaka ile soka lilikua la kukata na shoka kweli kweli mtu unaenda angalia pira hujui nani anashinda ndio maana ilikua ni vigumu mno madrid kuchukua uefa mara tatu mfululizo tofauti na sasa.....unaenda kibanda umiza matokeo unayo mfukoni
 
Madrid kachukua UEFA triple mara mbili.
Sema hiyo Real madrid yenu ya kina Ronaldo ilikuwa nyanya tu haikutamba Ulaya kama ya kina CR7
Mkuu hiyo Real ingechukuaje mara mbili mfululizo au zaidi wakati timu zilikuwa zimeshegeni vipaji. Niatakupa mfano, Mwaka 2002 Real ilichukua ndoo kwa kuifunga Buyern Liverkusen ya kina Ballack goli moja bila, mwaka 2003 Real hii ikiwa na Iker Casilas, Roberto Carlos, Claude Makele, Zidane, Ronaldo De Lima, Raul Gonzales, Ruis Figo, Fernando Redondo waliitoa Machester United kwa Jumla ya Magoli 6-4, Manchester wakifa 3-0 bila Bernabeu lakini wakashinda 4-3 Old Traford, hii ilikuwa bonge la Mechi hasa ya marudio. Nusu Finally Real akapangwa na Juventus, Juve wakaenda Bernabeu wakala 3-0, Madrid akaenda Pale Turin akachezea 4-0, hapa Casilass hawezi kumsahau Del pierro, Hawa Juventus waliotoka kumchakaza Madrid wanaingia finally na Ac Milan na Milani anachukua ndoo. Ninachotaka kukuonyesha hapa ni namna gani miaka hiyo ikikuwa ngumu kuchukua ndoo ya EUFA back to back kwakuwa timu zilikuwa na wanaume kweli kweli, Mzee Fergie pamoja na umaarufu wake wote pamoja na heshima zake, muulize amechukua EUFA mara ngapi!? Mzee Wenger ndio usiseme! Nenda kaangalie battle za Chelsea na Barcelona miaka hiyo ya 2004-2005, 2005-2006, hadi kuja 2008 uone wanaume walivyokuwa wanatoana jasho, halafu urudi useme kama Huyu Zidanw angeweza kuchukua EUFA back to Back miaka hiyo!
 
Inatamba vipi ulaya kaka wakati toka upo makundi mpaka fainali unakutana na first eleven iliyosheheni vipaji tupu tofauti na sasa...
Madrid kachukua UEFA triple mara mbili.
Sema hiyo Real madrid yenu ya kina Ronaldo ilikuwa nyanya tu haikutamba Ulaya kama ya kina CR7
 
Tatizo huyo anatoa majibu kimihemko sana mwambie arudi tena kule juu aangalie first eleven ya ac milan halafu aje kuniambia ni timu ipi kwa sasa ina first eleven kama ile.....
 
Hata mpira wa sasa ni mtamu ila VAR ndio ina haribu radha.
During Arsenal’s game against Bournemouth they believed they should have had a penalty for a foul on Pepe. VAR ref on the day Anthony Taylor believed it was a penalty but didn’t want to overrule Martin Atkinson‘s decision..

What the f*ck’s the point in him being there then?! https://t.co/WcHrmZylec
 
Kweli kabisa, angalia mifano ya karibuni kabisa, kwa mfano Sc Milani ya miaka ya 2002 kuna juu, Man U ya kipindi hicho, Real Madrid, Arsenal, Juventus, Buyern Munich, Valencia unaona Ni timu zimesheni kweli kweli!
Roy Keane alishahojiwa akasema:

Manchester United ya sasa ina wachezaji ambao hata kama wanafunga bado hawana hadhi ya kuichezea Man United. Na kwamba Manchester United ni kubwa kwao.

Akaanza kumtaja Ashley Young, Jones na wengine.
 
👍
 
Nimecheki Uefa/La liga, Serie A kipindi hicho..kwakweli tuseme tu ukweli, UEFA kwanzia 2008-2019 ni tamu kuliko zote zilizopita.

La liga kwanzia 2008-2019 ni tamu kuliko miaka iliyopita.

Serie A ya kipindi hicho ilikuwa bora, kulikuwa na timu nyingi nzuri tofauti na sasa.
--Napoli ya 1984-1991 ilikuwa bora zaidi
--Inter Milan enzi ya akina Diego Milito na Cambiasso
--Ac Milan ya akina shevchenko,inzaghi, Ayala, Massimo Ambrosini, Maldini.
--Juventus ya akina Zizou-Edwin vande sar, zambrota na delpiero.
Atalanta..
Fiorentina..
 


Akina kaka ni kama akina Aguero, Neimar, Dybala, Pogba n.k...wangelikuwepo kipindi hiki wangelikuwa wanachuana na akina aguero tu...na Ballon wasingeambulia...tatizo la watanzania kitu cha zamani wanakiona kina thamani kuliko cha sasa, wakati binadamu ni wale wale tu basi ni akili ya mchezaji tu..alafu kipindi hiki sheria kibao + VAR.
 
Soon nitarudi kuwapa somo mnaojifanya wajuaji...mtu kama hujui mpira kaa kimya.
 
Sasa ya kina zidane ndio zamani?

Tutoto twa millennials Ni shida mno
 
Zile battle za Chelsea na Barca ni unforgettable mkuu ..beki kama Puyol awezi kabisa kusahau aise...kizazi cha akina Essien, Ob Mikel na wengineo Barca walipata tabu pamoja na ule utatu wao mtakatifu wa Xavi, Iniesta na Messi lakini mbele ya Chelsea walitoka jasho haswa....
 
Ilikuwa ni hatari mkuu!
 
Sasa ya kina zidane ndio zamani?

Tutoto twa millennials Ni shida mno
Andika vizuri basi.

Millennials ndio nini?

Unachanganya herufi kubwa na ndogo.

Hujaenda shule eeh...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…