severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Civic United Front au CAFU!?Namic sana CUF hakuna back kisiki atatokea ukiangalia alves ashaaza potea kidogo kama alitaka awe CUF namba mbili ya ac milano na brazil
Sahivi tunaangalia magic za Tammy Abraham, Marcus Rashford,Saka n.kDaa kweli aise nikikumbuka mechi ya mtoano mwaka 2003, Manchester United ya akina Rio Ferdinand, Wes brown, David Beckham, Van Nestroooy, nevel brothers, Nick Batt, Fabian Bathez dhidi ya Real Madrid ya kina Claude Makele, Ronald9, Zinedine Zidane, Ruis Figo, Raul Gonzalenz, Roberto Carlos, Ika Casilas, kwa kweli nauona usiku wa Ulaya ukiwa unapoteza radha, Sasa tunaenda kumuangalia Mason Mount badala ya Frank Lampard, Jesse Lingard badala ya Ricardo Kaka, Jordan Henderson badala ya Genarro Gatuso, Michael Ballack Lucas Versques Karim Benzema badala Van Nestroooy, Andre Shevchenko, Didier Drogba, De Lima. Eti Leo Erick Bailly, Fikayo Tomori wanacheza UEFA wakati sisi tulizoea kuwaona Lucio, Ferdinand, Vidic, Soul Camplel, Allesandro Nesta, Jap Stam, John Terry, Ricardo Cavalho e.tc unaweza kuona hapa tulikuwa tunaenda kuangalia vitu viwili, kwanza Mpira wenyewe kwa ujumla, lakini pia Battle ya mtu mmoja na mwingine, yaani Zidane anavotoana jasho na Paul Scholes, au Genarro Gatusso( kaangalie mechi ya Nusu fainali 2003 Juventus anakufa 3-0 Santiago Bernabeu, halafu Madrid anakuja kufa 4-0 pale Turin), Rio Ferdinand anavokabana koo na Ronald9, nyie acheni bana, Sasa hivi unaweza ukawa unaangalia mpira ukajikuta hata hunconcertrate kwa sababu tu ya mbwembwe za Kidukulilo, miaka hiyo mpira unapigwa kika sekunde lazima ukoncerntrate!
Nilivoanza kusoma nikawa naelewaelewa mwishoni nimegundua una matatizokumbe unajua kwamba ronaldinho kamzidi vyenga messi!!!...santiago bernabeu ni gaucho ndiye aliyepata standing ovation,messi mwenyewe anamkubali gaucho,kama gaucho hajamzidi chochote messi barcelona sasa messi anamzidi nini mume wa shakira!?
Pia mwambie huyo kuwa mpaka sasa ni Ronaldinho ni Mchezaji pekee aliepata standing ovation pasipokucheza match.kumbe unajua kwamba ronaldinho kamzidi vyenga messi!!!...santiago bernabeu ni gaucho ndiye aliyepata standing ovation,messi mwenyewe anamkubali gaucho,kama gaucho hajamzidi chochote messi barcelona sasa messi anamzidi nini mume wa shakira!?
Unakimbia nini kuzungumzia mafanikio kwenye World Cup?
Kwenye Club hakuna team work au kwenye club na team ya Taifa idadi ya wachezaji wanaokuwepo Uwanjani ni tofauti?Ile ni team work, labda hujui maana ya team work!!
Ile ndo ilikuwa uefa mkuu ..yani nguvu nguvu ..yule referee aliyechezesha ile gemu alikuwa anaichukia sana Chelsea..Great robbery in football history ni Final Kati ya Chelsea na Barcelona from that moment I hate Barça dogs
Ile final mbna ilikuwa nyepesi sana mkuu... ile kivyovyote Liver ilikuwa lazima afe tu ...hata Salah angechezaNa ile ya Liverpool na Real Madrid?
Mwanzoni kabisa M.Salah anafanyiwa ukatili na Ramos
Si ndio sasa ...Dihno atabaki kuwa Nabii wa mwisho kwenye soka, huyu messi ni balaa ila ni white basi lazima abwebwe tu..Chotora ni sisi tunawaita hivyo, ila kwa wazungu hao ni blacks, hujiulizi Obama alikuwa anahesabika ni raisi mweusi??
Haha Pepe atakuwa kisiki cha mwisho kwenye soka.Mabeki wakazi washoka walimalizikia hapaView attachment 1235279
Aaah wapi, Marcos Rashford enzo hizo sidhani Kama angeweza hata kucheza EPL achilia mbali MANU, japo Tammy akipewa nafasi ya kutosha hapo Chelsea anaweza kuja kuwa bonge la mshambuliaji mwenye vinasaba vya washambuliaji wale wakatili!Sahivi tunaangalia magic za Tammy Abraham, Marcus Rashford,Saka n.k
Kama messi hawezekaniki barca wasingekua wanatolewa kifala uefa consecutive, NB usiwasingizie wenzake (teammates) kwani wao wana zuilikaMessi hata kina gatusso wawili wasingeweza. By the way sijui ni kwa nini huwa mnamsifia sana Genaro wakati alikuwa Wa kawaida. CR7 ndio alimpa ujiko huyo mchezaji
Kwani wewe lile jicho la ozil unalionaje!? Maoni yake yaheshimiwe.ronaldo anakwambia sijawahi kuona mtu mwenye jicho kama ozil
Sijui kama umewaza kabla ya kutoa haya maoniDunia imemtambua messi baada ya gaucho kuondoka barcelona......
Jiulize swali dogo tu kama gaucho angekuwepo mpaka miaka ya karibuni huyo Messi ungemjulia wapi
Madrid ya kina De Lima ilikuwa ya wanaume haswa. Na kipindi hicho timu pinzani hasa hizi kubwa zilikuwa ni za kiume haswa,so isingekuwa easy kuwika kama hii ya kina cr7 ambapo Madrid wao waliwekeza kisawasawa ilihali wapinzani wapo kawaida tuMadrid kachukua UEFA triple mara mbili.
Sema hiyo Real madrid yenu ya kina Ronaldo ilikuwa nyanya tu haikutamba Ulaya kama ya kina CR7