Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,023
Sasa unataka tukusaidiaje?Mkuu hata NASA walianza kidogo kidogo ndio wamefika walipo
Tatizo watu hawakubali wasichokiona ila Mimi nilishuhudia kabsa mkuuNi ukweli kitu Kama hicho kilitokea nami pia nilishuhudia dhahiri shahiri nikiwa Geita, in short anachokisema impongo ni ukweli mtupu na wala haongopi ata chembe.
Mkuu onyesha thread ya uongo niliyo wahi kuileta hapa jamvini?Nilichogundua wafrica wengi hatuna elimu na uelewa wa mambo!
Vitu vya kawaida lakini wengine wanachukulia masihara Mara wengine wanaleta upuzi!!
Also mleta mada ahaminiki coz ya nyuzi zake!! Ni MTU mjanja mjanja hivi!!!
Kama utafatilia thread zake
mkuu siri gani hiyo unayoifahamu ww tu...Katika uhalisia wa anga na vitu vilivyomo angani, kuna siri kubwa kubwa sana. Wengi wetu tumeaminishwa uongo kupitia michoro ya wanadamu ambao hawataki the mass kufahamu ukweli......
Hauna evidence mpaka ukama ukweliNi ukweli mkuu
Sikuelewi, kama hauna uthibitisho, zitakuwa hadithi za kufikirika.Mkuu Mimi si mtunzi wa masimulizi ni ukweli tupu