Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Nguvu za kiume Ni pesa maana ukiwa na Maisha Magumu ngono ni mateso tu Kama kulima katika lami
TRUE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguvu za kiume Ni pesa maana ukiwa na Maisha Magumu ngono ni mateso tu Kama kulima katika lami
SawaAcheni blah blah ya manguvu ya kiume,. Nguvu za kiume???!!!! Hivi kwani mababu zetu walikua hawatambui kama Kuna hii kitu inaitwa nguvu za kiume??? Iweje ije ku trend kizazi hiki tu??? Kila Kona tunauza dawa za nguvu za kiume... Mara ushauri Mara sijui nn? acheni kutishana .. kijana tafuta pesa ndio nguvu za kiume zitazofanya usiwe na stress na uwe na furaha na amani ya maisha.
Rudia tena kusoma maelezo, hukuelewa vzr..Kwahiyo, huyu anayewahi kumaliza tendo na kushindwa kurudia ni ukosefu wa nguvu za kiume? Lakin ana uwezo wa kumpa mwanamke Mimba.
Na huyu anayesimamisha vizur uume, anauwezo wa kumudu tendo lakini hawezi kumpa mwanamke Mimba ni ukosefu waa nguvu Gani?
Duh!Umesema kweli mkuu, kuna jamaa mmoja huku mtaani kwetu alikua anapenda sana kutongoza mademu warembo .
Kila mtu akajua huyo jamaa ni player. Bwana weee imekuja kufumuka skendo kumbe jamaa ni shoga na video yake kama ya yule afande wa Zenji ipo.
Ingia ufanye utafiti wako, uje na matokeo yako pia.Kijana amekuja na hisia zake tu akadhani ndio facts
Kwa nini unasema hivyo?Ndio tafiti unazoziweza ?
Kwa hiyo vijijini wote ni bodaboda au waendesha baiskeli?Angajiuliza swsli dogo kati ya mijini na vijijini wapo wako na nguvu za kiume
Na baaiskel wapi zinatumika sana
Angepata majibu tu rahis
Au kwann
Mjini kila kona wanauza vumbi la kongo na sio kijijini
Angepata majibu
SawaMkuu mimi nipo kinyume kidoogo na wewe,mimi nimeendesha bike zaidi ya miaka minne na ndio ilikuwa inanipa stamina kinoma.
kha!PIA HUMALIZA MAKALIO na mwisho BODABODA ni LAANA
Mi nakaa Kantalamba Mkuu.Nikisaidie kwa ufupi sina na haijawahi na kwenye familia hatuna historia ya sukar
Pili swala nguvu kuwa nazo au sina leta mkeo atakusimulia kama zipo au hazipo
Nimekupa elimu ya kawaida sana kuhusu logic ya nguvu za kiume
Na nimekupa mifano ya mimi binafsi kuhusu pikipiki na basikeli
Lakini kuna watu wamekueleza kuhusu watu wa kanda ya ziwa ambao usafir wao mkubwa baiskeli tena za phonex
Wake kwa waume lakini kanda ya ziwa ndio wanaongoza kwa kuzaliana
Njoo tabora bodaboda zetu 70% ni baiskel
Sasa labda uje utumbie dalili za kukosa nguvu za kiume ni zipi ili wale waendesha basikel wakuthibitishie
Vijiji mwtu.wazaz wmetumia sana baskel
Magari tanzania miakanya 90 unatafuta kwa tochi mpaka 2005 ndo umiliki wa watu umekuja kwa kasi sana nyumba moja gari 4 skuiz sasa wale wa nyuma manake baislel ndo alikiwa mkombozi wao
Vipi wanamatatizo ya nguvu?
Zipo sababu kadhaa za kibaologia kabisa za kumfanya mtu akose hamu ya tendo au nguvu za kiume
Leo nakupa baadhi
1. Mtindo wa maisha (vyakula) mfano vyakula vya makopo vya kusindika
Watuamiaji wa vile wengi watakosa nguvu za kiume baada ya muda, wahanga ni wanaume waishio mijini ukiwamo wewe
2. Maradhi sugu
Hapa napo utakutana na tatizo mfano wagonjwa wa presha na sukar type 2 na mengineyo mengi tu homa ya ini kansa
3. Nature ya kazi
Mfano watu wa shughuri za viwandani hasa vya kemikali au mionzi nk wanakumbana na hilo tatizo moja kwa moja kama hawatachukua tahadhari
Na hata madreva wa masafa marefu ambao wanakaa muda.mrefu kwenye kiti nao pia wahanga
Haya ni baadhi
Ila kamwe baiskeli haijawahi kuwa tatizo
Zaid inaweza kuwa tiba kwa uimarishaji wa misuli
Nikupe mfano mwepesi kijana
Tufanye research ndogo ya kugharim miez miwili au mitatu
Mchukue ashura uwe unampiga mara 1 kwa wiki au mbili kwa mwezi
Na mchukur amina piga kila siku
Katika hao
Yupo utambiwa unanguvu sana kama nyati
😁😁Bora boda boda kuliko mwalimu.. alijisemea lijamaa flan hivi humu ndani
We umefanya wapi utafit sisi ndo tunakueleza acc to research paper zilifanywaIngia ufanye utafiti wako, uje na matokeo yako pia.
Hoja hupingwa kwa hoja.
Utafiti hupingwa na utafiti.
No Research, no right to speak!
Kantalamba kabisa ya ufipa?Mi nakaa Kantalamba Mkuu.
Sikai mjini.
Kazi yangu ni bodaboda.
Nimeongea kutokana na uchunguzi na uzoefu wa miaka 7.
Japo sipingani na hizo sababu pia ulizoshirikisha kwenye bandiko lako hili.
Changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume ni suala mtambuka.
Na nimesema katika bandiko langu kwamba, kuendesha bodaboda na baiskeli ni mojawapo kati ya sababu hizo.
Kitu unapaswa kuelewa ni kwamba; kitu kinachoweza kumuathiri mtu fulani, siyo lazima kikuathiri na wewe pia kwa kiwango kilekile!
Mfano; watu wawili wanaweza kunywa sumu ya aina moja, kwa kiasi cha aina ile ile, mmoja anaweza kufa lakini mwingine akanusurika!
Au watu wawili mnaweza mkashindishwa njaa bila kupewa chakula; kati yenu lazima mmoja atawahi kufa kabla ya mwingine!
Bila shaka umenielewa Mkuu..
Usikaze ubongo.
be open minded.
Ova.
😁😁😁😁😁Kantalamba kabisa ya ufipa?
Mwee posuta
Iko hivi ukienda hivyo manake hata kulala sana kuna punguza nguvu za kiume
Kupiga sana keleel kadharika kutembea kwa mguu sana kwa gari sana
Kupanda sana ndege
Tren sana
Kwa mguu sana
Kote kunamaliza nguvu za kiume insome way off
😁😁😁😁😁
Ww umeshindikanika Mkuu.
Sikuwezi!
Hakuna zoezi zuri sana kama kutembea (walking).Kantalamba kabisa ya ufipa?
Mwee posuta
Iko hivi ukienda hivyo manake hata kulala sana kuna punguza nguvu za kiume
Kupiga sana keleel kadharika kutembea kwa mguu sana kwa gari sana
Kupanda sana ndege
Tren sana
Kwa mguu sana
Kote kunamaliza nguvu za kiume insome way off