mbenge
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 4,864
- 10,483
Mkuu kuna vitu watu wanasita kuvizungumzia kwa uwazi ijapokuwa kwa sasa vipo kwa wingi katika jamii yetu ya Kitanzania. "Moral rejuvenation" imefikia kiwango cha kutisha, huku kukiwa na "misconception" kuwa ushoga ni kwa upande wa wanaume tu.Kweli Mkuu,
Ni vzr mtu ajue ukweli.
Suala la kuufanyia kazi ni juu yake.
Ahsante sana
Upande wa wanawake hauzumgumzi kwa uwazi ijapokuwa tunatambua kiwango cha kutisha cha ukahaba. Na mtazamo juu ya ukahaba unaangaliwa kama dalili za tatizo wala siyo kama matokeo ya tatizo sugu lililopo. Malaya wengine hawatumiki kwa ajili ya kujipatia kipato haramu, wengine ni kwa kuwa hawatoshelezwi na wenzi wao.
Hivi kwa nini hatujiulizi kwa nini kumetokea soko kubwa la "dildo" hivi sasa hapa nchini!? Tena nyingine hata za mitumba zikiuzwa hadharani. Hii ni kwa sababu wakina mama wameamua kujipimia wao wenyewe, kwa kuwa wenzi wao wanawaangusha wawapo kwenye sita kwa sita.
Mambo yanayoathiri "libido" ni lazima yaongelewe kwa uwazi, vijana wa kiume washauriwe kuzingatia mambo ya ushauri nasaha, na vijana wawe wanahudhuria mara kwa mara ili wapate utulivu wa kiakili wawapo ndani eneo la kujidai. Wale lishe bora na yenye virutubisho, na pia wafanye mazoezi ya kutosha. Kukwepa kufanya hivyo wataishia kutumia vumbi la Kongo, kunywa supu ya pweza na ngisi, kuweka ugolo kwenye dudu zao, kutafuta stimu kupitia bange, n.k. lakini "performance" bado itabakia kuwa "zero".