sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,208
- 2,525
Na tabora aiseeehii nadharia yako ungeifanyia utafiti usukumani kuliko baiskeli nyingi, ungeifuta kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na tabora aiseeehii nadharia yako ungeifanyia utafiti usukumani kuliko baiskeli nyingi, ungeifuta kabisa
Yeah, maana ni janga kwa bodaboda wengi..Hapa utasikilizwa kwa makini.
Hata za matumizi ya kawaida majumbani Ifakara,Kyela,Tanga mjini,Pangani,Kilosa,Shinyanga,Tabora na Mwanza watu wanatumia baiskeli zaidi ya miaka 20 kuendesha umbali mrefu na hizo nguvu si tatizo.Kama inaongelea zile za kufanyia mazoezi kwa dakika 30 hadi lisaa tu kwa siku ni sahihi.
😁😁😁😁😁😁Sioni faida ya kukudanganya sio maana
Nguvu za kiume kuna kitu wengi hawajui sio kweli wanaume skuiz hawana nguvu, hapana
Nguvu wanazo shida ni hisia
Hisia hazina mashiko kwa sababu wanawake kuwapata saiv easy
Unatongoza leo anakupa leo leo
Hujateseka hajakusumbua kuzukumalizia viatu hela yako haijaitesa
Unakosa sababu ya kukamia unapiga kimoja unasepa afu unamdharau kwanza
Ni nguvu kwenda kwa kahaba ukapiga bao moja muda mrefu sababu pale mapenzi hakuna ni kupiga umwage usepe
Zaman tulisifiwa sana kuwa nguvu
Kwanza kuona paja la mwanamke ilikuwa kazi sana na bahati nasibu
Saiv sehemu za siri ziko wa wazi za wazi zimekuwa siri
Anavaa wigi kichwani afu chini anakuachia nusu
Pili zaman tulisifiwa sana sababu
Unamfukuzuia mwanamke miezi miaka mpaka anakuja kukukubali
Siku anakutunuku shekhe wangu lazma umshone haswa haswa haswa haswa
Akitoka hapo story ni wewe tu akimuona baba ake sura inakuja ya kwako mtoto wa watu anachanganyikiwa kabisa
Tufanye kazi
Saiv kigumu kupata ni condom tu ila sio penzi
Vitumbua vinapatikana kirahis sana mitaani mwetu
Ni ulafi wako tu na havina gharama
Mpaka kukopa ipo saiv
Tusizipe kesi baiskeli wala pikipiki wengine pia hulamu magari
Hapana hapana hapana
Mwisho niseme wanawake saiv wengi hawamudu mishindo ya mwanume
Hasa wa pili ila tatizo kwao halisemwi kabisa
Wengi hukimbia
Asubuhi njema
Walikumpwisa mayoe kainyokaleeele
AiseeeMbona kijijini wanaendesha sana baiskeli na wana nguvu chungu mzima!
Kijana umeelewa au bado niongeze vitu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nilikua na utaratibu wa kuendesha baiskeli toka Muze hadi Zimba,aisee kuna siku nimefika Mtowisa,nikasema ngoja nilale pale,mdada mmoja ni mwanafunzi wa shule moja ya sekondari pale Mtowisa inaitwa Vuma,alijichanganya,nilimkanyaga,yaani bao la kwanza lilichukua siyo chini ya saa moja,ile namaliza,miguu yake hadi ikawa inatetemeka,mnara ukasoma tena ndani ya dakika mbili nikamuomba nipige raundi ya pili,aligoma kabisa,akasema kachoka.Toka siku hiyo sijawahi kupiga raundi ndefu ya bao la kwanza kama lile,ila nachani iliyoniboost ni uendeshaji wa baiskeli,leo namsoma huyu mtafiti,sijui lakini.Mwaka 2016 nilikuwa natokanna baiskel bagamoyo mjini to kelege nenda rudi kila siku
Na sijawah pata tatzo
Hilo
Mwaka 2018
Nimezunguka vijiji vyote vya mkoa wa rukwa na katavi kwa pikipiki na sijawahi pata hilo shida
Vijiji vyote ndani ya miez miwili
Hakuna nilipo acha rukwa katavi
Na maisha yangu tu kawaida
Sina gari hivyo pikipiki kwangu ndo usafir
Mwaka huu nataka nichukue xr cc 400 nataka nianze safiri nalo mkoa to mkoa dar katav dar mbeya
Bila shaka hujanielewa vzr ndugu yangu.Hata za matumizi ya kawaida majumbani Ifakara,Kyela,Tanga mjini,Pangani,Kilosa,Shinyanga,Tabora na Mwanza watu wanatumia baiskeli zaidi ya miaka 20 kuendesha umbali mrefu na hizo nguvu si tatizo.
Ongezea tu Madini MzeeKijana umeelewa au bado niongeze vitu
Bado sijaelewaOngezea tu Madini Mzee
Uongo!Hawa Hawa ndio mnawatuhumu wanaongoza kwa kula wake zenu,Kuna theory nyingine inasema mitikisiko ya bodaboda wanapoendesha ,husabanisha muscles kuwa active ,mzunguko wa damu unakuwa bora na kuwafanya wawe sexual active zaidi
Wewe utakuwa kati ya wanaume wabinafsi ambao wakati wa tendo wanajiangalia wao tu bila kuwafikilia wenza wao!Na wewe unaposema upungufu unamaanisha nini? Kwani mtu mwenye nguvu za kiume ni mtu wa aina gani?
Kwangu mimi mwanaume mwenye uwezo wa kusimamisha, na kusababisha ujauzito; huyo ana nguvu za kiume. Hayo mambo mengine sijui ya kutumia vumbi la Kongo, viagra, kwenda raundi nyingi, kutumia dakika nyingi, nk. Ni mbwembwe tu.
Ndo tumegundua ni shida zaidi ya upungufu wa nguvu za kiume kwa vijana wetu!Mmmmh!! Mnehamia kwenye boda na baiskeli sasa🙆🙆🙆
Shida yake huwa anachanganya ukweli na uongo. Ninachomaanisha huo ukweli wa kabla ya kuchanganywa na uongo, utabaki kuwa ukweli!Hakika ila shetani ni mwana wa uongo, hajawah kua na kwel ndan yake!!
Muze karibu na kasansa huko kutokea mamba aiseeeNilikua na utaratibu wa kuendesha baiskeli toka Muze hadi Zimba,aisee kuna siku nimefika Mtowisa,nikasema ngoja nilale pale,mdada mmoja ni mwanafunzi wa shule moja ya sekondari pale Mtowisa inaitwa Vuma,alijichanganya,nilimkanyaga,yaani bao la kwanza lilichukua siyo chini ya saa moja,ile namaliza,miguu yake hadi ikawa inatetemeka,mnara ukasoma tena ndani ya dakika mbili nikamuomba nipige raundi ya pili,aligoma kabisa,akasema kachoka.Toka siku hiyo sijawahi kupiga raundi ndefu ya bao la kwanza kama lile,ila nachani iliyoniboost ni uendeshaji wa baiskeli,leo namsoma huyu mtafiti,sijui lakini.
Kwa hiyo Mkuu kiasi cha muda wa kusuguana dakika moja tu inatosha?Watu wanachanganya, nguvu za kiume sio kukaa JUU ya kinena cha mwanamke kwa masaa mengi.
Kuwa na uume unao simama imara usio lege lege na kuweza kufanya tendo kwa ufasaha ni nguvu Tosha za kiume sio mpaka tufanye siku nzima ad mnachubuana kama.
Dk moja tuu inatosha kumtoshereza mke wako ikiwa Uta chukua Muda vema kumuandaa kumtengenezea mazingira rahisi ya kumfikisha atakako,
Kama maishine Ina simama maishine inakomboa hakuna tatizo Bali mnajipa stress na kupeleka kuwa na uwezo mdogo WA kusasambua mbususu
You hit the right target Mkuu.Hili la kwamba bodaboda(majority) wana upungufu wa nguvu za kiume limeshasikika sana lakini tatizo si kwao tu bali hata waendesha tractors au wanaolima kwa tractors kwa muda mrefu nao wana similar problems pamoja na truckdrivers waliofanya kazi hiyo kwa muda mrefu, ila wale wa bodaboda tatizo lao ni kubwa zaidi na hulipata ndani ya muda mfupi mpaka ile position lilipo tank la petrol huwa inadhaniwa kwamba ndiyo sababu. Hili jambo linahitaji research ya kina ili kufahamu chanzo cha tatizo ni kipi, labda ni kule kudundadunda huku wakizibalasa balls(pumbu) ndiyo chanzo cha matatizo. Itafutwe namna ya kuwasaidia hawa vijana.
Babu yangu alikuwa akiniusia mara kwa mara, sifa ya mwanaume licha ya kuitunza vyema familia yake, lakini la muhimu pia kuruka kwa umahiri mreji.UENDESHAJI WA BODA BODA NA BAISKELI KWA MUDA MREFU UNAPUNGUZA NGUVU ZA KIUME; WAENDESHA BODA BODA KUWENI MAKINI.
Leo naenda kwenye mada moja kwa moja, maana hili ni suala nyeti sana.