Uendeshaji wa boda boda na baiskeli kwa muda mrefu unapunguza nguvu za kiume; waendesha boda boda kuweni makini

Uendeshaji wa boda boda na baiskeli kwa muda mrefu unapunguza nguvu za kiume; waendesha boda boda kuweni makini

Inawezekana mtoa mada ulizaliwa kipindi cha jakaya enzi zetu unapanda baiskeli tegeta mpaka bagamoyo na kurudi na bado nyumbani mama anawatoto wa kutosha tatizo kaka ni mabinti wa siku izi wanatumia tango ugoro wanaweka ukeni wanatumia uume wa mdori kingine wake zetu zamani walikua wanahifadhi miili yao kuona upaja ufanye kazi sasa angalia leo wanashindana kutembea uchi wanachoma sindano za uzazi wa mpango mwanamke hana joto tena ni wa baridi sasa kutwa nzima tunaona uchi wa mabinti ham tena inatoka wapi wacheni boda wewe kama unashindwa kwa mkeo tafuta wazee wakusaidie tatizo lako
Hao bodaboda ndo tunatafuta namna gani ya kuwasaidia, hakafu wewe Mzee wangu unasema tuwaache ili waendelee kuumbuka na kuathirika kisaikolojia?
 
Babu yangu alikuwa akiniusia mara kwa mara, sifa ya mwanaume licha ya kuitunza vyema familia yake, lakini la muhimu pia kuruka kwa umahiri mreji.

Libido ikiwa ni shida ndipo sasa tunashudia agenda ya rangi za upinde wa mvua ikipata nguvu nyakati hizi. Vijana wanakuwa "wimpy" hata katika "matrimonial bed" zao kwa kutotaka kushauriwa. Nabii Lema ameshawaambia kuwa hiyo siyo ajira bali ni laana wakampuuzia.

Haya bana, shauri zao.
Kweli Mkuu,
Ni vzr mtu ajue ukweli.
Suala la kuufanyia kazi ni juu yake.
Ahsante sana
 
UENDESHAJI WA BODA BODA NA BAISKELI KWA MUDA MREFU UNAPUNGUZA NGUVU ZA KIUME; WAENDESHA BODA BODA KUWENI MAKINI.

Leo naenda kwenye mada moja kwa moja, maana hili ni suala nyeti sana.
We ni ke au shoga? Unawezaje kujua km wanaume wenzako hawana nguvu za kiume? Uonage hata aibu kuandika vitu km hivi
 
Hivi, kati ya hawa nani mwenye Tatizo la nguvu za kiume?
1. Asiyeweza kumpa mwanamke Mimba.
2. Asiyeweza kusimamisha uume wake.
3. Anaye wahi kufika kileleni ndani ya dk 3.

Isije ikawa tunalitumia vibaya hili neno "upungu wa nguvu za kiume"
Huyo ambaye hawezi kusimamisha Uume wake ana ukosefu wa nguvu za kiume (yaani hana nguvu kabisa)

Unaweza kuwa unasimamisha vzr na performance ikawa vyema sana lakini usiwe na uwezo wa kutungisha mimba!

Upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya kuwahi kufika mapema (ndani ya dakika 3), na kushindwa kurudia tendo baada ya bao la kwanza.
Bila shaka umenielewa.
 
Kuna mwinjilisti kule Njombe alikuwa anatembea na baiskeli muda wote kijiji kwa kiji kupiga injili miaka na miaka. Nadhani kama baiskeli ingekuwa inasababisha tatizo angeifyekelea mbali.
Kumbuka alikuwa anatembea kutoka Njombe, Luponde, Lusitu, Madope, Mkiu Kiyombo, Mlangali, Masimbwe, Milo, Mawengi, Ludewa, Manda. Atarudi tena anaizunguka Makete na vitongoji vyake na kibaiskeli chake cha gia.
 
Ingekuwa hivo wasukuma wote wangekuwa hawana nguvu za kiume na wanawake wangekuwa hawana nguvu za kike😀
 
Kuna mwinjilisti kule Njombe alikuwa anatembea na baiskeli muda wote kijiji kwa kiji kupiga injili miaka na miaka. Nadhani kama baiskeli ingekuwa inasababisha tatizo angeifyekelea mbali.
Kumbuka alikuwa anatembea kutoka Njombe, Luponde, Lusitu, Madope, Mkiu Kiyombo, Mlangali, Masimbwe, Milo, Mawengi, Ludewa, Manda. Atarudi tena anaizunguka Makete na vitongoji vyake na kibaiskeli chake cha gia.
Uliwahi kuongea naye kuhusiana na uwezo wake wa kumkuna vzr mama Mchungaji?!
 
We ni ke au shoga? Unawezaje kujua km wanaume wenzako hawana nguvu za kiume? Uonage hata aibu kuandika vitu km hivi
Ahsante sana rafiki yangu..
Japo ulipaswa kunijibu kwa hoja badala ya kunitukana.
Hoja hujibiwa kwa hoja.
Ahsante sana
 
Uliwahi kuongea naye kuhusiana na uwezo wake wa kumkuna vzr mama Mchungaji?!
hata kama sikuwahi kuongea naye lakini sina shaka na hilo maana.
Mimi mwenyewe toka nikiwa na miaka 12 nimeendesha sana baiskeli. tend nilivyomaliza darasa la saba nikiwa na 14yrs nilikuwa nasafirisha abiria kwa baiskeli umbali wa km 15 go and return karibu kila siku. Sekondari nilikuwa natumia baiskeli ilikuwa umbali wa km 8.
Na sasa hivi nachakata mbususu kwa ufanisi usio na shaka.
 
Back
Top Bottom