Uendeshaji wa boda boda na baiskeli kwa muda mrefu unapunguza nguvu za kiume; waendesha boda boda kuweni makini

Uendeshaji wa boda boda na baiskeli kwa muda mrefu unapunguza nguvu za kiume; waendesha boda boda kuweni makini

Hutumii njia mbadala ya kuongeza nguvu za kiume?!
Mkuu sijawahi na sitowahi!.

Ukosefu wa Nguvu za kiume nadhani pia unasababishwa na mavyakula haya mabaya mabaya wanaume wanayokula!.

1.Mimi nakula Ugali wa Mtama mchanganyiko wa Muhogo(Udaga) na mahindi.

2.Nakula mboga za majani kwenye kila mlo wangu mkuu.

3.Nakula matunda kwa sana.

4.Nakunywa maji mengi.

5.Nakunywa juisi nazo tengeneza mwenyewe(Ukwaju,ubuyu,n.k)

6.Sinywi chai na soda za viwandani kuepuka sugari nyingi.

7.Bia nakunywa kwa wastani mkuu

8.Mazoezi sipigi huwa ni mvivu japo huwa natembea sana hadi jasho linitoke.

9.Sili makuku haya ya kisasa.

10.Sili chips za vibandani,nakula ninazo andaa mwenyewe nikiwa na hamu.

11.Kuku huwa nakula wa kienyeji nikiwa nina hamu nao.

SIWEZI KUTAFUTA PESA KWA SHIDA HALAFU KULA YANGU IWE YA KUJIBANA

MKuu kiukweli kama kuna sehemu Mungu amenibariki basi ni upigaji wa mikwaju.
 
Hongera sana Mkuu, ila angalia usifanye kazi ya kuendesha bodaboda kama kazi yako rasmi kama una kazi nyingine.
Maana siku hizi utaikuta hadi walimu wanafanya kazi ya bodaboda kwa muda wao wa ziada.
 
Wewe stagliptin kwa sababu ni mgonjwa wa sukari, unaweza pia kuwa na changamoto hii ya upungufu wa nguvu za kiume. Lakini kwa vijana wengi ambao kazi zao ni za bodaboda, wengi huja na hili tatizo!
Nikisaidie kwa ufupi sina na haijawahi na kwenye familia hatuna historia ya sukar

Pili swala nguvu kuwa nazo au sina leta mkeo atakusimulia kama zipo au hazipo

Nimekupa elimu ya kawaida sana kuhusu logic ya nguvu za kiume

Na nimekupa mifano ya mimi binafsi kuhusu pikipiki na basikeli

Lakini kuna watu wamekueleza kuhusu watu wa kanda ya ziwa ambao usafir wao mkubwa baiskeli tena za phonex

Wake kwa waume lakini kanda ya ziwa ndio wanaongoza kwa kuzaliana

Njoo tabora bodaboda zetu 70% ni baiskel

Sasa labda uje utumbie dalili za kukosa nguvu za kiume ni zipi ili wale waendesha basikel wakuthibitishie

Vijiji mwtu.wazaz wmetumia sana baskel
Magari tanzania miakanya 90 unatafuta kwa tochi mpaka 2005 ndo umiliki wa watu umekuja kwa kasi sana nyumba moja gari 4 skuiz sasa wale wa nyuma manake baislel ndo alikiwa mkombozi wao

Vipi wanamatatizo ya nguvu?

Zipo sababu kadhaa za kibaologia kabisa za kumfanya mtu akose hamu ya tendo au nguvu za kiume
Leo nakupa baadhi

1. Mtindo wa maisha (vyakula) mfano vyakula vya makopo vya kusindika
Watuamiaji wa vile wengi watakosa nguvu za kiume baada ya muda, wahanga ni wanaume waishio mijini ukiwamo wewe

2. Maradhi sugu
Hapa napo utakutana na tatizo mfano wagonjwa wa presha na sukar type 2 na mengineyo mengi tu homa ya ini kansa

3. Nature ya kazi
Mfano watu wa shughuri za viwandani hasa vya kemikali au mionzi nk wanakumbana na hilo tatizo moja kwa moja kama hawatachukua tahadhari
Na hata madreva wa masafa marefu ambao wanakaa muda.mrefu kwenye kiti nao pia wahanga

Haya ni baadhi

Ila kamwe baiskeli haijawahi kuwa tatizo

Zaid inaweza kuwa tiba kwa uimarishaji wa misuli

Nikupe mfano mwepesi kijana

Tufanye research ndogo ya kugharim miez miwili au mitatu

Mchukue ashura uwe unampiga mara 1 kwa wiki au mbili kwa mwezi

Na mchukur amina piga kila siku

Katika hao
Yupo utambiwa unanguvu sana kama nyati
 
Umeongea ukweli. Kama huna, huna tu. Kuna watu wako vijijini huko miaka nenda wanaendesha baiskeli, na wana watoto kama simbilisi.

Kuna sababu nyingi zinazosababisha nguvu za kiume, na zimethibitishwa kitaalam. Na katika hizo sababu zote, sidhani kama hizi za mtoa mada zipo kwenye hilo kundi.
Angajiuliza swsli dogo kati ya mijini na vijijini wapo wako na nguvu za kiume

Na baaiskel wapi zinatumika sana

Angepata majibu tu rahis

Au kwann
Mjini kila kona wanauza vumbi la kongo na sio kijijini
Angepata majibu
 
kwani nani alikuambia ukiwa na upungufu wa nguvu za kiume huwezi kuzalisha?
Ninachokiongelea na kukimaanisha ni kwamba, waendesha baiskeli na bodaboda wanakabiliwa na changamoto ya upungufu (siyo ukosefu) wa nguvu za kiume.
Nguvu za kiume ni nini basi?

Sikia ukosefu wa nguvu za kiume hupelekea kushindwa kuzalisha manii zenye umbile kamili

Yaani kuna mbegu inakuja haina mkia mwisho itafia njian manake ule mkia ndo unamsaidia kumove kufikia yai la mwanamke

Ukosefu wa nguvu za kiume na kushindwa kuzalisha ni vitu vinakwenda sambamba kwa sehemu kubwa sana
Zaid ya 70%
 
Kweli, watoto ambao hawana uzoefu na hayo mambo.
Wanaogopa wanawake watu wazima kwa hofu ya kuaibika!
Well said Mkuu
Kwanza whats kuaibika? Kiaje? Kimepiga kimoja chali nimeridhika naaibikaje? Okay hata kama yeye hajaridhika naaibikaje sasa? Ndo kupoje huko kuaibika?!
 
Mkuu sijawahi na sitowahi!.

Ukosefu wa Nguvu za kiume nadhani pia unasababishwa na mavyakula haya mabaya mabaya wanaume wanayokula!.

1.Mimi nakula Ugali wa Mtama mchanganyiko wa Muhogo(Udaga) na mahindi.

2.Nakula mboga za majani kwenye kila mlo wangu mkuu.

3.Nakula matunda kwa sana.

4.Nakunywa maji mengi.

5.Nakunywa juisi nazo tengeneza mwenyewe(Ukwaju,ubuyu,n.k)

6.Sinywi chai na soda za viwandani kuepuka sugari nyingi.

7.Bia nakunywa kwa wastani mkuu

8.Mazoezi sipigi huwa ni mvivu japo huwa natembea sana hadi jasho linitoke.

9.Sili makuku haya ya kisasa.

10.Sili chips za vibandani,nakula ninazo andaa mwenyewe nikiwa na hamu.

11.Kuku huwa nakula wa kienyeji nikiwa nina hamu nao.

SIWEZI KUTAFUTA PESA KWA SHIDA HALAFU KULA YANGU IWE YA KUJIBANA

MKuu kiukweli kama kuna sehemu Mungu amenibariki basi ni upigaji wa mikwaju.
Mura dar hii ugali wa muhogo unaupata wapi? Nimeumis kweli kweli, ukiupiga na nsaga pamoja na vimeno siku inakua mujarabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nipo kinyume kidoogo na wewe,mimi nimeendesha bike zaidi ya miaka minne na ndio ilikuwa inanipa stamina kinoma.
 
Mkuu mimi nipo kinyume kidoogo na wewe,mimi nimeendesha bike zaidi ya miaka minne na ndio ilikuwa inanipa stamina kinoma.
 
Kuharibu ni kuharibu tu haijalishi wanaharibu kwa kiwango gani?!
Wengi wana hiyo shida, fuatilia utaligundua hili.
Sifa nyingine ya watu wenye upungufu wa nguvu za kiume ni hawajiamini. Ndiyo maana wanataka kila msichana watembee Naye wakitarajia kupata matokeo ya tofauti!
Umesema kweli mkuu, kuna jamaa mmoja huku mtaani kwetu alikua anapenda sana kutongoza mademu warembo .
Kila mtu akajua huyo jamaa ni player. Bwana weee imekuja kufumuka skendo kumbe jamaa ni shoga na video yake kama ya yule afande wa Zenji ipo.
 
Huyo ambaye hawezi kusimamisha Uume wake ana ukosefu wa nguvu za kiume (yaani hana nguvu kabisa)

Unaweza kuwa unasimamisha vzr na performance ikawa vyema sana lakini usiwe na uwezo wa kutungisha mimba!

Upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya kuwahi kufika mapema (ndani ya dakika 3), na kushindwa kurudia tendo baada ya bao la kwanza.
Bila shaka umenielewa.
Kwahiyo, huyu anayewahi kumaliza tendo na kushindwa kurudia ni ukosefu wa nguvu za kiume? Lakin ana uwezo wa kumpa mwanamke Mimba.
Na huyu anayesimamisha vizur uume, anauwezo wa kumudu tendo lakini hawezi kumpa mwanamke Mimba ni ukosefu waa nguvu Gani?
 
Akikujibu nitag na uniite mbwa nipo paleeee
 
Acheni blah blah ya manguvu ya kiume,. Nguvu za kiume???!!!! Hivi kwani mababu zetu walikua hawatambui kama Kuna hii kitu inaitwa nguvu za kiume??? Iweje ije ku trend kizazi hiki tu??? Kila Kona tunauza dawa za nguvu za kiume... Mara ushauri Mara sijui nn? acheni kutishana .. kijana tafuta pesa ndio nguvu za kiume zitazofanya usiwe na stress na uwe na furaha na amani ya maisha.
 
Back
Top Bottom