Ufafanuzi Juu ya Uhamisho kutoka Halmashaur kwenda Taasisi za Elimu za Juu

Ufafanuzi Juu ya Uhamisho kutoka Halmashaur kwenda Taasisi za Elimu za Juu

S4RZTQ

Senior Member
Joined
Feb 24, 2026
Posts
128
Reaction score
153
Habari ? Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na michakato ya Kuhama kupitia Uhamisho_ Mfano Mtu anaeomba kuhama kutoka halmashauri 'z' kwenda taasisi za elimu ya juu mfano Udom, Udsm,Mwalimu Nyerere,Cbe,Mzumbe,Ardhi, Isw, n.k baada ya barua yake kupitishwa na mwajiri wake kwenda taasisi husika_ Je kwa kawaida hatua zipi hufuata ili mtumishi huyo kuhamia taasisi tarajiwa? Na Je kama akiambiwa hatua iloyopo ni kuwasuburi utumishi, kuna uwezokano wa mfanyakazi wa Utumishi kuweza kuona kwenye system hatua iliyopo? Au jambo linalokwamisha. Au Lolote!
Na uhamisho huu kwakawaida huchukua muda gani kukamilisha?
Naomba mawazo & uzoefu wenu wajuzi wa mambo, Ahsante.

NB: Case study ya uhamisho ambao hausishi E.S.S.

Kama kuna mfanyakazi wa Utumishi au Aliyehama kwa aina ya uhamisho huu nakuomba Pm kwaajiri ya Kunielewesha zaidi. Ahsante.
 
Me nina ombi la uhamisho kwenye mfumo nimemjulisha HR ananiambia oooh sisi hatujaaza kupitia mfumo, sijui hatujamiwa gani na utumishi🤔
Sasa sijui siku zote walikuwa wapi toka mfumo ulipoanza kazi..?
 
Me nina ombi la uhamisho kwenye mfumo nimemjulisha HR ananiambia oooh sisi hatujaaza kupitia mfumo, sijui hatujamiwa gani na utumishi🤔
Sasa sijui siku zote walikuwa wapi toka mfumo ulipoanza kazi..?
Atari sana, Swala la mfumo ni pasua kichwa. ila usiache kupambana
 
Kwa suala lako kama una sifa na vigezo pitia kwenye mfumo, itakuwa rahisi sana kwako.
 
Back
Top Bottom