Ufafanuzi kuhusu kanisa Katoliki kutokuwafanyia maziko ya kikanisa baadhi ya waamini wake

Yesu mwenyewe amelipatia kanisa mamlaka ya kuhukumu na mamlaka hayo yanabaki kutoka kwa Petro.
"Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya Kuzimu hayataweza kulishinda. 19Nitakupa funguo za Ufalme wa mbinguni, na lolote utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa Mbinguni, nalo lolote utakalofungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni.”
 
Kwa wale wanaohoji kuwa kanisa limepata wapi mamlaka hayo naona wanajisahaulisha kuwa mamlaka hayo Yesu mwenyewe aliyaacha kwa kanisa.Turejee Mathayo 16:18
Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya Kuzimu hayataweza kulishinda. 19Nitakupa funguo za Ufalme wa mbinguni, na lolote utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa Mbinguni, nalo lolote utakalofungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni.”
 
Sasa kwanini kanisa linampinga Yesu, mathalani Yesu alibatizwa kwa maji mengi, kwanini wewe hujabatizwa kwa maji mengi ?
 
Sasa kwanini kanisa linampinga Yesu, mathalani Yesu alibatizwa kwa maji mengi, kwanini wewe hujabatizwa kwa maji mengi ?
Ndugu, Sio kwamba swali lako huwa silioni, Ila huwa naliacha kwanza kwa sababu kwa namna fulani huwa haliendani na mada ambazo huwa nachangia lakini kwa kuwa umeuliza sana naomba nikujibu kwa marejeo.

Kwa nini wakatoliki hubatiza kwa kunyunyuzia tofauti na Yesu alivyobatizwa kwa kuzamishwa?

[emoji117]Maji ni ishara ya kuonyesha mtu amebatizwa!

"Kisha wako watatu washuhudiao duniani], Roho, na maji, na damu; na watatu hawa hupatana kwa habari moja. (1 Yohana 5:9)

[emoji117]Ubatizo ni tendo la imani, ni kutakasa roho na sio mwili. Tendo hili lisichukuliwe kibinadamu!

[emoji117]Yohana mbatizaji alibatiza ubatizo wa toba na sio wa ROHO MTAKATIFU na aliwataka watu wamwamini zaidi yule ajaye (YESU)

Mathayo 3:11

11 Kweli mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba; bali yeye ajaye nyuma yangu ana nguvu kuliko mimi, wala sistahili hata kuvichukua viatu vyake; yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.

Neno la Yohane mbatizaji linaleta maana zaidi, (ubatizo maana yake "zamisha/funika" katika kigiriki)

Yohane anamaanisha "Mimi ninawazamisha katika maji kwa ajili ya toba; Bali yeye ajaye ana nguvu kuliko mimi..... Yeye atawazamisha katika Roho Mtakatifu"

UTOFAUTI WA UBATIZO WA YOHANE NA UBATIZO WA ROHO MTAKATIFU.

Matendo ya Mitume 19:2-6

2 akawauliza, Je! Mlipokea Roho Mtakatifu mlipoamini? Wakamjibu, La, hata kusikia kwamba kuna Roho Mtakatifu hatukusikia.

3 Akawauliza, Basi mlibatizwa kwa ubatizo gani? Wakasema, Kwa ubatizo wa Yohana.

4 Paulo akasema, Yohana alibatiza kwa ubatizo wa toba, akiwaambia watu wamwamini yeye atakayekuja nyuma yake, yaani, Yesu.

5 Waliposikia haya wakabatizwa kwa jina la Bwana Yesu.

6 Na Paulo, alipokwisha kuweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akaja juu yao; wakaanza kunena kwa lugha, na kutabiri.

[emoji117]Tusome kwa pamoja pindi YESU alipowaosha mitume wake miguu!

Yohane 13:8-10

8. Petro akamwambia "wewe hutoniosha miguu kamwe!" Yesu akamjibu "Nisipokuosha hutakuwa na uhusiano nami tena."
9. Simoni Petro akamjibu, "Bwana nioshe, si miguu tu, bali na hata mikono yangu na kichwa pia."
10. Yesu akamwambia, "Aliyekwishaoga hana lazima ya kunawa isipokuwa miguu, maana amekwisha takata mwili wote. Ninyi mmetakata...."

Yohane 3;18

"Anayemwamini mwana hahukumiwi; asiyemwamini amekwisha hukumiwa..."

Tendo la kumwamini Yesu, ni kuchaguliwa kushiriki katika wokovu atuleteao Mungu kwa njia ya Yesu Kristo.

"Lakini yeye akawaambia, Si wote wawezao kulipokea neno hili, ila wale waliojaliwa." (Mathayo 19:11)

[emoji117]Ubatizo ni kuzaliwa upya, kuanza maisha mapya na matakatifu pia kuweka uhusiano na Mungu.
 
Mjue Filipo,
Matendo 6🙁5 Neno hili likapendeza machoni pa mkutano wote; wakamchagua Stefano, mtu aliyejaa imani na Roho Mtakatifu, na Filipo, na Prokoro, na Nikanori, na Timoni, na Parmena, na Nikolao mwongofu wa Antiokia;
6 ambao wakawaweka mbele ya mitume, na walipokwisha kuomba wakaweka mikono yao juu yao.

Matendo ya Mitume 8 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
³⁶ Wakawa wakiendelea njiani, wakafika mahali penye maji; yule towashi akasema, Tazama, maji haya; ni nini kinachonizuia nisibatizwe?
³⁷ Filipo akasema, Ukiamini kwa moyo wako wote, inawezekana. Akajibu, akanena, Naamini ya kwamba Yesu Kristo ndiye Mwana wa Mungu.]
³⁸ Akaamuru lile gari lisimame; wakatelemka wote wawili majini, Filipo na yule towashi; naye akambatiza.
³⁹ Kisha, walipopanda kutoka majini, Roho wa Bwana akamnyakua Filipo, yule towashi asimwone tena; basi alikwenda zake akifurahi.

HUYO TOWASHI HAKUKOSA MAJI YA KUMNYUNYIZA LAKINI ILIBIDI ASUBIRI MPAKA WAFIKE SEHEMU YA MAJI MENGI NDIPO ABATIZWE

Soma ili uelewe na sio kumaliza

Yohana 3:5 Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu.)

Hilo fungu Yesu anatoa Amri ya kwamba mtu asipozaliwa kwa maji hawezi kuingia Ufalme wa Mungu
 
Ndugu, Ubatizo ni kumpokea Yesu na kuanza maisha mapya ya kumfuata Kristu.Maji ni ishara tu, Ila maana halisi ni utayari wa roho katika kumpokea na kumuishi Kristu.

Marko 1:8 BHN

"Mimi ninawabatiza kwa maji, lakini yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu"

Baada ya Yesu kuja, Anatubatiza kwa roho mtakatifu na ndipo hapo tunapopokea mapaji yake saba.Maji yawe kidogo, Yawe mengi, Ni ishara tu, Lakini tunabatizwa kupitia roho mtakatifu.
 
Kwahiyo filipo alikosea?

Haya msikilize Yesu mwenyewe katika Yohana 3🙁1 Basi palikuwa na mtu mmoja wa Mafarisayo, jina lake Nikodemo, mkuu wa Wayahudi.
2 Huyo alimjia usiku, akamwambia, Rabi, twajua ya kuwa u mwalimu, umetoka kwa Mungu; kwa maana hakuna mtu awezaye kuzifanya ishara hizi uzifanyazo wewe, isipokuwa Mungu yu pamoja naye.
3 Yesu akajibu, akamwambia, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu.
4 Nikodemo akamwambia, Awezaje mtu kuzaliwa, akiwa mzee? Aweza kuingia tumboni mwa mamaye mara ya pili akazaliwa?
5 Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu)

FUNGU LA TANO YESU ANATOA TAHADHARI KUWA MTU ASIPOZALIWA KWA MAJI NA KWA ROHO HAWEZI KUINGIA KATIKA UFALME WA MUNGU.

SASA WEWE UNADHANI KITENDO CHA KUNYUNYUZIWA VIMAJI KINAWEZA KUFANANA NA KUZALIWA KWA MAJI?
 
Kanisa Katoliki bana 😂😂😂, uombewe au usiombewe haikusaidii kitu kwenye hesabu ya uliyofanya kwenye uhai wako duniani.


Halafu kabla ya Karne ya 16 hakuna dhehebu lililofanya ndoa kama tukio muhimu la Kanisa, ila ndoa ilikuwa ni jambo la Kimila tu.
 
Kwa hiyo unataka kusemaje labda?
 
Maelezo ya kijinga kabisa! Mbona sista aliyejinyonga Bugando alizikwa na kanisa? Mapadri wangapi wako mitaani kwa uzinzi na nje ya kiapo chao lakini munawazika.
 
Uimara ni kutobadirika na unafiki tu! Mapadri wangapi wana watoto mitaani waakitusumbua? Wenzao na maaskofu wanafahamu lakini wanajidai ni wema na watazikwa. Ndoa siyo mali ya kanisa na hakuna ndoa nzuri kwa sababu ya kwamba imefungwa kanisani. Nyingi ni za hovyo tu!
 
Wakati wengine wanakwenda Kanisani kusali na kutoa michango mbalimbali kwa ajili ya ujenzi wa Makanisa ili neno la Mungu liendelee kuhubiriwa wengine wanakula maisha hawana muda kabisa na Kanisa yakiwafika ya kuwafika wanataka Kanisa Katoliki liwasaidie hakuna kitu kama hicho, lazima watu wajifunze kutokana na makosa ya wengine.
 
Mtakalo lifunga dunia basi hata mbinguni ndivyo hivyo hivyo...na mtakalo lifungua duniani..............................................

Cha kwanza kama ww ni mkatoliki kumbuka na utambue kwamba kuna vikanisa tena hasa hivi vipya vipya,,,yaani wakisiki neno katoliki hata usemaje wao nikupinga tu ,,, hata iweje hawanaga jema na hili kanisa...

Nakuja kwenye maada....

Kanisa katoliki ni taasisi... na kaa ukijua taasisi yeyeote duniani ili iwe imara lazima iwe na mipango na taratibu (Rules and regulations)zake ili kuratibu mambo yake. mfano ili uwe mwanchama nini ufanye nk

sasa kwa ww ambae unahoji ipo wapi kwenye bible kaa ukitambua sio kila kitu kimeandikwa kwa bible ndio maana ulipewa akili na utashi..

mleta maada anajaribu kuelezea ni kwa nini kanisa halikumzika marehu?

Jibu simple hakua mfuasi wa taasis yao yaani hana sifa. kumbuka hili halina uhusiano na imani kabisa ni kama leo akutwe mtu kafa njiani then usema azikwe kwa kwa imani ya katoliki..watakuona bwege.....au muumini wa kiislam then mnataka azikwe kikaoliki.
 
Roman Catholic is a babylon system.........chant down babylon
 
Unadhani mapadri hawali maisha? Unapotoa michango jioni huwa tunao wote wakilamba na kula maisha. Nadhani una maana wakijiliwaza na akina mama. Watoto wao mitaani wanatusumbua na wao huwa hawatoi hata sadaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…