Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,701
- 3,664
Kwahiyo Mussa, Jacob,Joseph, joshua au na Yesu alikula Nguruwe? Katika bible tunasoma ilikuwa story nabii aliadithia kuwa alilala juu ya nyumba sumit akaota ndoto kuwa ananjaa na akatelemshiwa wanyama ili achinje ale na yeye kwakuwa alikuwa anatalemshiwa wanyama najisi kama torati ilivyoandikwa akakataa kuwala ndotoni akaambiwa kitokacho mwilini ndio najisi bali kiingiacho sio najisi.. so wengi wakachukulia hapo hapo advantage ya kula nguruwe.. ile ndtoo has nothing to do kuchange torati ya Mussa.. even Jesus alisema hakuja kuitengua torati bali kuitimiliza so kama waniona nipo Shallow endelezeni tu libeneke la kuvunja torati mwisho ndio mtakuja kufahamu kuwa kupotoshwa ni kujitakia Soma biblia uwe huru minyororo uliyofungwa ni mikubwa sana...STUKA. .Kijana acha kuropoka ovyo,unaoneka uko shallow sana kwenye maandiko(Biblia),apo kwenye hilo LA nguruwe umeonesha ni jinsi gani ulivyo shallow.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na Roma mfuate Yesu... Roman are not Christian kuna wimbi kubwa sana haswa ulaya wa Roman catholic wakihamia ukristo tizama news utaelewa...
Waeza pia wewe yakakukuta kama ya mrema