mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,724
nani kakwambia wamehukum mpumbavu ww??Ninacho uliza ni "wewe ni nani kujiona mkamilifu mubashara na kumuona mwingine si mkamilifu,nani kakupa mamlaka ya kuhukumu...
Je wanadam wote tu na safari moja..(kufa)
Iweje leo tufikie mahali tu hukumu...
Tukumbuke hata Yesu alipokuwa Msalabani mda mfupi kabla ya kukata Roho alimwambia mmoja wa mwizi aliyekuwa naye pale Msalabani (jion ya leo utakuwa nami kwa baba yangu)
Who are you to judge.....????
sheria za kanisa lazima zifuatwe