Ufafanuzi kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu

Mwanzoni mbona walikuwa wakilipa,why now?
NSSF, PPF na GEPF Formula yao ilikuwa ( 1/580 × APE × TOTAL CONTRIBUTION MONTHS × 25℅ × 12.5 Hii ilikuwa formula yao kwenye kiinua mgongo 75% yote ilikuwa inakwenda kwenye monthly pension )

LAPF na PSPF Formula yao ilikuwa ( 1/540 × LAST SALARY × TOTAL CONTRIBUTED MONTHS × 50℅ × 15.5 asilimia 50% inayo baki inakwenda kwenye monthly pension )
 
Sasa unataka kiinua mgongo ndio kikujengee nyumba, ununue gari, uongeze mke kwanini ulishindwa kufanya ukiwa na asilimia 95% ya mshaara wako wote, unataka hii uliyo kuwa unachangia 5% ndio ifanye hayo yote...!?
Bro,acha maelezo mengi na tumahesabu hakuna wa kuelekea hapa,ni kwamba watu wapewe pesa zao wkafie mbele,wasipangiwe nini Cha kufanya,mbona kwenye mshahara hakupangiwa?
 
Bro,acha maelezo mengi na tumahesabu hakuna wa kuelekea hapa,ni kwamba watu wapewe pesa zao wkafie mbele,wasipangiwe nini Cha kufanya,mbona kwenye mshahara hakupangiwa?
Nimesha kujibu, kuwa ukilipwa kiinua mgongo hakuna pesa unayo acha kwenye mfuko, kwaio kama wewe unataka pesa zako zote, baada ya kulipwa kiinua mgongo unakuwa umelipwa pesa yako yote, ile ya kila mwezi achana nayo, maana inatoka kwenye mfuko sio ambayo umechangia.
 
Kwa mfano, mwakani wabunge wakati wa kuvunja bunge huwa tunaskia wanalipwa pesa zao zote..... hakuna mbunge anaendokana anadai kitu....

1: Kwanini wasipewe kidogo kidogo mpaka uzeeni,?

2: Ni kweli hizo mnazoziwekea masharti ndio zitafanikisha malipo yenu ya mwisho au zenu zinatoka wapi, na mbona huwa zinapatikana za kuwatosha?
 
Mkuu nisaidie hapo...
Hapo total pension ni ngap? Ata rough estimation
Alistaaf july 2018 mfuko ni pssf
 
Rais alishasema tatizo ni hali ya uchumi na hali ya mifuko yetu ilivyo nukta.
 
Uzeeni ni lini haswaa?..
 
Nilimpigia hesabu mstaafu mmoja mtarajiwa, najuta kufanya hivyo toka leo pressure na sukari haijawahi kushuka nalaumika na familia nzima, naumia leo nimetoka Muhimbili kumuona.
 
Wabunge sio wanachama wa mifuko NSSF/PSSSF, Hawachangii PSSSF/NSSF hawalipwi na NSSF/PSSSF.
 
Nilimpigia hesabu mstaafu mmoja mtarajiwa, najuta kufanya hivyo toka leo pressure na sukari haijawahi kushuka nalaumika na familia nzima, naumia leo nimetoka Muhimbili kumuona.
Ulikosea kukokotoa. ( Weka Jinsi ulivyo kokotoa hapa )
 
Nilimpigia hesabu mstaafu mmoja mtarajiwa, najuta kufanya hivyo toka leo pressure na sukari haijawahi kushuka nalaumika na familia nzima, naumia leo nimetoka Muhimbili kumuona.
Pole sana Mkuu
 
Mkuu nisaidie hapo...
Hapo total pension ni ngap? Ata rough estimation
Alistaaf july 2018 mfuko ni pssfView attachment 2975572
Alilipwa Lump sum hiyo. ( kiinua mgongo ) : 64,200,017.02 anapokea monthly pension 1,284,400.34 hiyo atalipwa mpaka atakapo fariki.

Kwaiyo ukitaka Jumla ya pesa atakazo kula, kwanza tukadilie ataishi miaka mingapi, Mfano kaishi miaka 20 ( 20 × 1,284,400.34 ) ( 12 ) + 64,200,017.02 = ukipata jibu lilete hapa
 
Mkuu nisaidie hapo...
Hapo total pension ni ngap? Ata rough estimation
Alistaaf july 2018 mfuko ni pssfView attachment 2975572
Alilipwa Lump sum hiyo. ( kiinua mgongo : 64,200,017.02 anapokea monthly pension 1,284,400.34 hiyo atalipwa mpaka atakapo fariki.

Kwaiyo ukitaka Jumla ya pesa atakazo kula, kwanza tukadilie ataishi miaka mingapi, Mfano kaishi miaka 20 ( 20 × 1,284,400.34 ) ( 12 ) + 64,200,017.02 = ukipata jibu lilete hapa
 
Sawa..kwahyo akifa hana chake...hivi hii naweza enda pssf wakanipa maandishi kuonyesha hana kitu...maana ndugu naona kama hawaelew
 
Huu uzi sio wa kukaa nao mbali maana wengine ni wastaafu watarajiwa...
 
Sawa..kwahyo akifa hana chake...hivi hii naweza enda pssf wakanipa maandishi kuonyesha hana kitu...maana ndugu naona kama hawaelew
Walio tumia old formula ( Walio staafu kabla ya kikokotoo kipya kuanza ) wao wakifariki inakuwa hawana kitu kimebakia kwenye mfuko, but wanao tumia new formula wao wakifariki dependant wao wanapata × 36 yakile anacho chukua kwa mwezi, mfano mzee hapo ingekuwa ( 36 ×1,284,400.34 )
 
Angalau wewe leo umeandika kitu kidogoo kinaanza kuniingia sasa.

Ingawa nina maswali km 3 hivi?
 
Hizo myuzi ambazo mwishoni MTU anaandika jina na namba huwa ni za kipopoma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…