Ufafanuzi kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu

Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye.

Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya kustaafu bado iko mbali saaana.

Wapo wengine wanaoongea kwa kuwa kikokotoo kipya kimewagusa kwa namna moja ama nyingine.

Kama Mwanazuoni wa Hifadhi ya Jamii, Naomba nifafanue baadhi ya mambo kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu.

Kikokotoo kipya cha:
1/580 × APE x PoS x 12.5 x 33%

Na kikokotoo cha zamani cha LAPF na PSPF yaani

1/540 × LAS x PoS x 15.5 x 50%

(LAS = Last Annual Salary na PoS = Period of Service)
APE = Annual Pensionable Emoluments
1/540 = Acrual factor
15.5=Commutation Factor
50%=Commutation Rate

Usipojifunza jinsi ya vikokotoo hivyo viliundwa utashindwa kuishawishi Serikali kipi kirekebishwe na kwa nini. Ni kama unakuwa unaongea kitu usichojua.

Kusema Serikali ikulipe pesa yako yote ni ujinga ujinga mkubwa saaana ambao watumishi wa umma wenye ujinga ndiyo watapromoti hoja hii.

Vikokotoo vyote hivyo vina uzuri na ubaya wake. Kama wewe siyo mchambuzi utashabikia tu lolote bila kujua vizuri matokeo yake.

Sheria za Kikokotoo cha PSPF na LAPF kilikuwa na mapungufu meengi sana. Bahati mbaya mapungufu hayo hakuna watalaam wanaoyadadavua sasa hivi.

Wanachama waliokuwa PSPF na LAPF kikokotoo chao kilikuwa na mapungufu kibao ukiacha upande wa Kiinua mgongo tu vipengere vingine vyote havikuwa vizuri.

Kikokotoo cha wanachama waliokuwa PPF, GEPF na NSSF kilikuwa hiki hapa:

1/580 × APE x PoS x 12.5 x 25%.

(APE = Annual Pensionable Emoluments na PoS = Period of Service/Contribution)

Makundi haya ya wanachama ambao ni zaidi ya 81% ya wanachama wote wa mifuko iliyokuwepo kwao kikokotoo kipya kimewaongezea mkupuo wa mafao waliokuwa wanapata kwa 8%. Yaani iko hivi:

1/580 × APE x PoS x 12.5 x 25%

Hapo kwenye asilimia 25 kwa kikokotoo kipya wao imekuwa 33% ambayo ni ongezeko la 8%.

Sasa watumishi wa umma wote wamepewa kikokotoo kimoja bila kujali wako idara ipi.

Zamani (2004 hadi 2018) waliokuwa Serikali kuu na serikali za mitaa yaa LAPF na PSPF walikuwa wakilipwa Mkupuo Mkubwa saaana kwa Kikokotoo hiki hapa cha 1/540 × LAS x PoS x 15.5 × 50% kwa sababu kikokotoo hicho cha Serikali Kuu kilizingatia Last Month Salary

Na wale wa sekta binafsi chini ya NSSF na PPF walitumia kikokotoo kilichozingatia Wastani wa Mshahara wa miaka mitatu.

Kwa hiyo tunafanyaje? Tuchukue kikokotoo cha serikali Kuu kiwe cha wanachama wote wa sekta binafsi na umma halafu mfuko uishiwe nguvu kulipa mafao baada ya miaka 5???

Au tuchukue kikokotoo cha sekta binafsi kilichokuwa kinatumika NSSF, PPF na GEPF kiwe cha wote na kiboreshwe kidogo from 25% to 33% na mfuko uweze kujiendesha kwa miaka mingi???? Kipi bora??

Maamuzi yaliyochukuliwa na serikali mwaka 2018 yalikuwa ya kuwatazama wanachama 81% waliokuwa mifuko ya NSSF, PPF, na GEPF ili wafanyakazi wote wafanane kwenye mafao ya uzeeni.

Yaani serikali ililenga kufanya pensheni ya kila mwezi na malipo ya Mkupuo yawe na usawa pamoja na watumishi wa umma waliokuwa na kikokotoo kikubwa kwa kutazama factors za uendelevu wa mfuko mpya wa PSSSF.

Mwaka 2014 hadi 2018 wastaafu wa serikali Kuu waliokuwa chini ya PSPF walikuwa wamefikia mahali Papaya sana hadi mafao yao yalikuwa hayapatikani tena kutokana na PSPF kushindwa kujiendesha kwa sababu ya madeni makubwa ambayo serikali ilikuwa inadaiwa tangu 1999.

Watu waliokuwa wanastaafu miaka hiyo 2014 hadi 2018 walikuwa wanaambiwa wasubiri. Walisubiri saaana mpaka Mwaka 2018 December mifuko ilipounganishwa zikachukuliwa fedha za LAPF na PPF kuwalipa wastaafu waliokuwa wamekaa mtaani bila mafao kwa zaidi ya miaka 2 hadi 3 bila mafao.

Ni bahati mbaya saaana kwamba tuna wanasiasa na wanachama wanaosahau mapema tulipotoka.

USHAURI MBAYA NI HUU

Kudai Kwamba wastaafu walipwe pesa zote (100%) na waendelee na maisha yao. Huu ni ushauri mbaya saaana kuishauri serikali.

Kwamba kwa nini wastaafu wawekewe pesa za kulipwa kila mwezi kidogo kidogo? Hili ni swali la kitoto litokanalo na kutojua maana ya Society Protection

Ukisikia mtumishi wa umma anadai hataki pensheni ya kila mwezi anaomba alipwe pesa zake zote aendelee na maisha yake ujue kuwa huyo siyo mtumishi wa umma. Ni Mjasiriamali.

Na Bahati mbaya watumishi wa umma asilimia 95 siyo wajasiriamali. Ni wategemezi wa mishahara ya kila mwezi.

Akilipwa pesa yote halafu ikaisha social economic crisis itakayotokea katika jamii ya wazee itazidi ile ya wazee wa East Africa Community waliovua nguo barabarani wakidai Pension ya kila mwezi.

Ukitaka kujua utamu wa pension ya kila mwezi kabla hujashauri utaratibu wa pension ufutwe, nakuomba ukawaulize waliostaafu miaka 10 iliyopita.

Waulize kama pesa kubwa ya kikokotoo kikubwa walicholipwa 2010 mpaka leo pesa ipo?

Kawaulize Tegemeo lao kuu la pesa ya kila mwezi ni wapi? Hawa wazee ukitaka ukosane nao ondoa utaratibu wa pension ya kila mwezi.

Waulize utamu wa pension na utamu wa kiinua mgongo ni kipi kitamu zaidi.

Kawaulize wazee waliostaafu 2010 kati ya Pension na Burungutu la pesa unayopewa ukistaafu ni kipi kiongezwe kiwe kikubwa?

Waulize kati ya Pension ya kila mwezi na kiinua mgongo(gratuity) wanashauri kipi kiongezwe?.

Ukiwauliza waliostaafu miaka 10 iliyopita wao wanaomba pension iongezeke iwe kubwa saaana.

Ukiwauliza wazee wastaafu Watarajiwa kipi kiongezwe, wao wataomba kiinua mgongo ndicho kiongezwe.

Hii inatokana na kwamba ni vigumu sana mstaafu mwenyewe tarajiwa kupendekeza alipwe nini kama hajafika huko uzeeni.

Wazee waliolipwa mafao kwa kikokotoo cha LAPF na PSPF miaka 5 iliyopita asilimia 90 yao tegemeo lao kuu kwa sasa ni pension ya kila mwezi pamoja na kwamba walilipwa kikokotoo kikubwa.

Hoja nyingine inayopotoshwa ni hii kwamba mstaafu analipwa pesa fulani na nyingine inabakia kwenye Mfuko kwa ajili ya kulipwa kidogo kidogo kama pension.

Huu nao ni uongo wa Mtaani umeshageuzwa kuwa kama ukweli.

Ukweli ni kwamba Hakuna pesa inayobakia kwenye Mfuko.

Mstaafu huwa analipwa pesa zote alizochangia yeye na Mwajiri wake (5% na 15%) halafu Mfuko unaongeza nyingine kutoka kwenye uwekezaji na kisha anaanza kulipwa pension kila mwezi. Hapo unasemaje kuna pesa imebakia PSSSF au NSSF.

Ukweli ni kwamba Mstaafu akishalipwa kiinua mgongo ambacho huwa mara nyingi ni zaidi ya hata michango yake yote anaanza kulipwa Monthly Pension ambayo mara nyingi huwa ni zaidi ya 40% hadi 50% ya mshahara wake (Net pay) aliyokuwa analipwa akiwa kazini.

Ukweli ni kwamba Pension hiyo atalipwa maisha yake yote yaliyoko mbele Hata kama akiishi miaka 50 au zaidi baada ya kustaafu.

Ndugu wafanyakazi wenzangu kama tunaomba mafao makubwa tuwe tayari kuongeza uchangiaji yaani badala ya kuchangia 5% au 10% ya mishahara yetu tukubaliane kiasi kiongezwe kiwe 10% au 15% na Mwajiri atuongezee 15% au 20%

Au pia kama tukitaka mafao makubwa tukubaliane mfumo wa pension ya kila mwezi uondolewe ili kila mtu akistaafu alipwe Kiinua mgongo kama wabunge na Madiwani halafu pension isiwepo.

Au tuchague mfumo wa pension kwa wote ambapo hakuna kuchangia chochote kila mwezi na kila mwananchi akitimiza miaka 55 au 60 anaenda HAZINA kuu ya Serikali kuchukua Kiinua mgongo chake bila kujali alikuwa mwajiriwa au Mjasiriamali.

Au tuchague kuwa na Mifuko mingi ya pension na kila mfuko ujipangie mafao utakayotoa chini ya Sheria za ushindani na serikali isiingilie lolote zaidi ya kuweka Sheria na sera za kuwalinda wateja wa Skimu hizo.

Imeandikwa na
FADEMO DIRECTOR.
Social Security Practioner with 19 years of Field Experience
Wewe miaka yako ya Experience wala hata haitutishi Bwashee swali langu ni kwa nini Serikali yenu inakopa fedha kwenye hyo mifuko ya wanachama kununulia Ma V8 7th Generation alafu unatetea Ujinga kabisa hapa kama hyo paragraph yako inavyojieleza kuwa wanachaka waishauri serikali iongeze asilimia 15 mpka 20 hivi wewe kweli mtu kama polisi aambulie mil 18 kwa utumishi wa miaka 30 mtu anajitoa maisha yake alafu eti nyie ndo mmetumwa kuitetea serikali kwa ukandamizaji huu?🐷🐷🐷
 
PPF na GEPF zilikuwa na wanachama Wachache sana Kulinganisha na PSPF na LAPF japp LAPF ilikuwa na wanachama wengi kuliko Hivyo vyote..

Na ndo maana LAPF na PSPF ndo zilikuwa zinafuatwa na watumishi wengi..

Kuhusu NSSF sio mfuko wa watumishi wa serkali So haituhusu
Saiv iyo mifuko siyo imeunganishwa imekuwa NSSF Doc.?
 
Hivi mifuko inakufaj wakati mtu anapewa chake alichofanyia kazi kwa miaka yake yote kazini. Hivi pension ni sawa na mshahara kuwa inatakiwa kulipwa. PENSION haliipwi bali ni sawa na KIBUBU cha mfanyakazi ambacho serikali ndo inamtunzia. Sasa iweje mwenye KIBUBU ataka kubomoa KIBUBU chake na aliepewa kukitunza tena kisheria akatae kwamba KIBUBU chako kitafilisika au kufa.

It means wakati mfanyakazi anakatwa pesa yake ya mshahara ili iwekwe kwenye KIBUBU chake, aliemtunzia (serikali) ilikuwa inakifungua Kimya kimya na kujichotea pesa. Leo mwenye KIBUBU anataka afungue KIBUBU chake ili achukue pesa zake, aliepewa dhamana ya kukitunza anasema atampa kidogo maana pesa itaisha. Hivi ni nani mmiliki wa hicho KIBUBU, na nini mwenye kuamua kiasi gani achukue?

Kwanza, kwa nini mifuko ya hifadhi ya jamii iliunganishwa wakati ilikuwa ikijiendesha bila hata serikali kulipa wafanyakazi husika mishahara. Mleta mada ebu lete jibu hapa.

Maoni tangu, umefika wakati sheria zirekebishwe ili kuwe na form za kujaza kati ya mfanyakazi na serikali ili mfanyakazi asilazimishwe kihifadhiwa pesa zake ambazo baadae anakuja kuzitolea jasho kuzipata kuliko hata alipokuwa kazini.

Mwisho, tusome shule ili kusaidia jamiii siyo kuiibia jamii. Inaonekana mleta mada ni wale wasomi waliosomea kuibia jamii.
Uko sahihi mkuu.
Mifuko ya jamii ni kama KIBUBU kwanini unipangie kuchukua hela zangu tena.
 
Hapana mifuko hii ni kama BIMA kuhakikisha uzeeni unapata kitu mpaka siku unafariki ili usiwe mzigo na kero kwa jamii
 
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye.

Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya kustaafu bado iko mbali saaana.

Wapo wengine wanaoongea kwa kuwa kikokotoo kipya kimewagusa kwa namna moja ama nyingine.

Kama Mwanazuoni wa Hifadhi ya Jamii, Naomba nifafanue baadhi ya mambo kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu.

Kikokotoo kipya cha:
1/580 × APE x PoS x 12.5 x 33%

Na kikokotoo cha zamani cha LAPF na PSPF yaani

1/540 × LAS x PoS x 15.5 x 50%

(LAS = Last Annual Salary na PoS = Period of Service)
APE = Annual Pensionable Emoluments
1/540 = Acrual factor
15.5=Commutation Factor
50%=Commutation Rate

Usipojifunza jinsi ya vikokotoo hivyo viliundwa utashindwa kuishawishi Serikali kipi kirekebishwe na kwa nini. Ni kama unakuwa unaongea kitu usichojua.

Kusema Serikali ikulipe pesa yako yote ni ujinga ujinga mkubwa saaana ambao watumishi wa umma wenye ujinga ndiyo watapromoti hoja hii.

Vikokotoo vyote hivyo vina uzuri na ubaya wake. Kama wewe siyo mchambuzi utashabikia tu lolote bila kujua vizuri matokeo yake.

Sheria za Kikokotoo cha PSPF na LAPF kilikuwa na mapungufu meengi sana. Bahati mbaya mapungufu hayo hakuna watalaam wanaoyadadavua sasa hivi.

Wanachama waliokuwa PSPF na LAPF kikokotoo chao kilikuwa na mapungufu kibao ukiacha upande wa Kiinua mgongo tu vipengere vingine vyote havikuwa vizuri.

Kikokotoo cha wanachama waliokuwa PPF, GEPF na NSSF kilikuwa hiki hapa:

1/580 × APE x PoS x 12.5 x 25%.

(APE = Annual Pensionable Emoluments na PoS = Period of Service/Contribution)

Makundi haya ya wanachama ambao ni zaidi ya 81% ya wanachama wote wa mifuko iliyokuwepo kwao kikokotoo kipya kimewaongezea mkupuo wa mafao waliokuwa wanapata kwa 8%. Yaani iko hivi:

1/580 × APE x PoS x 12.5 x 25%

Hapo kwenye asilimia 25 kwa kikokotoo kipya wao imekuwa 33% ambayo ni ongezeko la 8%.

Sasa watumishi wa umma wote wamepewa kikokotoo kimoja bila kujali wako idara ipi.

Zamani (2004 hadi 2018) waliokuwa Serikali kuu na serikali za mitaa yaa LAPF na PSPF walikuwa wakilipwa Mkupuo Mkubwa saaana kwa Kikokotoo hiki hapa cha 1/540 × LAS x PoS x 15.5 × 50% kwa sababu kikokotoo hicho cha Serikali Kuu kilizingatia Last Month Salary

Na wale wa sekta binafsi chini ya NSSF na PPF walitumia kikokotoo kilichozingatia Wastani wa Mshahara wa miaka mitatu.

Kwa hiyo tunafanyaje? Tuchukue kikokotoo cha serikali Kuu kiwe cha wanachama wote wa sekta binafsi na umma halafu mfuko uishiwe nguvu kulipa mafao baada ya miaka 5???

Au tuchukue kikokotoo cha sekta binafsi kilichokuwa kinatumika NSSF, PPF na GEPF kiwe cha wote na kiboreshwe kidogo from 25% to 33% na mfuko uweze kujiendesha kwa miaka mingi???? Kipi bora??

Maamuzi yaliyochukuliwa na serikali mwaka 2018 yalikuwa ya kuwatazama wanachama 81% waliokuwa mifuko ya NSSF, PPF, na GEPF ili wafanyakazi wote wafanane kwenye mafao ya uzeeni.

Yaani serikali ililenga kufanya pensheni ya kila mwezi na malipo ya Mkupuo yawe na usawa pamoja na watumishi wa umma waliokuwa na kikokotoo kikubwa kwa kutazama factors za uendelevu wa mfuko mpya wa PSSSF.

Mwaka 2014 hadi 2018 wastaafu wa serikali Kuu waliokuwa chini ya PSPF walikuwa wamefikia mahali Papaya sana hadi mafao yao yalikuwa hayapatikani tena kutokana na PSPF kushindwa kujiendesha kwa sababu ya madeni makubwa ambayo serikali ilikuwa inadaiwa tangu 1999.

Watu waliokuwa wanastaafu miaka hiyo 2014 hadi 2018 walikuwa wanaambiwa wasubiri. Walisubiri saaana mpaka Mwaka 2018 December mifuko ilipounganishwa zikachukuliwa fedha za LAPF na PPF kuwalipa wastaafu waliokuwa wamekaa mtaani bila mafao kwa zaidi ya miaka 2 hadi 3 bila mafao.

Ni bahati mbaya saaana kwamba tuna wanasiasa na wanachama wanaosahau mapema tulipotoka.

USHAURI MBAYA NI HUU

Kudai Kwamba wastaafu walipwe pesa zote (100%) na waendelee na maisha yao. Huu ni ushauri mbaya saaana kuishauri serikali.

Kwamba kwa nini wastaafu wawekewe pesa za kulipwa kila mwezi kidogo kidogo? Hili ni swali la kitoto litokanalo na kutojua maana ya Society Protection

Ukisikia mtumishi wa umma anadai hataki pensheni ya kila mwezi anaomba alipwe pesa zake zote aendelee na maisha yake ujue kuwa huyo siyo mtumishi wa umma. Ni Mjasiriamali.

Na Bahati mbaya watumishi wa umma asilimia 95 siyo wajasiriamali. Ni wategemezi wa mishahara ya kila mwezi.

Akilipwa pesa yote halafu ikaisha social economic crisis itakayotokea katika jamii ya wazee itazidi ile ya wazee wa East Africa Community waliovua nguo barabarani wakidai Pension ya kila mwezi.

Ukitaka kujua utamu wa pension ya kila mwezi kabla hujashauri utaratibu wa pension ufutwe, nakuomba ukawaulize waliostaafu miaka 10 iliyopita.

Waulize kama pesa kubwa ya kikokotoo kikubwa walicholipwa 2010 mpaka leo pesa ipo?

Kawaulize Tegemeo lao kuu la pesa ya kila mwezi ni wapi? Hawa wazee ukitaka ukosane nao ondoa utaratibu wa pension ya kila mwezi.

Waulize utamu wa pension na utamu wa kiinua mgongo ni kipi kitamu zaidi.

Kawaulize wazee waliostaafu 2010 kati ya Pension na Burungutu la pesa unayopewa ukistaafu ni kipi kiongezwe kiwe kikubwa?

Waulize kati ya Pension ya kila mwezi na kiinua mgongo(gratuity) wanashauri kipi kiongezwe?.

Ukiwauliza waliostaafu miaka 10 iliyopita wao wanaomba pension iongezeke iwe kubwa saaana.

Ukiwauliza wazee wastaafu Watarajiwa kipi kiongezwe, wao wataomba kiinua mgongo ndicho kiongezwe.

Hii inatokana na kwamba ni vigumu sana mstaafu mwenyewe tarajiwa kupendekeza alipwe nini kama hajafika huko uzeeni.

Wazee waliolipwa mafao kwa kikokotoo cha LAPF na PSPF miaka 5 iliyopita asilimia 90 yao tegemeo lao kuu kwa sasa ni pension ya kila mwezi pamoja na kwamba walilipwa kikokotoo kikubwa.

Hoja nyingine inayopotoshwa ni hii kwamba mstaafu analipwa pesa fulani na nyingine inabakia kwenye Mfuko kwa ajili ya kulipwa kidogo kidogo kama pension.

Huu nao ni uongo wa Mtaani umeshageuzwa kuwa kama ukweli.

Ukweli ni kwamba Hakuna pesa inayobakia kwenye Mfuko.

Mstaafu huwa analipwa pesa zote alizochangia yeye na Mwajiri wake (5% na 15%) halafu Mfuko unaongeza nyingine kutoka kwenye uwekezaji na kisha anaanza kulipwa pension kila mwezi. Hapo unasemaje kuna pesa imebakia PSSSF au NSSF.

Ukweli ni kwamba Mstaafu akishalipwa kiinua mgongo ambacho huwa mara nyingi ni zaidi ya hata michango yake yote anaanza kulipwa Monthly Pension ambayo mara nyingi huwa ni zaidi ya 40% hadi 50% ya mshahara wake (Net pay) aliyokuwa analipwa akiwa kazini.

Ukweli ni kwamba Pension hiyo atalipwa maisha yake yote yaliyoko mbele Hata kama akiishi miaka 50 au zaidi baada ya kustaafu.

Ndugu wafanyakazi wenzangu kama tunaomba mafao makubwa tuwe tayari kuongeza uchangiaji yaani badala ya kuchangia 5% au 10% ya mishahara yetu tukubaliane kiasi kiongezwe kiwe 10% au 15% na Mwajiri atuongezee 15% au 20%

Au pia kama tukitaka mafao makubwa tukubaliane mfumo wa pension ya kila mwezi uondolewe ili kila mtu akistaafu alipwe Kiinua mgongo kama wabunge na Madiwani halafu pension isiwepo.

Au tuchague mfumo wa pension kwa wote ambapo hakuna kuchangia chochote kila mwezi na kila mwananchi akitimiza miaka 55 au 60 anaenda HAZINA kuu ya Serikali kuchukua Kiinua mgongo chake bila kujali alikuwa mwajiriwa au Mjasiriamali.

Au tuchague kuwa na Mifuko mingi ya pension na kila mfuko ujipangie mafao utakayotoa chini ya Sheria za ushindani na serikali isiingilie lolote zaidi ya kuweka Sheria na sera za kuwalinda wateja wa Skimu hizo.

Imeandikwa na
FADEMO DIRECTOR.
Social Security Practioner with 19 years of Field Experience
Mkuu ahsante kwa somo murua!

Sasa tucomment nini kwa wanasiasa wanaoprovoke utaratibu huu?

Kwamba wameona Serikali haijatoa elimu hii ya kikokotoo kwa wastaafu na kuons ni fursa yao kuwin akili za raia waonekane ni watetezi?

Hata hivyo nanyi mmechelewa sana kutoa makala kama hizi kwa manufaa ya umma, maana habari ya kikokotoo imeleta taharuki sana.

Halafu kosa jingine katika makala yako hii ni kule kutoa takwimu za ma namba 1/580..?, sasa hizo formula nani anayezielewa?

Wewe ungelitolea mfano wa mtu anayestaafu na mshahara wa let say 1000,000/= ategemee mkupuo wake utakuwa sh ngapi na pensheni kwa mwezi sh ngapi.
 
Next post nitaeleza hili🤝🏿
 
Nimeelewa kitu...Safiiiii
 
Hili halipaswi kabisa kuwa jambo lako binafsi wala mfuko wowote wa hifadhi,ni jambo lake mhusika mwenyewe.

Mzee gani mtumishi anasomesha international??nyie mnapenda sana siasa na maisha ya watu.

Embu niambie kwa uwekezaji wa milioni 17 unakuwa unalipwa shilingi ngapi kama faida kwa mwezi???nataka BOT ambako kuna faida kubwa zaidi sio NMB ama kwingine.

Ndip maana tunasema hoja iwe moja kwamba mifuko haiko vyema kiukwasi,sio kujifanya watu wanajua matumizi ya hela za watu,na kuwaonea huruma zaidi.

Kuwekeza ni rahisi sana kwenye keyboard,mnasahau kuna watu kazi zao zinawagomea kabisa kusimama na biashara pia.wacheni siasa na maisha ya watu.
Vitu viwili vinanafanya pensheni ya uzee kuwa kubwa au ndogo ni:-
1. Kiwango cha Mshaara.
2. Miezi ya uchangiaji katika mfuko.

Serikali iongeze ( Mishaara ) maslai kwa watumishi, huyo milioni 17 kalipwa kutokana na uchangiaji wake.
 
Yaani wewe ni POPOMA!

Nilitegemea utatoa mfano
Wa aliyekuwa kikokotoo Cha zamani alikuwa anapata ngapi mfano amestaafu na mshahara wa basic 1,500,000

Na huyu wa kikokotoo kipya atapata ngapi
Kwa basic hiyo hiyo...

Halafu uweke pension Kila mwezi
Huyu wa zamani anapata ngapi na huyu wa kikokotoo kipya atapata ngapi
Kwa muda Gani..

Vinginevyo wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine...
Kwa kifupi wewe ni lipumbavu lenye uwezo wa kutumia mtandao
Hili nimesha liongea, na kutoa uo ufafanuzi fuatilia post za nyuma.
 
Vitu viwili vinanafanya pensheni ya uzee kuwa kubwa au ndogo ni:-
1. Kiwango cha Mshaara.
2. Miezi ya uchangiaji katika mfuko.

Serikali iongeze ( Mishaara ) maslai kwa watumishi, huyo milioni 17 kalipwa kutokana na uchangiaji wake.
Hayo ndio maelezo ya kuwaambia watu,sio mtu anakuja hapa kujaribu kusema namna gani vikokotoo ni vitu vya maana ilhali ni wizi na utapeli mtupu.

Ongeza mshahara,ongeza makato.
 
Maelezo meengi! Halafu ni ujinga tu. Unafikiri jamii forums imejaa vilaza kama hao mnao wadanganya huko mtaani!!

Sababu ya hiyo mifuko kuishiwa hela ni kwa sababu ya wastaafu kulipwa pesa zao kwa kikokotoo cha awali, au ni kwa sababu hizo fedha zao mlikuwa mnazinafuja hovyo?

Ni kwa nini nyinyi wafanyakazi wa hiyo mifuko mnakopeshana mabilioni ya fedha za wastaafu, tena bila ya riba! Halafu hamzirejeshi kwa wakati? Kwa nini msiende kukopa benki kama ilivyo kwa wananchi wengine?

Kwa nini mnachukua fedha za wastaafu na kujengea miradi hewa? Kwa nini mnaruhusu serikali kuchukua hizo hela na kufanyia shughuli nyingine?

Kama hicho kikokotoo chenu kina tija; kwa nini hakiwahusu Wabunge na vigogo wengine wa ngazi za juu!! Au wao ndiyo wana uwezo mkubwa wa kutunza fedha zao hata baada ya kustaafu? Halafu ni nani aliyewapa mamlaka ya kumpangia matumizi ya fedha zake kama siyo kuendekeza wizi tu.

Hopeless kabisa wewe.
Baada ya malipo ya awali ( Kiinua mgongo ) hakuna pesa ya mwanachama inabaki kwenye mfuko.
 
Tuambie mtu akifariki mwaka mmoja baada ya kustaafu pesa zake za kila mwezi zinayeyukia wapi ndugu Mwanazuoni.
Tegemezi wanapewa ×36 ya kile alicho kuwa analipwa kila mwezi ( MP )
 
Back
Top Bottom