Ufafanuzi kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu

Tafuta waliolipwa 50 kwa 50.

Then waulize wangerudi kwenye utumishi wangetamani kulipwa vipi?

Mimi nadhani changamoto tumeshindwa kubalance story,kati ya Watumishi na wastaafu waliokwishalipwa.

Wapo wastaafu wanatamani hata wasingelipwa mkupuo, pesa yote iende kwenye montly pensheni na iwe kubwa.

Sisi tumeamua kuwa kwenye kelele za Watumishi na wanasiasa.

Tumeamua kuweka taaluma pembeni, sijui na sitaki kuamini wakati tunasoma principles za Hifadhi ya jamii kuna mtu aliwahi kupingana na kile tulichokuwa tunafundishwa.

Leo hii tumeanza kupingana nacho either kwa sababu njia zetu hazijafunguka kuiona na fani yetu kuwa na msaada kwetu direct.

Kuna nchi hata mkupuo hazina kabisa,mtu akistaafu anaunganisha na pensheni ya kila mwezi.

Kuna nchi ukistaafu wanakupa pesa yako yote lakini wao kiuchumi wako vizuri walishakufanyia kila kitu.

Wazee wakishapewa wananunua Annuity ili kila Mwaka walipwe pesa nzuri.

Mnaosema wastaafu wapewe pesa zao zote naombeni leteni mifano ya waliolipwa na wakawekeza na kuwa vizuri kifedha hadi sasa.

Hata watatu tu!
Yaani na ndiyo kanuni ya mifuko yote duniani. Sema tatizo ni elimu finyu.
 
PPF na GEPF zilikuwa na wanachama Wachache sana Kulinganisha na PSPF na LAPF japp LAPF ilikuwa na wanachama wengi kuliko Hivyo vyote..

Na ndo maana LAPF na PSPF ndo zilikuwa zinafuatwa na watumishi wengi..

Kuhusu NSSF sio mfuko wa watumishi wa serkali So haituhusu
😀, PSPF na LAPF ilikuwa na wanachama 19% ya wanachama ambao walikuwa kwenye uhifadhi wa jamii, na kabla mifuko kuungana yapo mashirika ya kiserikali yalikuwa yanachangia NSSF eg Judiciary department, refugee department etc

Nanukuu👇🏿

Alisema kuwa Kanuni hiyo mpya ambayo imetangazwa ina manufaa mengi ikiwemo Mifuko ya pensheni ya PSSSF na NSSF itaimarika na kuwa endelevu, kuongeza kiwango cha malipo ya mkupuo kutoka asilimia 25 iliyokataliwa mwaka 2018 hadi asilimia 33, kuongeza pensheni ya mwezi kutoka asilimia 50 ya sasa hadi asilimia 67 kwa waliokuwa wanachama wa PSPF na LAPF ambao ni asilimia 19 ya wanachama wote wa Mifuko ya pensheni, Mifuko itaweza kuongeza pensheni ya kila mwezi kwa kuzingatia tathimini zitakazofanyika kila baada ya miaka mitatu, pamoja na Wanachama wote wanaochangia kwenye Mifuko ya pensheni watatumia kanuni moja ya mafao na hivyo kuweka uwiano na usawa wa mafao baina ya Wastaafu.“
 
lakini mbona mimi nafanya kazi kwa mkataba 5 years kampuni X na nakatwa NSSF na Paye
wao wana exclussion gani ya kutokukatwa hivyo!
Unakatwa kwa mujibu wa sheria. Ukimaliza mkataba wako unaenda mfuko wa pensheni wanakupa kiasi ulichachanga. Hutaingia kwenye mafao wala pensheni
 
kama ndo mmetumwa na ofisi mje apa kuelimisha basi hiyo ofisi haina watu aisee
Brother Unakuwa Mgeni na Hawa Watumishii Waliopo Hukoo, Ukiwa Karibu na Kinu cha Asali Uwezi Jua kama Kitaisha, Hivyoo Wengi walikopaa Mamikopo makubwa makubwa wakaishia kulipa Maisha yao yote ya ajira thorough bank na kwenye ajira Zao.

Wazee hawa wanakuja kustaafu ndio anashtuka Daaah hiki ndio kidogo kimebakii anataka kujengea, wengine unakuta still anawatoto wanasoma asomeshe bad luck alikuwa international school au njee ya nchii anatumia hiko hiko kiinua mgongo, Pesa inakata anaenda kukopa Monthly pension ndio thamana yake ajikokote

Walioweza kuivest ambao ni kundi dogo Sana la wastaafu Wetu wanamaisha mazuri alhamdulilah, hawa waalijua kucheza na kinu cha asali walikopa wakajenga wakanunua magari mapema wakati anakaribia kustaafu alijifunza juu ya Government bonds, ufugaji wa Kuku n.k hivyo anapopata ule mkupuo anajua wapii akupeleke

Hawaaa wazeee Wengii for the entire 30-40 yrs wametumikia hayo mashirika walikuwa wanakula na kusaza uwezi kumuambia weekeza Kwa ajili ya kesho alikuwa anajua kiinua mgongo kipoo labda kama uko Nchi tofauti na Tanzania

Hata vijana wa rika letu still hii Changamoto wanayo mbeleeni tatizo ndio utaliona mfano Corona ilitoa fundisho Sanaa kuhusu kuwekeza na kuweka akibaa
 
Hivi mifuko inakufaj wakati mtu anapewa chake alichofanyia kazi kwa miaka yake yote kazini. Hivi pension ni sawa na mshahara kuwa inatakiwa kulipwa. PENSION haliipwi bali ni sawa na KIBUBU cha mfanyakazi ambacho serikali ndo inamtunzia. Sasa iweje mwenye KIBUBU ataka kubomoa KIBUBU chake na aliepewa kukitunza tena kisheria akatae kwamba KIBUBU chako kitafilisika au kufa.

It means wakati mfanyakazi anakatwa pesa yake ya mshahara ili iwekwe kwenye KIBUBU chake, aliemtunzia (serikali) ilikuwa inakifungua Kimya kimya na kujichotea pesa. Leo mwenye KIBUBU anataka afungue KIBUBU chake ili achukue pesa zake, aliepewa dhamana ya kukitunza anasema atampa kidogo maana pesa itaisha. Hivi ni nani mmiliki wa hicho KIBUBU, na nini mwenye kuamua kiasi gani achukue?

Kwanza, kwa nini mifuko ya hifadhi ya jamii iliunganishwa wakati ilikuwa ikijiendesha bila hata serikali kulipa wafanyakazi husika mishahara. Mleta mada ebu lete jibu hapa.

Maoni tangu, umefika wakati sheria zirekebishwe ili kuwe na form za kujaza kati ya mfanyakazi na serikali ili mfanyakazi asilazimishwe kihifadhiwa pesa zake ambazo baadae anakuja kuzitolea jasho kuzipata kuliko hata alipokuwa kazini.

Mwisho, tusome shule ili kusaidia jamiii siyo kuiibia jamii. Inaonekana mleta mada ni wale wasomi waliosomea kuibia jamii.
 
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye.

Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya kustaafu bado iko mbali saaana.

Wapo wengine wanaoongea kwa kuwa kikokotoo kipya kimewagusa kwa namna moja ama nyingine.

Kama Mwanazuoni wa Hifadhi ya Jamii, Naomba nifafanue baadhi ya mambo kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu.

Kikokotoo kipya cha:
1/580 × APE x PoS x 12.5 x 33%

Na kikokotoo cha zamani cha LAPF na PSPF yaani

1/540 × LAS x PoS x 15.5 x 50%

(LAS = Last Annual Salary na PoS = Period of Service)
APE = Annual Pensionable Emoluments
1/540 = Acrual factor
15.5=Commutation Factor
50%=Commutation Rate

Usipojifunza jinsi ya vikokotoo hivyo viliundwa utashindwa kuishawishi Serikali kipi kirekebishwe na kwa nini. Ni kama unakuwa unaongea kitu usichojua.

Kusema Serikali ikulipe pesa yako yote ni ujinga ujinga mkubwa saaana ambao watumishi wa umma wenye ujinga ndiyo watapromoti hoja hii.

Vikokotoo vyote hivyo vina uzuri na ubaya wake. Kama wewe siyo mchambuzi utashabikia tu lolote bila kujua vizuri matokeo yake.

Sheria za Kikokotoo cha PSPF na LAPF kilikuwa na mapungufu meengi sana. Bahati mbaya mapungufu hayo hakuna watalaam wanaoyadadavua sasa hivi.

Wanachama waliokuwa PSPF na LAPF kikokotoo chao kilikuwa na mapungufu kibao ukiacha upande wa Kiinua mgongo tu vipengere vingine vyote havikuwa vizuri.

Kikokotoo cha wanachama waliokuwa PPF, GEPF na NSSF kilikuwa hiki hapa:

1/580 × APE x PoS x 12.5 x 25%.

(APE = Annual Pensionable Emoluments na PoS = Period of Service/Contribution)

Makundi haya ya wanachama ambao ni zaidi ya 81% ya wanachama wote wa mifuko iliyokuwepo kwao kikokotoo kipya kimewaongezea mkupuo wa mafao waliokuwa wanapata kwa 8%. Yaani iko hivi:

1/580 × APE x PoS x 12.5 x 25%

Hapo kwenye asilimia 25 kwa kikokotoo kipya wao imekuwa 33% ambayo ni ongezeko la 8%.

Sasa watumishi wa umma wote wamepewa kikokotoo kimoja bila kujali wako idara ipi.

Zamani (2004 hadi 2018) waliokuwa Serikali kuu na serikali za mitaa yaa LAPF na PSPF walikuwa wakilipwa Mkupuo Mkubwa saaana kwa Kikokotoo hiki hapa cha 1/540 × LAS x PoS x 15.5 × 50% kwa sababu kikokotoo hicho cha Serikali Kuu kilizingatia Last Month Salary

Na wale wa sekta binafsi chini ya NSSF na PPF walitumia kikokotoo kilichozingatia Wastani wa Mshahara wa miaka mitatu.

Kwa hiyo tunafanyaje? Tuchukue kikokotoo cha serikali Kuu kiwe cha wanachama wote wa sekta binafsi na umma halafu mfuko uishiwe nguvu kulipa mafao baada ya miaka 5???

Au tuchukue kikokotoo cha sekta binafsi kilichokuwa kinatumika NSSF, PPF na GEPF kiwe cha wote na kiboreshwe kidogo from 25% to 33% na mfuko uweze kujiendesha kwa miaka mingi???? Kipi bora??

Maamuzi yaliyochukuliwa na serikali mwaka 2018 yalikuwa ya kuwatazama wanachama 81% waliokuwa mifuko ya NSSF, PPF, na GEPF ili wafanyakazi wote wafanane kwenye mafao ya uzeeni.

Yaani serikali ililenga kufanya pensheni ya kila mwezi na malipo ya Mkupuo yawe na usawa pamoja na watumishi wa umma waliokuwa na kikokotoo kikubwa kwa kutazama factors za uendelevu wa mfuko mpya wa PSSSF.

Mwaka 2014 hadi 2018 wastaafu wa serikali Kuu waliokuwa chini ya PSPF walikuwa wamefikia mahali Papaya sana hadi mafao yao yalikuwa hayapatikani tena kutokana na PSPF kushindwa kujiendesha kwa sababu ya madeni makubwa ambayo serikali ilikuwa inadaiwa tangu 1999.

Watu waliokuwa wanastaafu miaka hiyo 2014 hadi 2018 walikuwa wanaambiwa wasubiri. Walisubiri saaana mpaka Mwaka 2018 December mifuko ilipounganishwa zikachukuliwa fedha za LAPF na PPF kuwalipa wastaafu waliokuwa wamekaa mtaani bila mafao kwa zaidi ya miaka 2 hadi 3 bila mafao.

Ni bahati mbaya saaana kwamba tuna wanasiasa na wanachama wanaosahau mapema tulipotoka.

USHAURI MBAYA NI HUU

Kudai Kwamba wastaafu walipwe pesa zote (100%) na waendelee na maisha yao. Huu ni ushauri mbaya saaana kuishauri serikali.

Kwamba kwa nini wastaafu wawekewe pesa za kulipwa kila mwezi kidogo kidogo? Hili ni swali la kitoto litokanalo na kutojua maana ya Society Protection

Ukisikia mtumishi wa umma anadai hataki pensheni ya kila mwezi anaomba alipwe pesa zake zote aendelee na maisha yake ujue kuwa huyo siyo mtumishi wa umma. Ni Mjasiriamali.

Na Bahati mbaya watumishi wa umma asilimia 95 siyo wajasiriamali. Ni wategemezi wa mishahara ya kila mwezi.

Akilipwa pesa yote halafu ikaisha social economic crisis itakayotokea katika jamii ya wazee itazidi ile ya wazee wa East Africa Community waliovua nguo barabarani wakidai Pension ya kila mwezi.

Ukitaka kujua utamu wa pension ya kila mwezi kabla hujashauri utaratibu wa pension ufutwe, nakuomba ukawaulize waliostaafu miaka 10 iliyopita.

Waulize kama pesa kubwa ya kikokotoo kikubwa walicholipwa 2010 mpaka leo pesa ipo?

Kawaulize Tegemeo lao kuu la pesa ya kila mwezi ni wapi? Hawa wazee ukitaka ukosane nao ondoa utaratibu wa pension ya kila mwezi.

Waulize utamu wa pension na utamu wa kiinua mgongo ni kipi kitamu zaidi.

Kawaulize wazee waliostaafu 2010 kati ya Pension na Burungutu la pesa unayopewa ukistaafu ni kipi kiongezwe kiwe kikubwa?

Waulize kati ya Pension ya kila mwezi na kiinua mgongo(gratuity) wanashauri kipi kiongezwe?.

Ukiwauliza waliostaafu miaka 10 iliyopita wao wanaomba pension iongezeke iwe kubwa saaana.

Ukiwauliza wazee wastaafu Watarajiwa kipi kiongezwe, wao wataomba kiinua mgongo ndicho kiongezwe.

Hii inatokana na kwamba ni vigumu sana mstaafu mwenyewe tarajiwa kupendekeza alipwe nini kama hajafika huko uzeeni.

Wazee waliolipwa mafao kwa kikokotoo cha LAPF na PSPF miaka 5 iliyopita asilimia 90 yao tegemeo lao kuu kwa sasa ni pension ya kila mwezi pamoja na kwamba walilipwa kikokotoo kikubwa.

Hoja nyingine inayopotoshwa ni hii kwamba mstaafu analipwa pesa fulani na nyingine inabakia kwenye Mfuko kwa ajili ya kulipwa kidogo kidogo kama pension.

Huu nao ni uongo wa Mtaani umeshageuzwa kuwa kama ukweli.

Ukweli ni kwamba Hakuna pesa inayobakia kwenye Mfuko.

Mstaafu huwa analipwa pesa zote alizochangia yeye na Mwajiri wake (5% na 15%) halafu Mfuko unaongeza nyingine kutoka kwenye uwekezaji na kisha anaanza kulipwa pension kila mwezi. Hapo unasemaje kuna pesa imebakia PSSSF au NSSF.

Ukweli ni kwamba Mstaafu akishalipwa kiinua mgongo ambacho huwa mara nyingi ni zaidi ya hata michango yake yote anaanza kulipwa Monthly Pension ambayo mara nyingi huwa ni zaidi ya 40% hadi 50% ya mshahara wake (Net pay) aliyokuwa analipwa akiwa kazini.

Ukweli ni kwamba Pension hiyo atalipwa maisha yake yote yaliyoko mbele Hata kama akiishi miaka 50 au zaidi baada ya kustaafu.

Ndugu wafanyakazi wenzangu kama tunaomba mafao makubwa tuwe tayari kuongeza uchangiaji yaani badala ya kuchangia 5% au 10% ya mishahara yetu tukubaliane kiasi kiongezwe kiwe 10% au 15% na Mwajiri atuongezee 15% au 20%

Au pia kama tukitaka mafao makubwa tukubaliane mfumo wa pension ya kila mwezi uondolewe ili kila mtu akistaafu alipwe Kiinua mgongo kama wabunge na Madiwani halafu pension isiwepo.

Au tuchague mfumo wa pension kwa wote ambapo hakuna kuchangia chochote kila mwezi na kila mwananchi akitimiza miaka 55 au 60 anaenda HAZINA kuu ya Serikali kuchukua Kiinua mgongo chake bila kujali alikuwa mwajiriwa au Mjasiriamali.

Au tuchague kuwa na Mifuko mingi ya pension na kila mfuko ujipangie mafao utakayotoa chini ya Sheria za ushindani na serikali isiingilie lolote zaidi ya kuweka Sheria na sera za kuwalinda wateja wa Skimu hizo.

Imeandikwa na
FADEMO DIRECTOR.
Social Security Practioner with 19 years of Field Experience
Umeandika baadhi ya point halafu umechanganya na pumba za hali ya juu na ndio maana umeonekana mpiga porojo kwa kutoweka sawa mizani na badala yake kuleta tu ushabiki kwa maslahi ambayo wewe unayajua unayapata wapi

Hii ilishasemwa wazi asilimia iongezwe ili hata mstaafu hela yake aweze kufanya chochote, we unang'ang'ania eti wanadai walipwe yote, how??? Na lini walisema hivyo???

Na ndio maana tunaepuka porojo na kuja na facts!!!! Inasikitisha mtu mwenye mshahara wa 1.5m+ na kafanya kazi kwa miaka mfano 25 anakuja kulipwa mkupuo ambao hata milioni 70 haufiki

Je wanaolipwa chini ya hiyo je, wanapata sh ngapi??? Si ndio yale ya polisi miaka 30 kulipwa milioni 18???

Watu wanataka wapewe asilimia walau 50+ na iliyobaki ndio iwe monthly kila mtu afe na chake

Afu hili la kusema mifuko haijiendeshi acheni uzwazwa kosa la mfanyakazi ni lipi???????

Katoa michango kila mwezi, na mpaka anafikia kustaafu bado kuna wengine maelfu na maelfu wanatoa michango kila mwezi wakisubiri kustaafu sasa hela zao zipo wapi????

Na hawa wanaochangia sasa wakisubiri hela zao zipo wapi??? Si muwape hao na hawa wa baadae watapata kutoka zao na za mwenzao????

Ishu ya 2018 mifuko kushindwa kujiendesha, si mlianzisha miradi mfu kwenye awamu ile ya kuendekeza upigaji kwa gia ya kasi mpya, na hatimae yakawekezwa mabilioni kwenye miradi mfu kama ule wa mijengo ya kigamboni hela zikatokomea kwa upigaji mkubwa sana na hazijarudi????

Hii nchi ilikuwa shamba la bibi, afu akija mtu kunyoosha nchi utakuta mazwazwa wanalialia

Inatia hasira sana
 
Bosi nchi hii ina wajinga wengi sana. Badala ya kutafuta ufumbuzi kwenye kuhakikisha watanzania wanapata elimu ya fedha na uwekezaji mapema minitu unakuta ina midevu inasema kikokotoo kibaya. Ukiuliza ubaya wake nini eti apewe hela zote, ukiuliza ukipewa eti nikifa niwe nimechukua hela yako, ukiukiliza je kwani ukiwa unapata kila mwezi ukifa hela yako si watapewa warithi yanasema oh mi nataka hela yangu yaani ni full ujinga mno.
Tafuta ukweli kuhusu hicho kikokotoo kuliko kuandika vitu usivyovijua. Ukistaafu ukalipwa mafao yako ya 33% hata ukifa miezi miwili baadaye ndiyo imeenda hiyo!!! Hakuna chochote watakacholipwa wategemezi. Usione watu wanalalamika.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi japo kuna mambo hamyazungumzii yanayo husiana na matatizo kwenye mifuko;
Naombeni mfuatitile kwa jirani zetu Kenya watumishi wao huchangia kiasi Kidogo na kule hatujasikia wakiambiwa mifuko itafirisika pamoja na kuwa na kikokotoo kizuri tu. Nafikiri tofauti yao na sisi ni kuwa, wana usimamizi makini wa mifuko yao na Uwekezaji wenye tija sio huku kwetu ambapo mifuko ilifanywa kama shamba la bibi (baadhi ya miradi ya hovyo isiyo na tija na yenye gharama za kiupigaji)

Nafikiri kutatua changamoto za kikotoo tungeanza na TATIZO LA MSINGI ambalo ni kupatia ufumbuzi changamoto za mifuko ambazo ni pamoja na; (kupitia Uendeshaji wake na gharama zake, madeni na mikopo kutoka kwenye mifuko, miradi isiyo na tija ya Mabilioni iliyopo mitaani nk)

Baada ya kuyapitia hayo na kuyapatia suluhu; tutakuwa na nafasi ya kuangalia kikokotoo bila hofu ya kusema mifuko itafirisika. Mbona Nchi za wenzetu wana kikokotoo chenye formula nzuri kuliko cha kwetu na hatusikii kelele....
 
Hivi mifuko inakufaj wakati mtu anapewa chake alichofanyia kazi kwa miaka yake yote kazini. Hivi pension ni sawa na mshahara kuwa inatakiwa kulipwa. PENSION haliipwi bali ni sawa na KIBUBU cha mfanyakazi ambacho serikali ndo inamtunzia. Sasa iweje mwenye KIBUBU ataka kubomoa KIBUBU chake na aliepewa kukitunza tena kisheria akatae kwamba KIBUBU chako kitafilisika au kufa.

It means wakati mfanyakazi anakatwa pesa yake ya mshahara ili iwekwe kwenye KIBUBU chake, aliemtunzia (serikali) ilikuwa inakifungua Kimya kimya na kujichotea pesa. Leo mwenye KIBUBU anataka afungue KIBUBU chake ili achukue pesa zake, aliepewa dhamana ya kukitunza anasema atampa kidogo maana pesa itaisha. Hivi ni nani mmiliki wa hicho KIBUBU, na nini mwenye kuamua kiasi gani achukue?

Kwanza, kwa nini mifuko ya hifadhi ya jamii iliunganishwa wakati ilikuwa ikijiendesha bila hata serikali kulipa wafanyakazi husika mishahara. Mleta mada ebu lete jibu hapa.

Maoni tangu, umefika wakati sheria zirekebishwe ili kuwe na form za kujaza kati ya mfanyakazi na serikali ili mfanyakazi asilazimishwe kihifadhiwa pesa zake ambazo baadae anakuja kuzitolea jasho kuzipata kuliko hata alipokuwa kazini.

Mwisho, tusome shule ili kusaidia jamiii siyo kuiibia jamii. Inaonekana mleta mada ni wale wasomi waliosomea kuibia jamii.
Kwanza utambue tu kiinua mgongo anacho pewa mstaafu ni zaidi ya kile alicho changia kwenye mfuko.
 
Umeandika baadhi ya point halafu umechanganya na pumba za hali ya juu na ndio maana umeonekana mpiga porojo kwa kutoweka sawa mizani na badala yake kuleta tu ushabiki kwa maslahi ambayo wewe unayajua unayapata wapi

Hii ilishasemwa wazi asilimia iongezwe ili hata mstaafu hela yake aweze kufanya chochote, we unang'ang'ania eti wanadai walipwe yote, how??? Na lini walisema hivyo???

Na ndio maana tunaepuka porojo na kuja na facts!!!! Inasikitisha mtu mwenye mshahara wa 1.5m+ na kafanya kazi kwa miaka mfano 25 anakuja kulipwa mkupuo ambao hata milioni 70 haufiki

Je wanaolipwa chini ya hiyo je, wanapata sh ngapi??? Si ndio yale ya polisi miaka 30 kulipwa milioni 18???

Watu wanataka wapewe asilimia walau 50+ na iliyobaki ndio iwe monthly kila mtu afe na chake

Afu hili la kusema mifuko haijiendeshi acheni uzwazwa kosa la mfanyakazi ni lipi???????

Katoa michango kila mwezi, na mpaka anafikia kustaafu bado kuna wengine maelfu na maelfu wanatoa michango kila mwezi wakisubiri kustaafu sasa hela zao zipo wapi????

Na hawa wanaochangia sasa wakisubiri hela zao zipo wapi??? Si muwape hao na hawa wa baadae watapata kutoka zao na za mwenzao????

Ishu ya 2018 mifuko kushindwa kujiendesha, si mlianzisha miradi mfu kwenye awamu ile ya kuendekeza upigaji kwa gia ya kasi mpya, na hatimae yakawekezwa mabilioni kwenye miradi mfu kama ule wa mijengo ya kigamboni hela zikatokomea kwa upigaji mkubwa sana na hazijarudi????

Hii nchi ilikuwa shamba la bibi, afu akija mtu kunyoosha nchi utakuta mazwazwa wanalialia

Inatia hasira sana
Brother Unakuwa Mgeni na Hawa Watumishii Waliopo Hukoo, Ukiwa Karibu na Kinu cha Asali Uwezi Jua kama Kitaisha, Hivyoo Wengi walikopaa Mamikopo makubwa makubwa wakaishia kulipa Maisha yao yote ya ajira thorough bank na kwenye ajira Zao.

Wazee hawa wanakuja kustaafu ndio anashtuka Daaah hiki ndio kidogo kimebakii anataka kujengea, wengine unakuta still anawatoto wanasoma asomeshe bad luck alikuwa international school au njee ya nchii anatumia hiko hiko kiinua mgongo, Pesa inakata anaenda kukopa Monthly pension ndio thamana yake ajikokote

Walioweza kuivest ambao ni kundi dogo Sana la wastaafu Wetu wanamaisha mazuri alhamdulilah, hawa waalijua kucheza na kinu cha asali walikopa wakajenga wakanunua magari mapema wakati anakaribia kustaafu alijifunza juu ya Government bonds, ufugaji wa Kuku n.k hivyo anapopata ule mkupuo anajua wapii akupeleke

Hawaaa wazeee Wengii for the entire 30-40 yrs wametumikia hayo mashirika walikuwa wanakula na kusaza uwezi kumuambia weekeza Kwa ajili ya kesho alikuwa anajua kiinua mgongo kipoo labda kama uko Nchi tofauti na Tanzania

Hata vijana wa rika letu still hii Changamoto wanayo mbeleeni tatizo ndio utaliona mfano Corona ilitoa fundisho Sanaa kuhusu kuwekeza na kuweka akibaa
 
sio nitafute Nimekuambia ninao wengi sana na wanafurahi kulipwa hivyo..

By the way kuna rafiki zangu mwaka 2020 mpaka 2022 kabla kikokotoo hakijaanza kufanya kazi waliomba kustaafu haraka kabla hakjjaanza..

Kiukweli hakuna Mtumishi narudia Tena hakuna Mtumishi anayefurahia Hiki kikokotooo..

SIo polisi sio Afya,Sio elimu wala sio Kada yoyote..
Nilikuwa miongoni mwa waliokusanya maoni na tuliyapeleka TuCTA ili yawasilishwe Bungeni na Pia Kwa Rais na mengine mtayasikia SIKU YA Mei mosi..

Nimezunguka Mikoa 20 nikiwa mwenyekiti wa Chama fulani cha wafanyakazi kwa Mkoa Fulani na yote hiyo asilimia 99 hawataki Kikokotoo..
Nyie hao mliowauliza mliwauliza wapi..

Report Ya kuzunguka huko Ipo kwa Rais wa TUCTA
Mkuu naomba nikuulize wewe binafsi unadhani kwa numbers hata kama asilimia 100 wakipewa zote alafu asilimia ishirini wakazitumbua zote na kuwa ombaomba huoni kwamba kama jamii kuwa na asilimia ishirini ya wazee hawana hata pesa ya vocha au kusumbiliwa kwenye vijiwe vya kahawa uwanunulie kahawa ni hasara kwa Taifa ? Kwahio nadhani kwa kuwasaidia wazee tungesimama kwamba wanachopewa kila mwezi kiongezeke hata kama kinapunguzwa kutoka kwa mawaziri na wabunge..., na pili ni vipi tunajiandaa na janga la vijana wa kesho ambao ni un-pensionable ?
 
Tafuta ukweli kuhusu hicho kikokotoo kuliko kuandika vitu usivyovijua. Ukistaafu ukalipwa mafao yako ya 33% hata ukifa miezi miwili baadaye ndiyo imeenda hiyo!!! Hakuna chochote watakacholipwa wategemezi. Usione watu wanalalamika.
UONGO

Anaye staafu kwakutumia 33% akifariki dependant wake wanalipwa ×36 ya kile anacho lipwa kwa mwezi ( MP )
 
Umeandika baadhi ya point halafu umechanganya na pumba za hali ya juu na ndio maana umeonekana mpiga porojo kwa kutoweka sawa mizani na badala yake kuleta tu ushabiki kwa maslahi ambayo wewe unayajua unayapata wapi

Hii ilishasemwa wazi asilimia iongezwe ili hata mstaafu hela yake aweze kufanya chochote, we unang'ang'ania eti wanadai walipwe yote, how??? Na lini walisema hivyo???

Na ndio maana tunaepuka porojo na kuja na facts!!!! Inasikitisha mtu mwenye mshahara wa 1.5m+ na kafanya kazi kwa miaka mfano 25 anakuja kulipwa mkupuo ambao hata milioni 70 haufiki

Je wanaolipwa chini ya hiyo je, wanapata sh ngapi??? Si ndio yale ya polisi miaka 30 kulipwa milioni 18???

Watu wanataka wapewe asilimia walau 50+ na iliyobaki ndio iwe monthly kila mtu afe na chake

Afu hili la kusema mifuko haijiendeshi acheni uzwazwa kosa la mfanyakazi ni lipi???????

Katoa michango kila mwezi, na mpaka anafikia kustaafu bado kuna wengine maelfu na maelfu wanatoa michango kila mwezi wakisubiri kustaafu sasa hela zao zipo wapi????

Na hawa wanaochangia sasa wakisubiri hela zao zipo wapi??? Si muwape hao na hawa wa baadae watapata kutoka zao na za mwenzao????

Ishu ya 2018 mifuko kushindwa kujiendesha, si mlianzisha miradi mfu kwenye awamu ile ya kuendekeza upigaji kwa gia ya kasi mpya, na hatimae yakawekezwa mabilioni kwenye miradi mfu kama ule wa mijengo ya kigamboni hela zikatokomea kwa upigaji mkubwa sana na hazijarudi????

Hii nchi ilikuwa shamba la bibi, afu akija mtu kunyoosha nchi utakuta mazwazwa wanalialia

Inatia hasira sana
mkuu umeongea kwa hisia sana
 
Nyie mbwa mnawalipa watu peremende halafu mnawazawadia maelezo yenye utetezi hafifu kama huu.sijajua wewe ni mume wa yule kifutu aliyesema wananchi hawana elimu au ni kaka yake???
Nyinyi miaka 5 tu mnalipana milioni 250 na limshahara la zaidi ya milioni 10 kwa mwezi,halafu mnafanya mzaha na hatma za wazee.watakuja kuwabadilikia siku mshangae.

Kwanza naona wengi wenu akili za funza,huwezi fanya mzaha na hatma za watu kama polisi halafu mnaruhusu wawalinde na silaha,huo ni utaahira,ni kujisahau na dalili ya kuwa kama mazombie,mtu timamu hawezi fanya huo mchezo.

Shauri yenu.
 
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye.

Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya kustaafu bado iko mbali saaana.

Wapo wengine wanaoongea kwa kuwa kikokotoo kipya kimewagusa kwa namna moja ama nyingine.

Kama Mwanazuoni wa Hifadhi ya Jamii, Naomba nifafanue baadhi ya mambo kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu.

Kikokotoo kipya cha:
1/580 × APE x PoS x 12.5 x 33%

Na kikokotoo cha zamani cha LAPF na PSPF yaani

1/540 × LAS x PoS x 15.5 x 50%

(LAS = Last Annual Salary na PoS = Period of Service)
APE = Annual Pensionable Emoluments
1/540 = Acrual factor
15.5=Commutation Factor
50%=Commutation Rate

Usipojifunza jinsi ya vikokotoo hivyo viliundwa utashindwa kuishawishi Serikali kipi kirekebishwe na kwa nini. Ni kama unakuwa unaongea kitu usichojua.

Kusema Serikali ikulipe pesa yako yote ni ujinga ujinga mkubwa saaana ambao watumishi wa umma wenye ujinga ndiyo watapromoti hoja hii.

Vikokotoo vyote hivyo vina uzuri na ubaya wake. Kama wewe siyo mchambuzi utashabikia tu lolote bila kujua vizuri matokeo yake.

Sheria za Kikokotoo cha PSPF na LAPF kilikuwa na mapungufu meengi sana. Bahati mbaya mapungufu hayo hakuna watalaam wanaoyadadavua sasa hivi.

Wanachama waliokuwa PSPF na LAPF kikokotoo chao kilikuwa na mapungufu kibao ukiacha upande wa Kiinua mgongo tu vipengere vingine vyote havikuwa vizuri.

Kikokotoo cha wanachama waliokuwa PPF, GEPF na NSSF kilikuwa hiki hapa:

1/580 × APE x PoS x 12.5 x 25%.

(APE = Annual Pensionable Emoluments na PoS = Period of Service/Contribution)

Makundi haya ya wanachama ambao ni zaidi ya 81% ya wanachama wote wa mifuko iliyokuwepo kwao kikokotoo kipya kimewaongezea mkupuo wa mafao waliokuwa wanapata kwa 8%. Yaani iko hivi:

1/580 × APE x PoS x 12.5 x 25%

Hapo kwenye asilimia 25 kwa kikokotoo kipya wao imekuwa 33% ambayo ni ongezeko la 8%.

Sasa watumishi wa umma wote wamepewa kikokotoo kimoja bila kujali wako idara ipi.

Zamani (2004 hadi 2018) waliokuwa Serikali kuu na serikali za mitaa yaa LAPF na PSPF walikuwa wakilipwa Mkupuo Mkubwa saaana kwa Kikokotoo hiki hapa cha 1/540 × LAS x PoS x 15.5 × 50% kwa sababu kikokotoo hicho cha Serikali Kuu kilizingatia Last Month Salary

Na wale wa sekta binafsi chini ya NSSF na PPF walitumia kikokotoo kilichozingatia Wastani wa Mshahara wa miaka mitatu.

Kwa hiyo tunafanyaje? Tuchukue kikokotoo cha serikali Kuu kiwe cha wanachama wote wa sekta binafsi na umma halafu mfuko uishiwe nguvu kulipa mafao baada ya miaka 5???

Au tuchukue kikokotoo cha sekta binafsi kilichokuwa kinatumika NSSF, PPF na GEPF kiwe cha wote na kiboreshwe kidogo from 25% to 33% na mfuko uweze kujiendesha kwa miaka mingi???? Kipi bora??

Maamuzi yaliyochukuliwa na serikali mwaka 2018 yalikuwa ya kuwatazama wanachama 81% waliokuwa mifuko ya NSSF, PPF, na GEPF ili wafanyakazi wote wafanane kwenye mafao ya uzeeni.

Yaani serikali ililenga kufanya pensheni ya kila mwezi na malipo ya Mkupuo yawe na usawa pamoja na watumishi wa umma waliokuwa na kikokotoo kikubwa kwa kutazama factors za uendelevu wa mfuko mpya wa PSSSF.

Mwaka 2014 hadi 2018 wastaafu wa serikali Kuu waliokuwa chini ya PSPF walikuwa wamefikia mahali Papaya sana hadi mafao yao yalikuwa hayapatikani tena kutokana na PSPF kushindwa kujiendesha kwa sababu ya madeni makubwa ambayo serikali ilikuwa inadaiwa tangu 1999.

Watu waliokuwa wanastaafu miaka hiyo 2014 hadi 2018 walikuwa wanaambiwa wasubiri. Walisubiri saaana mpaka Mwaka 2018 December mifuko ilipounganishwa zikachukuliwa fedha za LAPF na PPF kuwalipa wastaafu waliokuwa wamekaa mtaani bila mafao kwa zaidi ya miaka 2 hadi 3 bila mafao.

Ni bahati mbaya saaana kwamba tuna wanasiasa na wanachama wanaosahau mapema tulipotoka.

USHAURI MBAYA NI HUU

Kudai Kwamba wastaafu walipwe pesa zote (100%) na waendelee na maisha yao. Huu ni ushauri mbaya saaana kuishauri serikali.

Kwamba kwa nini wastaafu wawekewe pesa za kulipwa kila mwezi kidogo kidogo? Hili ni swali la kitoto litokanalo na kutojua maana ya Society Protection

Ukisikia mtumishi wa umma anadai hataki pensheni ya kila mwezi anaomba alipwe pesa zake zote aendelee na maisha yake ujue kuwa huyo siyo mtumishi wa umma. Ni Mjasiriamali.

Na Bahati mbaya watumishi wa umma asilimia 95 siyo wajasiriamali. Ni wategemezi wa mishahara ya kila mwezi.

Akilipwa pesa yote halafu ikaisha social economic crisis itakayotokea katika jamii ya wazee itazidi ile ya wazee wa East Africa Community waliovua nguo barabarani wakidai Pension ya kila mwezi.

Ukitaka kujua utamu wa pension ya kila mwezi kabla hujashauri utaratibu wa pension ufutwe, nakuomba ukawaulize waliostaafu miaka 10 iliyopita.

Waulize kama pesa kubwa ya kikokotoo kikubwa walicholipwa 2010 mpaka leo pesa ipo?

Kawaulize Tegemeo lao kuu la pesa ya kila mwezi ni wapi? Hawa wazee ukitaka ukosane nao ondoa utaratibu wa pension ya kila mwezi.

Waulize utamu wa pension na utamu wa kiinua mgongo ni kipi kitamu zaidi.

Kawaulize wazee waliostaafu 2010 kati ya Pension na Burungutu la pesa unayopewa ukistaafu ni kipi kiongezwe kiwe kikubwa?

Waulize kati ya Pension ya kila mwezi na kiinua mgongo(gratuity) wanashauri kipi kiongezwe?.

Ukiwauliza waliostaafu miaka 10 iliyopita wao wanaomba pension iongezeke iwe kubwa saaana.

Ukiwauliza wazee wastaafu Watarajiwa kipi kiongezwe, wao wataomba kiinua mgongo ndicho kiongezwe.

Hii inatokana na kwamba ni vigumu sana mstaafu mwenyewe tarajiwa kupendekeza alipwe nini kama hajafika huko uzeeni.

Wazee waliolipwa mafao kwa kikokotoo cha LAPF na PSPF miaka 5 iliyopita asilimia 90 yao tegemeo lao kuu kwa sasa ni pension ya kila mwezi pamoja na kwamba walilipwa kikokotoo kikubwa.

Hoja nyingine inayopotoshwa ni hii kwamba mstaafu analipwa pesa fulani na nyingine inabakia kwenye Mfuko kwa ajili ya kulipwa kidogo kidogo kama pension.

Huu nao ni uongo wa Mtaani umeshageuzwa kuwa kama ukweli.

Ukweli ni kwamba Hakuna pesa inayobakia kwenye Mfuko.

Mstaafu huwa analipwa pesa zote alizochangia yeye na Mwajiri wake (5% na 15%) halafu Mfuko unaongeza nyingine kutoka kwenye uwekezaji na kisha anaanza kulipwa pension kila mwezi. Hapo unasemaje kuna pesa imebakia PSSSF au NSSF.

Ukweli ni kwamba Mstaafu akishalipwa kiinua mgongo ambacho huwa mara nyingi ni zaidi ya hata michango yake yote anaanza kulipwa Monthly Pension ambayo mara nyingi huwa ni zaidi ya 40% hadi 50% ya mshahara wake (Net pay) aliyokuwa analipwa akiwa kazini.

Ukweli ni kwamba Pension hiyo atalipwa maisha yake yote yaliyoko mbele Hata kama akiishi miaka 50 au zaidi baada ya kustaafu.

Ndugu wafanyakazi wenzangu kama tunaomba mafao makubwa tuwe tayari kuongeza uchangiaji yaani badala ya kuchangia 5% au 10% ya mishahara yetu tukubaliane kiasi kiongezwe kiwe 10% au 15% na Mwajiri atuongezee 15% au 20%

Au pia kama tukitaka mafao makubwa tukubaliane mfumo wa pension ya kila mwezi uondolewe ili kila mtu akistaafu alipwe Kiinua mgongo kama wabunge na Madiwani halafu pension isiwepo.

Au tuchague mfumo wa pension kwa wote ambapo hakuna kuchangia chochote kila mwezi na kila mwananchi akitimiza miaka 55 au 60 anaenda HAZINA kuu ya Serikali kuchukua Kiinua mgongo chake bila kujali alikuwa mwajiriwa au Mjasiriamali.

Au tuchague kuwa na Mifuko mingi ya pension na kila mfuko ujipangie mafao utakayotoa chini ya Sheria za ushindani na serikali isiingilie lolote zaidi ya kuweka Sheria na sera za kuwalinda wateja wa Skimu hizo.

Imeandikwa na
FADEMO DIRECTOR.
Social Security Practioner with 19 years of Field Experience
Watu wa ataka pesa yao sio blablaaa.
Nipe pesa yangu kila mtu afe kivyake
 
Brother Unakuwa Mgeni na Hawa Watumishii Waliopo Hukoo, Ukiwa Karibu na Kinu cha Asali Uwezi Jua kama Kitaisha, Hivyoo Wengi walikopaa Mamikopo makubwa makubwa wakaishia kulipa Maisha yao yote ya ajira thorough bank na kwenye ajira Zao.
Hili halipaswi kabisa kuwa jambo lako binafsi wala mfuko wowote wa hifadhi,ni jambo lake mhusika mwenyewe.
Wazee hawa wanakuja kustaafu ndio anashtuka Daaah hiki ndio kidogo kimebakii anataka kujengea, wengine unakuta still anawatoto wanasoma asomeshe bad luck alikuwa international school au njee ya nchii anatumia hiko hiko kiinua mgongo, Pesa inakata anaenda kukopa Monthly pension ndio thamana yake ajikokote
Mzee gani mtumishi anasomesha international??nyie mnapenda sana siasa na maisha ya watu.
Walioweza kuivest ambao ni kundi dogo Sana la wastaafu Wetu wanamaisha mazuri alhamdulilah, hawa waalijua kucheza na kinu cha asali walikopa wakajenga wakanunua magari mapema wakati anakaribia kustaafu alijifunza juu ya Government bonds, ufugaji wa Kuku n.k hivyo anapopata ule mkupuo anajua wapii akupeleke
Embu niambie kwa uwekezaji wa milioni 17 unakuwa unalipwa shilingi ngapi kama faida kwa mwezi???nataka BOT ambako kuna faida kubwa zaidi sio NMB ama kwingine.
Hawaaa wazeee Wengii for the entire 30-40 yrs wametumikia hayo mashirika walikuwa wanakula na kusaza uwezi kumuambia weekeza Kwa ajili ya kesho alikuwa anajua kiinua mgongo kipoo labda kama uko Nchi tofauti na Tanzania
Ndip maana tunasema hoja iwe moja kwamba mifuko haiko vyema kiukwasi,sio kujifanya watu wanajua matumizi ya hela za watu,na kuwaonea huruma zaidi.
Hata vijana wa rika letu still hii Changamoto wanayo mbeleeni tatizo ndio utaliona mfano Corona ilitoa fundisho Sanaa kuhusu kuwekeza na kuweka akibaa
Kuwekeza ni rahisi sana kwenye keyboard,mnasahau kuna watu kazi zao zinawagomea kabisa kusimama na biashara pia.wacheni siasa na maisha ya watu.
 
Back
Top Bottom