Ufafanuzi kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu

Ufafanuzi kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu

Hio sio Pensheni waweke pesa Benki na hapo kutakuwa wala hakuna ulazima kwenye Sheria mwajiri wako kukuongezea hizo asilimia za ziada...

Narudia tena pensheni zilianzishwa kama Social Security na Sio Mtaji kwahio hawa unaosema wapo kwenye ajira na wanafanya biashara kuna mifuko tofauti ambayo wanaweza kuweka ambao wakitaka pesa zao wanaweza kupewa zote bila mfuko kuharibika / kufa...

Cha maana na kigezo ambacho kina-make sense ni watu kulalamika kwamba mtu anachopata kila mwezi hakikidhi mahitaji na wengine watakaokuja kesho watakuwa sio pensionable...; lakini issue ya kila mtu apewe chake chote sio sustainable
Sustainable kivipi wakati mifuko inakopwa na kujenga miradi hewa isiyorudisha pesa? Wee jamaa mzima kweli?
 
Cha ajabu hiki kikokotoo hakiwahusu serikali kuu Wala wabunge. Nchi Ina majitu ya ovyo Sana hii😡
Mstaafu mwenzio mwenye Cheo sawa na weww alikula milion 80 wew leo unaenda kuambulia mil 20 alafua anatokea mbwa mmoja anakwambia usenge wa calculator.... kunaa mtu atakulaa chumaa wazi waziii watu wa machungu sanaa na huu upuuzi unaoendeleaa.
 
Huu ndio ukweli ambao srikalu haijakiri. Inabaki tuu kutumia maneno kama sustainability ya mfuko na mengine ja kufichaficha lakini hawasemi chochote juu ya ubadhirifu, mikopo ya hovyo na uwekezaji usioleta tija kwa mifuko
Serikali imewageuza wastaaf mbuzi wa kafala
 
Sustainable kivipi wakati mifuko inakopwa na kujenga miradi hewa isiyorudisha pesa? Wee jamaa mzima kweli?
Nimesema mifuko ni sustainable ? Moja nimeongelea Dhima ya Pension ni Insurance / Security, na kwa muktadha huo pensheni funds hazitakiwi kujiingiza kwenye volatile investments.....

Mbili mchango mkubwa wa pension ni wachangiaji (wafanyakazi) kuwachangia wastaafu (walioacha kazi) jambo hili ndio lililopelekea welfare systems ya Japan ku-hit stagnation baada ya wazee kuishi muda mrefu au ndio maana nchi nyingi wanaongeza retirement age.....

Tatu: hii kupewa baadhi ya pesa zako lumpsum bora huku jambo hilo lipo pengine halipo ni wewe ukifikia age fulani unaanza kuvuta mpunga monthly mpaka siku unakufa

Mwisho: Siongelei ubora wa pensheni (kwanza wazee wengi wanachopata monthly hakikidhi basic needs zao) nachoongolea ni watu kuleta habari ya kwamba tupewe zote at once badala ya monthly kidogo kidogo..., kama hii ndio ingekuwa motive behind hawa watu wakati wanafanya kazi kuna investment funds nyingi ambazo wanaweza kuweka pesa ili wakitaka wazichukue..., Pension sio kwa ajili yao tu, bali ni kwa ajili ya ustawi wa jamii kuepuka kuwa na watu tegemezi uzeeni..., Ndio maana unalazimishwa kukatwa (wala sio hiari) na mwajiri wako analazimishwa kukuongezea sasa ukisema chako unamaanisha ulichokatwa wewe ? , Ulichoongezewa au Sababu wamekaa nazo muda mrefu unataka riba ? Na kama riba inabidi wafanye investments na je waki-invest pesa zikapotea hapo inakuwaje ? Utagundua kwamba lifeline ya pension funds ni makato ya wanaofanya kazi leo kuwalipa waliostaafu jana...

Na narudia tena hii sio hatari..., hatari inakuja kesho sababu hili lindi la wabangaizaki wa sasa kesho yao itakuwa ni hatari na ndipo hapo tutajua faida ya Pension ni ipi / nini

Wee jamaa ni takataka Sana, hivi umekaa na pesa ya mtu miaka yyote na thaman yake ibak ile ile?
Nimesha kujibu, kuwa ukilipwa kiinua mgongo hakuna pesa unayo acha kwenye mfuko, kwaio kama wewe unataka pesa zako zote, baada ya kulipwa kiinua mgongo unakuwa umelipwa pesa yako yote, ile ya kila mwezi achana nayo, maana inatoka kwenye mfuko sio ambayo umechangia.
 
Lipeni fedha zao kwa mkupuo kama mnavyowalipa wabunge....Kama mtu amechangia zaidi ya miaka 15 basi apewe na pensioni yake ya kila mwezi ,mnatumia fedha zao kwenye miradi hewa na kutapakanya fedha kisha mnakuja na mipango ya kuwadhulumu wafanyakazi.
 
Jambo liko wazi, Logikos na DOMINGO THOMAS Ni I'd za mtu mmoja.
Hizi ndio naita Vioja na kwa bahati mbaya sana ndio kifo cha mijadala hapa JF..., does it matter hata kama mimi nigekuwa ni Robot au AI ? Cha muhimu au cha kuangalia ni kama nachoongea kina mashiko au ni Pumba na kiwe weighed kwa uzito huo....

Pili sidhani kama mimi na mleta uzi tuna perceptive moja per se...., mimi perception yangu ni umuhimu wa pension na ukweli kwamba mtu kupewa pesa zake (so called zake) zote pindi anapotaka sio dhima ya pension wala sio sustainable... Point yangu kubwa ni kwamba monthly pension iboreshwe na ihakikishwe kila mtu anakuwa na monthly pension kwa kuhakikisha ustawi wa jamii...., Sababu duniani kote mtaji mkubwa wa pension ni wachangiaji (wanaofanya kazi) kuwachangia waliostaafu... Kama ukitaka returns kubwa au kuchukua pindi unapotaka kuna investments funds nyingi tu.., ila usijeshangaa hizo investment funds zinakenda belly-up na usipate kitu (sababu hazina guarantee)....

Tena hapa kuna opportunity ya wapigaji leo hii mtu anaweza ku-lobby watunga sera na kuanzisha pension funds zao zenye returns kubwa balaa na kuhakikisha mtu akiacha kazi tu anapewa chake maradufu (ila usishangae yakatokea ya kina Bernie Madoff)

In conclusion kama taifa we need Security ya kuwa-protect wazee wetu..., kustaafu means kustaafu na sio kubadilisha kazi au kuanza biashara...
 
Acha janja janja,
Uandishi, Maelezo,comand na upangiliaji Hadi uwekaji wa nukta mnafanana. We are not that fool
 
Acha janja janja,
Uandishi, Maelezo,comand na upangiliaji Hadi uwekaji wa nukta mnafanana. We are not that fool
Aisee sasa nitumie huo muda ili niku-convince wewe ili iweje ? Ndipo bapo sasa ume-confirm nilichosema hapo mwanzo badala ya kuzungumzia mapungufu au lack of Pension Funds tunaongelea identity yangu (which is immaterial as long as mjadala unavyohusika) mjadala umetoka kwenye issues mpaka individual... which I have to say ni matumizi mabovu ya rasilimali muda as far as am concerned....

Huo so called uchunguzi wako tungejikita kwenye issue huenda tungeona ni vipi na wapi panaweza kuboreshwa au kwanini hiki au kile hakifai....
 
Umeandika kwa dharau sana mkuu huo Pamoja usomi wako siku moja na wewe utakuwa mstaafu.
Hii nchi ni ngumu sana haya mashirika baada kuona mifuko imejaa fedha za watu, wajanja wakashawishi wafanye miradi ya sarakasi ili wapate upenyo wa kutafuna jasho la watumishi. Hii haikutosha serikali nayo ikachota fedha humo humo. Sasa hali tete wanaleta lugha za kisanii eti kikotoo ni kumsaidia mstaafu.
Pension sio HISANI ni haki ya mtumishi apewe jasho lake akafe kwa amani.
 
Jaribu kusoma kwa ufahamu. Kwanza mimi sihusiki kwenye kulipwa pension. Nilichosema nikuwa kama wanataka waanze mikataba mipya badala ya kubadilisha njiani. Ikianza mikataba mipya wale waajiriwa wapya watakuwa na nafasi ya kukubali mfumo wa pension ili waajiriwe au kukataa na kutoajiriwa. BTW, the way foward sidhani kama utaratibu utakuja kubadilika tena watu wawe wanalipwa fedha zote kwa mkupuo. Jaribu kufanya uchunguzi, nchi nyingi kabisa pension hulipwa kila mwezi kama mshahara. Cha kuzingatia ni kuwa malipo ya kila mwezi huwa yanakidhi mahitaji ya walipwaji kwa kiasi kikubwa

kama hakuna pesa inayobaki, kuna haja gani ya kucalculate kwa hizo formula wakati inajulikana umechangia 20% kwa miaka kadhaa??? balance si inaonekana?
Unachangia asilimia 5%, 15% ni kutoka kwa mwajiri

Kwasababu pension sio jumla ya michango ulio changia, kuna watu wana staafu na Total contribution haifiki hata 30 Million, ila wanapata zaidi ya kile walucho changia.
 
ambacho hufafanui ni kuwa hicho kiinua mgongo unalipwa ASILIMIA 33 unapostaafu na ASILIMIA 67 inalipwa ndani ya miaka 12.5 baada ya hapo.. Ikipita miaka 12.5 unakuwa ushamaliza kiinua mgongo chako. baada ya hapo kama utakuwa bado hujafa, mfuko wa jamii itaendelea kukulipa ingawa pesa yako inakuwa imekwisha
Malipo ya kila mwezi yanalipwa mpaka pale unapo fariki, na ukifariki tegemezi watachukua ×36 ya kile unacho lipwa kwamwezi.

NI UONGO na SIO KWELI kwamba utalipwa kwa miaka 12.5
 
Back
Top Bottom