habari wanajukwaa
nilikuwa nauliza kuhusu NTA level 5 technician certificate hii cheti unapataje kwasababu mimi navyojua nta level 5 ni diploma first year na ni vigumu kuona mwanafunzi wa diploma kuacha chuo first year na akapata nta level 5 certificate. mara nyingi mwanafunzi wa diploma anasoma miaka 2 anamaliza anachukua nta level 6 certificate. wakuu naomba mnisaidie hapo kwasababu nimeona matangazo ya kazi katika halmashauri mbali mbali wanataka watu wenye qualifications za nta level 5. naomba ufafanuzi hapo.
nta level 5 ni mwanafunzi wa diploma mwaka wa kwanza.Umeandika kabisa unasema level 5 technician certificate alafu unasema ni diploma mwaka wa kwanza...
Nta level 5 ni Certificate na Nta level 6 ndio diploma
Basic technicianKama Nta level 5 ni certificate na Je Nta level 4 itakua nini?
Bado mkuu Haijakaa sawa kwangu mimi, navyofahamuMwaka mmoja ni Basic technician ambayo ni Nta level 4
Miaka miwili ni Technician certificate ambayo ndio Nta level 5 na
Miaka mitatu ndio diploma ambayo ni Nta level 6
Mkuu mwanzo mtu akisoma hio foundation aliesabiwa yupo cheti yaani bisic NTA 4 alafu cheti cha diploma kilikuwa ni NTA5&6 sasa wakaja badili kila mwaka watoe cheti maana vyuma vilikaza wakaacha ajiri diploma wakawa wanaajiri cheti sasa ikabidi cheti iwe ni NTA level 5
Ndio boss unapewakusema kweli mkuu kwa nafasi za chini kabisa katika halmashauri zote walikuwa wanaweka vigezo vya nta level 4 basic technician certificate, lakini naona kuanzia mwaka huu mfumo umebadilika naona vigezo wameongeza wameweka technician certificate level 5. sasa hapo panachanganya kwasababu kozi ya diploma ni miaka 2. labda usaidie kunifafanulia hapo ina maana kwasasahivi mtu ukisoma diploma unaweza kusoma mwaka mmoja unapewa cheti cha nta level 5 na mwaka wa pili unapewa nta level 6 certificate???
Diploma sio miaka miwili, ila kuifikia diploma ndo inakupasa upitie hatua 2.Bado mkuu Haijakaa sawa kwangu mimi, navyofahamu
ukifaulu cheti nta level 4 una apply diploma na kozi ya diploma ni miaka 2. ndani ya diploma kuna nta level 5 ambayo ni mwaka mmoja unasoma na mwaka wa pili wa diploma tunaita nta level 6.
Sasa Technician certificate nta level 5 inatoka wapi???? hilo ndio swali langu.
NACTE walifanya mabadiliko kwenye mfumo wa elimu ya kati yani kila mwaka sasa ni exit term na Kuna cheti chake NTA level 4 basic certificate , NTA level 5 technician certificate, NTA level 6 ordinary diplomahabari wanajukwaa
nilikuwa nauliza kuhusu NTA level 5 technician certificate hii cheti unapataje kwasababu mimi navyojua nta level 5 ni diploma first year na ni vigumu kuona mwanafunzi wa diploma kuacha chuo first year na akapata nta level 5 certificate. mara nyingi mwanafunzi wa diploma anasoma miaka 2 anamaliza anachukua nta level 6 certificate. wakuu naomba mnisaidie hapo kwasababu nimeona matangazo ya kazi katika halmashauri mbali mbali wanataka watu wenye qualifications za nta level 5. naomba ufafanuzi hapo.
NACTE walifanya mabadiliko kwenye mfumo wa elimu ya kati yani kila mwaka sasa ni exit term na Kuna cheti chake NTA level 4 basic certificate , NTA level 5 technician certificate, NTA level 6 ordinary diploma
CBET, muuliza swali akishaelewa huu mfumo wa CBET hatasumbuka kuelewa hizo NTA levels
Level 4 - Basic technician certificate.
Level 5 - Technician certificate.
Level 6 - Ordinary diploma.
Level 7 - Advanced diploma.